Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habari wakuu, Napenda hizi taarifa ziwafikie watangazaji wa Wasafi Sports Arena na Headquater Kama hawawezi kutafsiri kiingereza cha hao makocha wa nje wanaoongea wakati wa kipindi basi wasiweke...
0 Reactions
8 Replies
625 Views
Klabu ya Paris Saint Germain (PSG) imemfuta kazi kocha wao Thomas Tuchel kufuatiwa kutoridhishwa na matokeo ya hivi karibuni. PSG inashika nafasi ya tatu katika msimamo wa Ligi Kuu Ufaransa ikiwa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Naona December EPL itazidi kuchangamka...man u watamchukua Pochetino.. Chelsea Allegri. Naweza kutabiri now
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Yaani hapa nilipo ninafuraha isiyo na kifani leo ninachinja mbuzi kabisa big up Abramovic na board nzima ya Chelsea hii ndio Chelsea tunayoijua hakuna kumvumilia mtu ukiaharibu unafukuzwa. Kama...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Hii habari ineanza kutrend huko mitandaoni, Lampard huenda akaoneshwa mlango wa kutokea pale Stamford Bridge muda wowote kuanzia leo. Iwapo atatimuliwa kazi, kocha gani ungependa aje arithi...
8 Reactions
25 Replies
4K Views
Huu ndio ukweli unaofichwa, shukrani zimwendee Mwenyezi Mungu pekee, baada ya Stars kufunga goli, dk zote zilizosalia tumepumulia mashine, kuna wakati nimeshangaa wachezaji wa Namibia kukosa...
13 Reactions
35 Replies
3K Views
nonda shaaban ni mchezaji pekee aliewahi kucheza ligi kuu Tz na kupata mafanikio makubwa kisoka kuliko mchezaji yoyote yule wa tanzania kwa zaidi ya miaka ishilini iliyopita unafikiri nini...
0 Reactions
66 Replies
26K Views
Jonasi Mkude mchezaji mahiri alisimamishwa kwa muda kushiriki soka kwa tuhuma za utovu wa kinidhamu Hatima yake itajulikana baada ya Kikao cha Kamati ya nidhamu ya Klabu ya Simba kinachoendelea...
4 Reactions
20 Replies
4K Views
UFC 257 inawakutanisha tena Conor McGregor na Dustin Poirier kwa mara ya pili baada ya pambano lao la kwanza lililofanyika mwaka 2014 (UFC178) Conor kufanikiwa kuibuka na ushindi wa TKO Round ya...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Ni mfaransa, karibu sana simba kwanza tunataka utuhakikishie points atleast 4 toka kwa hao waajiri wako wa zamani. Kocha wa klabu ya Al Merreikh ya Sudan Didier Gomes da Rosa ameachana na klabu...
2 Reactions
50 Replies
8K Views
Ndayiragije huyu kijana wako Lyanga ataicost timu mechi zijazo. Anapata pass nzuri Ila hafocus kutafuta goili yeye anakimbilia kwenye Kona tu na kupigwa vyenga Kama Ronaldo, kwanza chenga zenyewe...
17 Reactions
47 Replies
3K Views
Hivi sisi tunafeli wapi? Hata burudani inaonekana kama anasa. Kenya wao kwanini waoneshe mda huu wapo LIVE KBC channel 1
4 Reactions
48 Replies
5K Views
Huo ndiyo ukweli. Mpaka sasa utopolo fc hawajapoteza mechi Hata moja lakini endapo Simba sports club watashinda vipolo vyao wataongoza ligi. Simba kapoteza mechi mbili na utopolo hawajapoteza...
8 Reactions
67 Replies
8K Views
Kama nilivyoeleza hapo awali hizi ni baadhi ya trick za kushinda dubwi bila hata ya kutumia nguvu wala muda mwingi. Nimeamua kuja na uzi huu ili kuludisha pesa zetu zilizokuwa zinasafiri kwenda...
0 Reactions
41 Replies
37K Views
Katika Mataifa ya kusini mwa Africa huwa nawahofia SA wenyewe, Zambia na Angola. Hawa waliobaki kama Botswana, Namibia, Malawi ni saizi yetu. Msumbiji wana utata kidogo lakini si kivile...
8 Reactions
77 Replies
6K Views
Baada ya kuwa nje ya ulingo kwa mwaka mzima, hatimaye bingwa wa ndondi wa uzito wa juu duniani anayeshikilia mikanda ya WBA, WBO na IBF anatarajiwa kurudi tena ulingoni jumamosi hii. Sikuhiyo...
1 Reactions
51 Replies
5K Views
Hasira yangu kwa Kocha Mkuu wa Taifa Stars kwa Kuwaacha Wachezaji wangu wazuri na waliokuwa katika Kiwango kikubwa sasa Beki Mohammed Zimbwe Hussein (Simba SC) na Kipa Metacha Boniface Mnata (...
7 Reactions
25 Replies
3K Views
Shikomooni wakubwa zangu Moja kwa moja bila kupoteza muda twende kwenye mada Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) imeshika namba MOJA kwa ubora Afrika Mashariki , namba NANE barani Afrika na namba...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Jamani ukiachana na ibada mpira nao unaweza kuwa kwenye rank ya kukusanya kundi kubwa la watu wenye mitazamo tofauti. Mpira raha sana hasa pale unaposikia timu usioipenda imefungwa. Mimi ni...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Kuna tetesi kuwa muda wowote club ya Simba SC inaweza kumtangaza Florent Ibenge Raia wa Congo kama kocha wao mkuu. baada ya kuvuja kwa picha akionekana akifanya mazungumzo na mtendaji mkuu wa...
3 Reactions
41 Replies
6K Views
Back
Top Bottom