DAR ES SALAAM: FEBRUARI 07, 2021
Wanachama wa Klabu ya Simba SC wamemchagua, Murtaza Mangungu, kuwa Mwenyekiti wa klabu hiyo.
Mangungu amepata Kura 802 kati ya kura 1140 zilizo pigwa huku...
Habari wanajamvi,
Naomba kuelezea kero yangu juu ya waandishi wa habari za michezo wa Bongo. Yaani mwandishi anamuhoji kocha wa kigeni kwa lugha ya kigeni tatizo ni kwamba hatafsiri na wala...
Ijumaa hii Simba ataanza kampeni yake ya kutinga robo fainali ya CAF CL kwa kumenyana na AS Vita Club ya DRC katika uwanja wa mashujaa pale Kinshasa. Pambano la mwisho uwanjani hapo alipoteza kwa...
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara Vodacom Premier League VPL kuendelea kutimua vumbi leo January 7, 2021 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa ambapo Mnyama Mkali Simba SC wanaonyesha kazi na Wana...
Leo timu ya Taifa ya Tanzania chini ya miaka 20 (Ngorongoro heroes) inacheza mechi ya kirafiki na timu ya Taifa ya Uganda (The Hippos) katika uwanja wa Azam Complex ikiwa ni mechi ya kujipima...
Mimi ni yanga damu lakini naona upungufu mkubwa kwa mhamasishaji wetu, Antonio Nugaz.
1. Kwanza ana sauti nzuri sana lakini anaitumia chini ya kiwango, hana facts kabisa ila anapiga porojo tu...
Taarifa inaonyesha kwamba Kamati ya Uchaguzi ya Klabu ya Simba imepitisha majina mawili ya kuwania Uenyekiti wa Simba , huku wagombea wengine wakienguliwa (sifahamu vigezo vilivyotumika ) ...
Victor Costa Nampoka "Nyumba" ndio jina lake, beki wa kati wa zamani wa Simba na timu ya taifa ya Tanzania.
Alikuwa na matumizi makubwa sana ya akili kuliko nguvu, alijua kupanga vizuri sana...
Huyu jamaa ni kama dish limeyumba. Amekuwa akitumika vibaya kama bwege kiasi inatupa shida kuwa je a a tatizo kiakili? Yanga ilikuaje tukawa na kiongozi Bogus kama huyu? Yeye anaona suala...
Ikiwa ni siku moja imebaki kuelekea kwenye mchezo wa Vodacom Premier League VPL, ambapo Jumapili ya January 7, 2021 wakati Bingwa Mtetezi Mnyama Mkali Simba SC, itakapokwaruzana na Wana lamba...
Ilikuwa ni game ya fainali ya kombe la Caf mwaka 93 kati ya Simba Sport Club Vs Stella Abidjan ya Ivory Coast.. Tetesi zilizoenea mitaa ya jiji la Dar WS Salaam na viunga vyake ni kwamba Simba Sc...
Mpira ndo umeisha yanga imepigwa goli moja na timu inayoongoza ligi daraja la Kwanza.
Kwenye mechi hiyo yanga ilikuwa na first 11 yake lote wakiwa wamekamilia na wale wa usajili mpya
Wanasimba na Watanzania kiujumla ni kama tumepitishwa kwenye mlolongo wa matukio kadhaa kutoka klabu yetu andamizi kwa muda mfupi.
Kwa lugha iliyokuja na meli matukio haya tungeita 'Surprises...
Mara ya mwisho Azam FC kumfunga mnyama kwenye ligi kuu Tanzania Bara ilikuwa Tarehe 28 January, 2017.
FT| Simba SC 0-1 Azam FC
77'|⚽ John Bocco
Kikosi Cha Simba kwenye hiyo mechi:
1. Agyei 2...
Kenya wanapata watalii wengi si kwa sababu Body za kwao zinatangaza sana Kenya hapana, sababu kuu ni Michezo ya Kenya hasa Wakimbiaji.
Wakimbiaji wa Kenya wanaitangaza sana Kenya asikuambie mtu...
Mabingwa wa nchi SIMBA SC 🦁 tumeingia makubaliano na Wizara ya Maliasili na Utalii ya kutumia neno VISIT TANZANIA 🗻 kwenye jezi ambazo tutazitumia katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.