Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kumekuwa na udhalilishaji mkubwa juu ya brand ya Yanga kwa kisingizio cha utani wa jadi kinachofanywa na Kiongozi wa Simba anayejiita Hajji Manara. Nimefuatilia kwa karibu ndani ya msimu huu mtu...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Baada ya kuuanza mwezi Februari kwa kichapo kizito cha goli 9-0 kutoka kwa Manchester United na kisha kupigwa tena 3-2 na Newcastle kwenye michezo ya ligi, Southampton hii leo inashuka tena...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau, Nadeclare interest mimi ni mshabiki wa yanga.. Ukweli kulalamikia marefa sio sahihi kwamba wanatunyima penalty, tumebebwa mechi na tumepewa penalty nyingi zisizo halali mojawapo...
10 Reactions
9 Replies
2K Views
Video ikionyesha wahuni wa Yanga wakiahidi kufanyia fujo marefa kama timu yao itafugwa. Mtibwa Sugar tunatoa rai kwa TFF ishirikiane na Jeshi la Polisi kuweka ulinzi na kutoa kipigo cha mbwa koko...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Baada ya kupoteza katika mchezo wa ufunguzi wa mashindano ya Afcon U20 Juma lililopita, Timu ya Taifa Tanzania ya vijana chini ya miaka 20, almaarufu Ngorongoro heroes hapo kesho wanatupa tena...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
1. Je, TFF, Kamati yake ya nidhamu na Mchezaji Bernard Morisson ndiyo inawafanya akina Sarpong, Nchimbi na Feisal kukosa Magoli? 2. Je, TFF, Kamati yake ya nidhamu na Mchezaji Bernard Morisson...
12 Reactions
19 Replies
2K Views
Klabu ya Yanga imesema kuwa haitendewi haki na vyombo vinavyosimamia mpira wa miguu kwa maana ya Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF),Bodi ya ligi, kamati ya ya masaa 72 na kamati ya...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Ni fedhea sana, ni aibu na haipashwi kufumbiwa Macho kwa hili la Kaze, Kaseke na Wapuuzi wengine wote wa Utopolo wanaolinajisi soka la Nchi yetu. TFF fungieni hawa wote akili zikae sawa.
6 Reactions
68 Replies
6K Views
Mtaitisha press conference ngapi mwaka huu? Ni akili kutishia kujitoa kwa sababu Morrison amefunga? Hivi huwa mnafuatilia ni makosa mangapi hufanywa na waamuzi mechi za wengine au mnadeka watu...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti ZUZU. tena ni ZUZU MAJI KWELI KWELI. Ambaye anaamini na Sisi mashabiki wote ni ndugu zake. Yaani nasi ni Mazuzu Maji plus plus. Nliwahi sema ni nani anamtumia Mwakalebela...
7 Reactions
4 Replies
709 Views
Habari za Yanga kusajiri kikosi tishio zilivuma sana. Maelfu ya mashabiki wakavamia airport kupokea professional players. Msemaji wao akaitangazia dunia wamesajiri kikosi cha bilioni 3...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
NIGERIA: Plateau Utd wamekataa kuruhusu mechi kurushwa mubashara. Licha ya juhudi zetu zote tukishirikiana na mshiriki wetu AZAM TV, mwenyeji wetu amekataa kushirikiana kwenye hilo. Nichukue...
5 Reactions
41 Replies
5K Views
" Yanga SC inafanya vibaya sasa ( kwa kutoka Sare ) mfululizo kwakuwa TFF na Kamati yake ya Nidhamu inatuhujumu mpaka leo haijakaa Kusikiliza Kesi zetu ", amesema Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Nilimsikia Mh. Mwakalebela akisema Morrison amesimamishwa kucheza mpaka kesi ya Yanga iishe. Kwa kiwango cha Morrison leo Mwakalebela utuombe radhi Wanayanga. Morrison anaendelea kucheza na...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara Vodacom Premier League VPL' kuvurumishwa leo February 18, 2021 ambapo Biashara Utd wanapambana na Mabingwa wa Nchi Mnyama, Simba SC kwenye uwanja wa Karume...
13 Reactions
134 Replies
11K Views
Heri ya kuzaliwa mtalaam wetu Barbara
8 Reactions
27 Replies
3K Views
Michezo mitatu ya Kigi Kuu ya Soka Tanzania Bara imechezwa hii leo katika viwanja tofauti Baada ya kuondoka na alama 1 katika mchezo dhidi ya Mbeya City juma lililopita, Yanga hii leo wameambulia...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Shame Shame Shame Makosa ya kibinadamu yanatokea kwa kuwaminya Yanga SC tu?, Inasikitisha sana wananchi tumeamua kusahau yaliyotokea Mbeya ili leo makosa yale yale tena mawili yajirudie. Faulo...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
Wakati mashabiki wa Yanga wakichukizwa na matokeo ya sare ya mabao 3-3 hasira zao zilielelekezwa kwa Mwenyekiti wa klabu Dk Mshindo Msolla. Tukio hilo lilijiri dakika chache mara baada ya firimbi...
9 Reactions
42 Replies
4K Views
Back
Top Bottom