Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mashabiki wa kikosi cha As Vita wamevamia kambi ya Simba iliyopo katika hoteli ya Rayol hapa Kinshasa muda mchache kabla ya kwenda uwanjani. Mashabiki hao mara baada ya kufika hapa hotelini saa...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Naaaaam Barabara kabisa, Ndugu wadau wa Michezo wa hapa Jamiiforums na kwingineko karibuni katika Live updates(Matukio Mubashara) kutokea hapa Kinshasa katika Dimba la Stade De Martyrs, uwanja wa...
44 Reactions
567 Replies
54K Views
Mungu kweli si Athuman, Baada ya kusoma comments mbalimbali humu kuelekea mechi ngumu ya Simba dhidi ya AS Vita, nilivunjka moyo mno kiasi cha kula chakula cha jioni na baada ya taarifa ya habari...
8 Reactions
29 Replies
3K Views
Taarifa fupi toka Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika CAF inasema mechi ya kombe la Shirikisho kati ya timu hizo mbili iliyokuwa ichezwe kesho imefutwa kwa sababu ambazo zitatolewa baadaye...
0 Reactions
2 Replies
814 Views
Mfano, kama Sure Boy angetakiwa na Simba angeruhusiwa kwenda Simba na kama Perfect Chikwendwe angetakiwa na Yanga angesajiliwa na Azam. Azam imejaza viongozi na wachezaji wasiokuwa na moyo na...
7 Reactions
78 Replies
6K Views
Rekodi ya sare yaendelezwa katika dimba la Sokoine kati ya Mbeya city dhidi ya Yanga baada ya mchezo uliochezwa hii leo kumaliza kwa matokeo ya 1-1. Goli la Yanga limefungwa na D Kaseke dakika ya...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema Kitendo cha wachezaji wa Namungo FC na benchi la ufundi na timu mzima kuzuiliwa kwenye uwanja wa Ndege wa Luanda nchini Angola ni siasa za Soka. Akizungumza...
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Baada ya mabingwa wa soka Simba kuwaduwaza makamanda wa Congo AS Vita, kwa ushindi mwembamba na muhimu wa goli moja kwa nunge. Leo ham ya watanzania wapenda soka,masikio ya wapenzi wakandanda...
2 Reactions
67 Replies
7K Views
Ni uamuzi wa hiari kabisa ambao nimeufanya nikiwa na akili timamu tena bila shinikizo au ushawishi wowote. Kwamba kuanzia leo nitakuwa Mwanachama kindakindaki wa Klabu ya Simba. Kwamba...
15 Reactions
53 Replies
4K Views
Naomba mnisaidie kujua ipi timu kali zaidi ya mwenzie kati ya TP Mazembe na Vita za Congo!?
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wababe wa Simba kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho leo tarehe 24/10/2018 wamechapwa magoli manne bila majibu. Hadi mapumziko wenyeji AS Vita walikuwa wanaongoza kwa mabao 2-0, mabao...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Kuelekea michuano mikubwa ya klabu bingwa barani Afrika timu Yangu ya Simba iliangalie Hili tatizo la Manula kutoka golini kuwahi Mpira bila hesabu za uhakika. Hili nimeliona sana Stars ilipocheza...
2 Reactions
63 Replies
8K Views
Kikosi cha Simba sports kimeondoka siku ya Jumannne kuelekea DR Congo kwa ajili ya mchezo wa ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya AS Vita Club. Mchezo huo ambao utapigwa siku ya tarehe 12 Ijumaa...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
Mimi nikiwa kama shabiki nguli wa mpira, naona kabisa klabu ya Yanga inapotea kwenye ramani. Baada ya kuona wenzao Simba wakifanikiwa kwa kishindo juu ya bonanza lao la Simba Super Cup, viongozi...
14 Reactions
103 Replies
10K Views
Michezo miwili ya ligi kuu soka Tanzania bara imemalizika katika viwanja viwili tofauti. Mchezo wa kwanza ambao ulipigwa saa 8 mchana, uliochezwa kati ya Kagera sugar dhidi ya Gwambina...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Ni suala la uzalendo na zuri kutangaza nchi ya Tanzania nje ya Tanzania. Timu ya Simba inapaswa kupewa heko kwa Hilo. Simba itapata kutembelea nchi za Sudan, Misri na Kongo. Nchi hizi za kiafrika...
5 Reactions
62 Replies
6K Views
Baada ya kumnyuka Namungo bao 3-0 , leo KMC wamepoteza mbele ya Tanzania Prisons bao 2-1 mchezo uliopigwa katika dimba la Nelson Mandela huko Shmbawanga. Jeremiah Juma alitosha kuiibua timu hiyo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kocha wa klabu ya Caen Pascal Dupraz amekuwa sababu ya ujumbe wa kukasirishwa kutoka kwa baba wa Neymar ambao umetumwa kwenye mitandao ya kijamii, baada ya Mbrazil huyo kuumia mechi ya Coupe de...
1 Reactions
2 Replies
850 Views
Habari, Kuna hili sekeseke na mihemko ya kufuka machoka kwa kipindi kifupi sana kwa timu yetu ya Taifa. Kabla ya huyu Ettiene Ndayiragije kocha ambaye tuliwapora Azam Fc kwa lazima na mbwembwe...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimejiuliza hadi nikakosa jawabu. Ni kwamba wizara imefanya tathmini yake na kugundua kuwa Idadi ya wageni kutoka nje ya Bara la Afrika inatosha na kuamua kuweka jitihada za kuwatafuta wageni...
11 Reactions
79 Replies
6K Views
Back
Top Bottom