Mara baada ya week hii simba kuwaloga CAF na kuwahong kabisa hadi kuwekwa namba 17 kwa ubora barani Afrika wakiwa wamejikusanyia points 14 kwa mujibu wa CAF 5 year ranking sytem wamefanya umafia...
Patashika ya michuano ya Simba Super Cup inafikia mwisho leo January 31, 2021 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam, ambapo Mnyama Mkali Simba SC inapepetana na Mabingwa wa Afrika...
Kwema wadau? Naomba kuuliza mwenye taarifa za huyu Mtanzania mwenzetu Eliud Ambokile, je bado yupo pale TP mazembe? Au alishatemwa, au kuna timu yupo kwa mkopo.
Nina siku nyingi sijasikia...
Kwanza tuanze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa wingi wa rehema na fadhila zake kwetu.
Pili shukrani iende kwa waandaaji wa mapambano mbalimbali.
Tatu ni kwa AZAM TV kwa kutuwezesha sisi tulio...
Baadae ya mechi kumalizika niliona wachezaji wa kigeni wa Simba wakikumbatiana na wachezaji wa To Mazembe, wakiongea na kubadilishana mawazo.
Ila kiukweli sikumuona Kokolanya, Duchu, Shabalala...
Naaam...Patashika ya michuano ya Simba Super Cup (SSC) imeendelea kuvurumishwa leo January 29, 2021 ambapo TP Mazembe ya Congo, walikuwa wakipambana vilivyo na Al Hilal SC kutoka nchini Sudan...
Heshima Sana kwenu wadau.
Moja kwa moja kwenye mada, kumekuwa na dhana mbalimbali kwamba nchi nyingi za Afrika Magharibi ni Maskini na Zina migogoro mingi ya waasi na kisiasa kuliko nchi za...
Kiwango ambacho anaendelea kukionyesha mchezaji Larry Bwalya kinauweka katika majaribu Ufalme wa 'MVP' Chama. Iwapo ataendelea katika kiwango hiki...swali la kujiuliza anaweza kuupoka Ufalme wa...
Wapo makocha wenye mkosi mbaya na wakuchekesha kwa uwezo wanakuwa nao lakini sijui huwa wanakosea mara kwa mara huanza vizuri ila umaliza vibaya
Mimi namtaja Jose Mourinho. Huyo kocha kati ya...
1. Rene Weiler ( Switzerland ) aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu Bingwa Afrika Al Ahly
2. Diego Garzitto ( France ) aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu Bingwa ya Sudan ya El Merreikh na Kamaliza nayo...
Silas Lucas Isangi , ndiye Rais Mpya wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Makamu wake ni John Bayo.
Huku Wajumbe wa Kanda wakichukua...
1. Kaskazini : Alfredo Shahanga
2. Pwani : Robert...
Kwa upande wangu
1.2005, Ac milan vs Liverpoo, dk 90 3-3 then Liverpool akawa bingwa kwa matuta
2.2006, Barcelona Vs Arsenal, dk 90 2-1, Arsenal anakufa kikatili sana, enzi hizo arsenal ni ya...
Mchezaji wa zamani Tanzania akifanya mahojiano na mtangazaji Patrick Nyembera amesema timu ya taifa ya Uingereza ina kikosi kizuri hata kuweza kuchukua kombe la dunia lkn inakosa mchezaji mzuri wa...
Niende moja kwa moja kwenye mada. Nimejaribu kuangalia mechi ya wenyeji cameroon na Zimbabwe nikaamua kujipa moyo kwamba Tanzania tunaweza kufika hata nusu fainal au hata kuchukua ubingwa kabisa...
Baada ya Aliyekuwa Rais (Anthony Mtaka) wa RT na Makamu wake (William Kallaghe) kuondolewa kwenye usaili wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Waliwasilisha rufaa zao kwenye kamati hiyo. Majibu...
"Kesi ya Morrison na Yanga bado ipo na kuna baadhi ya wanasheria wanatusaidia kwenye hiyo kesi.
Naona Yanga bado wanahangaika. Ni kama upo kwenye mahusiano mnaachana halafu bado unamlazimisha...
Naomba ateuliwe Mwanachama Mmoja hapa na awe ni mwana Yanga SC Mwenzetu kabisa kama nilivyo Mimi GENTAMYCINE ili tuweze kufanya 'Mobilization' ya 'Michango' hadi ipatikane Tsh Milioni Tano na...
Sasa imekuwa ni kawaida kila ambapo Mtangazaji huyu Maulid Kitenge akiwa katika Kipindi tegemea kusikia Habari mbaya (negative) tu ya Kuihusu Simba SC.
Na hata kwa wale mliobobea vyema katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.