Aisee leo vimenoga kweli kweli maana mpaka Sasa mapambano ma tatu na yote watanzania tumepoteza 'kihalali kabisa'. Mabondia wa tz Leo Hawako vizuri kabisa
Inatia huruma Sana Na Inauma Sanaa Kuona Msemaji wa Club kubwa ya Wananchi anafungiwa Kwa miaka 3 kwasababu Ya Maadili.
Inauma Kwasababu anashindwa Kulipa Tsh Millioni Tano
Hii inaonesha...
Alipohojiwa gwiji wa soka la Uholanzi na Mkufunzi wa soka Frank De Boer juu ya Jose Mourinho na Manchester United, De Boer aliponda kuwa wachezaji wazuri kama Marcus Rashford hawana cha kujifunza...
Kwa kifupi Ndailagije kamkosea heshima Juma Kaseja.
Kwa umri na uzoefu wake, hapakuwa na sababu kumwita T Stars ili akasugue benchi kwenye CHAN.
Kama alishaona Manula atakuwa keeper number 1...
Kufuatia kutangaza kustaafu soka kwa beki wa Kulia wa klabu ya Bayern Munich Philip Lahm ifikapo mwisho wa msimu, Dunia ya soka itammiss Lahm moja kama beki bora wa kulia wa wakati wote katika...
Wakati Jose Mourihol akiwa kocha wa manchester united aliwahi kuulizwa kwanini anaendelea kumuweka Lukaku Smalling na Lingard kwenye kikosi cha kwanza wakati wanaomekana kutofanya vizuri akasema...
Kama kawa kama dawa.... Afe kipa afe beki Tanzania inaenda robo fainali chani mwaka uhuu
Dakika ya 2' Guinea wanapata penati...Goooooool Guinea 1 Tanzania 0
Dakika ya 23' Baraka Majogoro...
Dar es Salaam. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez amesema walikuwa na wazo la kuishirikisha Yanga katika mashindano yao ya wiki moja ya ‘Simba Super Cup’.
Mashindano hayo ya Simba...
Kamati ya Nidhamu ya Klabu ya Simba chini ya mwenyekiti wake Suleiman Kova imetangaza hukumu ya kiungo wa klabu hiyo, Jonas Mkude ambaye alisimamishwa na uongozi kwa makosa ya utovu wa nidhamu...
Nimecheki mpira vijana walikuwa kwenye form mwanzo Ila kadri dakika zinavyoyoma pumzi zinawakata na wanaanza kupoteana .
Kulikuwa Kuna wachezaje Kama watano mule ndani wamechoka .Na kocha kafanya...
Pata za moto moto kutoka kwa Njaa kalihatari, nilikugusia in advance kusajiliwa kwa Junior Lokosa na kocha Da Rosa
Sasa napenda kukutaarifu kwamba anayetambulishwa ni jamaa refu namba tano la...
NINI TATIZO LA TAIFA STARS KUSHINDWA KILA MECHI!?
Leo 12:30hrs 24/01/2021
Nakubaliana na kila Mtanzania kwa 100% na ukizingatia nchi kama Zambia,Namibia,Guinea...
Hakuna siku niliumia kama siku JT wa Chelsea kutukosesha UCL kwa kukosa penati ya mwisho dhidi ya Man U ilikuwa 2008 mjini Moscow.
Saivi tungekuwa tunahesabu 2 UCL CUPS
Hebu tiririka mechi gani...
Wakuu,
Siku za karibuni nchi yetu imeshuhudia industry mpya ya uchambuzi ya soka ambayo imejizolea umaarufu mkubwa na kutengeneza ajira za vijana wengi.
Pamoja na kuwa na wachambuzi wengi hivi...
ANGALIZO
Tafadhali kisibadilishwe na pia Kicheze kama ambavyo nimekipanga kwani Kiunyangindo kimeonyesha Mafanikio na tutashinda mechi zilizobakia.
Kikosi cha Kuanza kiwe hiki tu....
1. Aishi...
25 January 2021
Mabingwa wa soka Tanzania timu ya mtaa wa Msimbazi jijini Dar es Salaam Tanzania yalaumiwa kwa kuwa na "mkono wake" ktk majibu ya Covid-19 yenye utatanishi.
Mfano wachezaji 5...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.