Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

nasikiliza reedio clouds fm hapa dah kuna kanjanja moja mwandamizi linalopenda kusihambulai simba liko very low baada ya utoplo kupigwa na team ngumu kabisa kutoka tanga iitwayo african sports...
13 Reactions
27 Replies
3K Views
11': Yanga 0-1 Kagera - Malyanzi 13': Yanga 1-1 Kagera Kisinda (p) 24':Yanga 1-2 Kagera - Mwaterema 30': Yanga 2-2 Kagera - Kaseke 45': Yanga 2-3 Kagera - Mhilu 61': Yanga 3-3 Kagera -...
2 Reactions
150 Replies
14K Views
Yani jana nimeishushia hadhi sana hii radio hasa kipindi cha michezo. Binafsi sina ujuzi wowote wa kuchambua mpira lakini game ya jana kati ya Barca na PSG nilijua kabisa Barca anakufa, jambo la...
4 Reactions
23 Replies
4K Views
Ligi kuu soka England kuendelea hii leo kwa michezo miwili ambapo mchezo wa kwanza utapigwa saa 3 usiku ukiikutanisha Burley dhidi ya Fulham katika Dimba la Turf Moor. Baada ya kuiadhibu Crystal...
2 Reactions
4 Replies
820 Views
Lwanga: Mzamiru kazi yako ni kubonyeza OFF kwenye main Switch ya Umeme Taifa zima. Mzamiru: Lakini wewe ndie mkata umeme bro. Lwanga: Najua ila leo nakupa hiyo kazi. Mzamiru: Na wewe utafanya...
8 Reactions
20 Replies
2K Views
Uamuzi huo umefikiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika ( CAF) baada ya kujiridhisha kuwa timu zote mbili hazikuhusika kukwamisha mchezo uliopangwa kufanyika Februari 14 nchini Angola...
15 Reactions
60 Replies
7K Views
Hii ndio "form" ya Simba na Al Ahly kuelekea mpambano wao tarehe 23/2/2021. Yaani matokeo ya mechi kadhaa kabla ya mpambano wao na matokeo ya mipambano yao kadhaa yaani "head to head". FORM ALL...
0 Reactions
3 Replies
821 Views
Hii ni kwa sababu CAF yenyewe haijajipanga kabisa kuhusu Ugonjwa wa Corona. Ikumbukwe kwamba kila nchi ina sera yake kuhusu namna ya kujilinda na Corona, wengine wanapiga nyungu za malimao na...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
Hii ndio "form" ya Simba na Al Ahly kuelekea mpambano wao tarehe 23/2/2021. Yaani matokeo ya mechi kadhaa kabla ya mpambano wao na matokeo ya mipambano yao kadhaa yaani "head to head". FORM ALL...
4 Reactions
1 Replies
1K Views
Mpaka dakika ya 33 Ghana wanaongoza kwa bao 2 kwa bila - dakika 33 Ghana 2 Tanzania 0, Mashindano yanafanyika Madagasar. === BAADA ya Timu ya Taifa chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes) ya...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Namungo FC imezuiliwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Luanda nchini Angola baada ya mamlaka kudai wachezaji watatu na kiongozi mmoja wana virusi vya Corona. Mpaka wakati wa kuandika taarifa hii...
10 Reactions
116 Replies
11K Views
Sevilla atakuwa mwenyeji wa Borussia Dortmund katika Dimba la Ramon Sanchez- Pizjuan . Mara ya mwisho kukutana kwenye michuano hii timu hizo mbili ilikuwa msimu wa 2010- 11 kwenye Europa ligi...
1 Reactions
5 Replies
820 Views
Wakuu, Ndio nakubali mimi mnazi wa Simba! Ila hii statement ya Nugaz kutuliza mashabiki wao ni aibu sana huko mitandaoni! Bora angepost yeye binafsi na wachache ku repost, aibu ni statement kuwa...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwanza naanza kwa kuwasalim wakulungwa wote wa jf na kuwambia vimbeni na jipigeni kifua maana mko mahali salaaaama. Back to the topic. Kumekuwa na mifumo mingi sana ya soka na uchezaji wa soka...
3 Reactions
16 Replies
9K Views
Baada ya kuondoka na alama moja katika mchezo dhidi ya Kagera sugar juma lililopita, Gwambina hii leo ameambulia patupu baada ya kuruhusu kichapo cha bao 1-0 akiwa katika Dimba la nyumbani dhidi...
0 Reactions
2 Replies
817 Views
"Kwa sasa TFF tushukuru wamelala au wana woga. Kitendo tulichofanya juzi uwanja wa Sokoine hakikuwa sahihi. Ifikie hatua tuwe wakweli. Ifikie hatua tuangalie mpira na mchezo wa Mpira na si...
15 Reactions
46 Replies
4K Views
Fainali ya Ligi ya Mabingwa ya UEFA ya 2005 ilikuwa mechi ya mwisho ya michuano hiyo ya msimu wa 2004-05 , mashindano ya mpira wa miguu huko Ulaya. Fainali hiyo ilipigwa kati ya Liverpool ya...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Mwezi mmoja baada ya kuanza kibarua chake kuinoa Chelsea , Thomas Tuchel ameiongoza timu hiyo kurudi kwenye nafasi nne za juu kwa ushindi mara tano mfululizo. Katika mchezo huo ambao ni wa 6...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Hawa watu wanahitaji msaada wa kisaikolojia. TFF watoe onyo kwa Yanga na mashabiki wao,ipo siku watasababisha vurugu kubwa sana itakuwa too late. Wasiachwe hivi. Kwa upuuzi huu kuna siku watakuja...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Manchester United imetangaza kwamba Mason Greenwood amesaini kandarasi mpya ambayo itamuweka klabuni hadi Juni 2025. Greenwood ni zao la Academy ya klabu na amekuwa huko Manchester United tangu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom