Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Vodacom Premier League VPL kuendelea kutimua vumbi leo January 4, 2021kwa mechi mbili kupigwa, ambapo Dodoma Jiji FC wanakabiliana na Mnyama Mkali Simba SC, kwenye...
12 Reactions
102 Replies
12K Views
Najua mnajitahidi mno Kuficha na kutengeneza kila aina ya Mazingira dhidi yake ila wenye Kuujua hasa Mpira wa Bpngo ( Tanzania ) na muda mwingi tunakaa nao hawa Wachezaji tunajua kuwa Yanga SC...
1 Reactions
33 Replies
6K Views
4 Reactions
20 Replies
4K Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani, FIFA imefikia uamuzi wa Kuifungia Timu ya Yanga baada ya kushindwa kumlipa Hamisi Tambwe malimbikizo ya mshahara na pesa za uhamisho kiasi cha Jumla Tsh...
9 Reactions
128 Replies
21K Views
Kuna wachezaji katika soka wamejaaliwa uwezo mkubwa wa kucheza namba mbalimbali kwa ubora ule ule. Wachezaji hawa tunawaita viraka. Dunia ya soka haiwapi credit zao sana wachezaji wa aina hii...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Haijulikani tatizo ni nini au ni dharau dhidi ya Dodoma Jiji au wanajaribu kuweka rekodi fulani amaizing lakikini kikosi cha Simba kimetoka na kwenye page zote officials hadi ya msemaji wao Manara...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Kocha wa Barcelona Ronald Koeman amesema kuwa "ana imani lakini hana uhakika" kama mshambuliaji wa Argentina, 33, Lionel Messi atasalia kwenye klabu hiyo msimu huu. (Athletic - subscription...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Nimepitia humu sijaona chochote na pia 'website' ya TFF kimya tena hii haina taarifa ya kitu kinachoitwa CHAN 2021. Nimetafuta hii kutaka kufahamu kama TFF wameamua chochote kuhusu kocha wa timu...
0 Reactions
3 Replies
809 Views
Nimejiuliza lakini sijapata jibu,hivi ni kwanini ma kipa eidha wanavaa track suit au jezi zenye rangi tofauti na wachezaji wengine,
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Mpaka muda huu wamekwisha tandikwa magoli 4 kwa nunge nyumbani kwao , Magoli yanaweza kuongezeka hadi kuvunja rekodi ya Southampton . Aibu kubwa sana !
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Konde boy kwani unashindana na Mesi?
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Wasafi Radio wana Sports Arena, leo nimesikia joking arena. Je, arena maana yake nini. Vipi kipindi cha michezo kiitwe arena? Nijuavyo arena ni uwanja uliofunikwa unaotumika kucheza michezo...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Ushawahi kujitekenya mwenyewe mbele ya umati? Yaani sijawahi kuona futuhi na comedy nzito kama hii walahi. Simba Super Cup: BINGWA (Simba) Mchezaji Bora wa Mashindano: Rally Bwalya (Simba)...
14 Reactions
46 Replies
5K Views
Club ya Yanga imeomba mechi ya kirafiki na TP Mazembe kabla hawajaondoka nchini. Hizi taarifa zimetolewa na vice president wa TP Mazembe. Vice president amesema wataangalia kama uwezekano huo upo...
14 Reactions
40 Replies
7K Views
Leo January 27, 2021 Ni ufunguzi rasmi wa michuano ya Simba Super Cup, ambapo Simba SC wanapambana na Al Hilal ya kutoka nchini Sudan kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa. Michuano hii ya Mabingwa...
11 Reactions
222 Replies
17K Views
Mbinu imejulikana so imekuwa ngumu.
1 Reactions
14 Replies
6K Views
Kuna mtu hapa kauliza Simba jana kacheza ligi gani, nimemjibu ligi yake katengeneza kikombe chake, kaleta marefa wake, mipira yake, timu tatu na kombe linatolewa JPili. Huyu jamaa nimemuacha...
9 Reactions
117 Replies
8K Views
Hata wanaokutumia wanakudharau. Angalia tu Toilet Paper. Ikishatumika nani anaiweka mfukoni? Hamna. GSM wanakupatia pesa nzuri ili utumike kupambana na Mo Dewj na Simba katika Media. Unapoongea...
9 Reactions
36 Replies
3K Views
Mlio uwanjani ,mtuletee updates! Ila ninahofu Hawa jamaa leo wanaondoka na Konde Boy ...Kama walivofanya kwa Samata
5 Reactions
51 Replies
5K Views
Back
Top Bottom