Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ni game ngumu ambayo itakuwa na ufundi na ujuzi wa hali ya juu. ila naona kabisa Man U wakija na lengo la kuzuia zaidi na kushambulia kwa njia ya counter attack. Liverpool kama kawaida yake akiwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mkuu wa Kamati ya Maandalizi ya Olimpiki ya Tokyo, Yoshiro Mori (83) amejiuzulu nafasi hiyo baada ya kukosolewa kwa kutoa kauli ambayo imeonekana kutokubalika kuhusu Wanawake Mori ambaye amewahi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Bayern wameifunga tigres ya mexico 1-0, Al ahly ya misri imechukua nafasi ya 3 === The Club World Cup final was settled by a lengthy VAR check, in a game played miles from home during a raging...
1 Reactions
2 Replies
691 Views
Rasmi: Kwaheri Etienne! Shirikisho la soka Tanzania (TFF) na kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mrundi Etienne Ndayiragije, baada ya kikao cha pamoja, wamefikia makubaliano ya...
7 Reactions
46 Replies
4K Views
Inasikitisha Simba tumesajili mchezaji mwenye kiwango kizuri, uzoefu wa kutosha katika mashindano ya kimataifa ngazi ya klabu lakini hatoweza kuichezea Simba katika hatua ya CAF group stage (16...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Kutoka nusu fainali ya Uefa Champions League mwaka 2001, mpaka kushuka daraja mwaka 2003 na kupotea katika ramani ya soka la Uingereza, wale wapenzi wa soka wa kitambo, Unaikumbuka Leeds United hii?
17 Reactions
117 Replies
12K Views
Nawauliza wale wazee wakucoment insagram mtawaweza waarabu wa ulaya kujaza comment
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Picha inajieleza twende kazi sasa
6 Reactions
697 Replies
32K Views
Kikosi cha wachezaji 27 wa Simba SC, ambacho kinasafiri leo Jumanne saa kumi Alasiri, January 9, 2021 kuelekea nchini DR Congo kwa ajili ya mechi ya kwanza ya hatua ya makundi ya michuano ya Klabu...
7 Reactions
73 Replies
8K Views
Kocha wa majogoo huko Merseyside .jurgen klopp amefiwa na mama yake mzazi Elizabeth na corona ndo imemuondoa duniani. Mama huyo wa miaka 81 hatoweza kuzikwa na mwanae kwani kumewekwa makatazo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Pelé, ambaye jina lake halisi ni Edson Arantes do Nascimento, (alizaliwa Oktoba 23, 1940, Três Corações, Brazil), alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu wa Brazil, wakati wake labda ndiye mwamichezo...
4 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari wakuu, Kwa kifupi pambano la Ibra na mmalawi lilikua tamu sana, I'm sure hata wale waliolipa laki au zaidi pale ukumbini pesa zao zimeenda kihalali. Majaji siku ya leo walikua fair, kwa...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Jana kulikuwa na mechi kubwa hapa kwetu Simba na Azam! Matokeo tuliyaona na mpira ulikuwa mzuri. Cha kushangaza na sio Afya kwa mpira wetu ni uwepo waa Lundo la wageni. Zaidi ya asilimia 50...
9 Reactions
42 Replies
4K Views
Baada ya kusimama kwa muda ligi kuu soka Tanzania bara inarejea tena hiyo kesho tarehe 11 Februari, ambapo mchezo wa awali utakaopigwa saa 8: 00 mchana, utaikutanisha Kagera sugar dhidi ya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Yes, no doubts Nipo sebuleni kwangu naangalia mpira wa Al ahly vs Bayern Munich aiseee siamini kama kuna timu kutoka Africa inaweza cheza kwa kujituma katika level hiii. Timu za Tanzania zina...
21 Reactions
84 Replies
7K Views
Aish MANULA Shomar KAPOMBE Mohammed HUSSEIN Ibrahim AME (kama ONYANGO atakosekana) Peter MUDUHWA Thadeo LWANGA Erasto NYONI Mzamiru YASSIN Luis MIQUESSON Clatous Chama Meddie Kagere
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Naangalia game ya Al Ahly Vs Bayern Munich muda huu. Jamaa wanaupiga aisee, hii ndo Next level yenyewe sio ile inayodroo hadi na Azam.
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Mzee wetu Kanali Idd Kipingu inafikia wakati tunakumbuka jinsi Makongo Sekondari ya enzi zako ilivyokuwa incubator ya Mastaa wa VPL. Wachezaji kama Juma Kaseja, Henry Joseph, Mussa Mgosi, Jerry...
2 Reactions
23 Replies
5K Views
The Atlas/Morocco wanaandika historia ya kubeba ubingwa wa michuano ya CHAN mara mbili mfululizo. 2018 🏆 2020 🏆 Rekodi kwa miamba ya Atlas. Baada ya kuitungua Mali 2-0 kwenye mchezo wa fainali...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Mzunguko wa tano wa kombe la FA kuanza hii leo ambapo Burnley atakuwa nyumbani akiikaribisha Bournemouth huku Manchester United akimenyana na West ham United. Baada ya kuwachakaza Majogoo wa...
0 Reactions
2 Replies
770 Views
Back
Top Bottom