Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

INGIA kwenye hii page soma kwa makini fatilia kuanzia 2017 utaona simba ilipotoka na inapokwenda. CAF 5-Year Ranking - Wikipedia. Kwa issue ya sasa na points zilivyo tafadhali angalia mwenyewe...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
🅣🅞🅟 ❺⓿ 1. Al Ahly SC 🇪🇬 2. Esperance de Tunis 🇹🇳 3. Wydad CA 🇲🇦 4. Zamalek SC 🇪🇬 5. TP Mazembe 🇨🇩 6. RS Berkane 🇲🇦 7. Mamelodi Sundowns 🇿🇦 8. Horoya AC 🇬🇳 9. Etoile du Sahel 🇹🇳 10. Raja AC 🇲🇦...
11 Reactions
50 Replies
5K Views
Abdul Razak Hakuna mfatiliaji na mdau wa soka bongo asiejua kwamba shida ya Yanga SC ni striker, Yanga ilikuwa inaitaji striker na imepata striker, kuhusu striker ni Mzuri kiasi gani ligi zetu za...
4 Reactions
167 Replies
15K Views
Swala la Kocha mpya tunaenda wiki ya tatu hadi leo ni kimya, na ikumbukwe mwezi ujao tuna mchezo wa kimataifa. Tuweke hilo pembeni, hivi swala la Mkude baada ya wiki 3, ndo linafika leo kwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Napenda kutoa pongezi zangu za dhati kwa uongozi wa ZBC, viongozi wa Zanzibar pamoja na Wananchi wake wote kwa wema wao wa kuamua kutuhurumia na kutumia TV yao ambayo hatuchangii hata senti 5...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Inabidi tukubali tu kuwa Chelsea ina mwalimu ambaye bado hajafika kwenye level za kuitwa world class coach kiufupi kimbinu bado hayuko vzr Sana Chelsea kwa Sasa inachotakiwa ni kumtafuta kiungo...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuanzia leo tarehe 20 natangaza mimi ni shabiki wa Leicester City. Endapo Lampard ataendelea kuwa kocha wa Chelsea basi mimi nitatua rasmi Leicester. HUYU TAKATAKA LAMPARD AFUKUZWE HARAKA SANA...
2 Reactions
8 Replies
975 Views
At 17-Years-Old: " I am Italian , I feel Italian, I will forever play with the Italian national team". At 30-years-old: "When I win them games, I am European, when we lose I am African, they...
10 Reactions
21 Replies
2K Views
Wydad (Morocco) 3-0 Stade Malien (Mali) ( aggr 3-1) Mtanzania Simon Msuva jana alicheza kwa dakika 86 kabla ya kufanyiwa Sub, ambapo kwa muda huo mnamo dakika ya 46 kipindi cha pili alipiga krosi...
9 Reactions
30 Replies
5K Views
Kwa hakika leo nimeona mchezo ninaoutaka. Timu kana utopolo wacheza mieleka ukicheza nao soft na marefa wetu walivyo, wanaweza kukuabisha sana. Ila leo nimeona physique, nimefurahi sana. Zile...
7 Reactions
67 Replies
7K Views
Taifa stars imeanza vibaya huko Cameroon dhidi ya Zambia kwa kulala 2-0. Nadhani rais atatekeleza ahadi Yake ya kutumbua waziri wa michezo ingawa hakucheza. === #CHAN2021 Mchezo umemalizika kwa...
0 Reactions
88 Replies
8K Views
Kocha wa timu ya Manchester united ameutaja mlima kilimanjaro wakati akiongea na wachezaji wake kuhusu timu yake kukaa kileleni. Nadhani hii itaweza kufungua kuongezeka kwa fursa za utalii kwa...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Muda mfupi uliopita kabla ya mechi ya CHAN 2021 kati ya Zambia na Tanzania, kama ilivyo ada zimepigwa nyimbo za Taifa za mataifa hayo mawili. Umetangulia wimbo wa Taifa la Zambia na umepigwa wote...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari wadau... Nitoe pendekezo kwa Mamlaka TFF na Bodi ya Ligi au Kampuni yoyote Kuandaa mechi kati ya wazawa dhidi ya wachezaji wakigeni ndani ya Ligi Yetu. Mechi hii inaweza kuchezwa kabla ya...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Jana saa tatu usiku katika kipindi cha Sports Roundup kinachorushwa na Clouds FM, mchezaji wa zamani wa vilabu vya Simba na Yanga ambaye siku hizi ni mchambuzi wa soka, Amri Kiemba alitoa madai...
10 Reactions
65 Replies
8K Views
Baada ya waandishi wa Africa, and Ghana haswaa kumwandama sana, kafunguka jambo ambalo naamini ni somo kwangu, kwako na kwa yule... TAKE TIME TO GO THROUGH THE LINES, TOUCHING LINES! 'SEA, I have...
14 Reactions
231 Replies
31K Views
Nimeanza kubeti mwezi March wakat Rafik yangu alipokuja kunitembelea Ghetto na kunionesha sample ya mikeka anayokula. Nikatamani sana!! Mwanzo nilikua muoga sana, nikawa naweka stake ya sh. 500...
63 Reactions
106 Replies
36K Views
Nawaomba uongozi wa simba waipige stop kuzungumzia simba kwa njia yoyote ile sababu ukiona simba inazumziwa sana clouds basi tambua kuna jambo baya hapo kwenye mema wala watazungumza hata dakika...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Wasiojuwa mpira walimkera sana kocha kwa kufungwa 1-0 ugenini, viongozi na mashabiki walimzodoa, kejeli na mtishia eti kwanini kafungwa. Baada ya kupindua kibabe meza na kupata matokeo aliwaprove...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom