Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

. Kocha Mkuu wa klabu ya As Vita Club Florent Ibange amesema kuwa hakuwahi kutegemea kuona katika kundi lao ambalo walipangwa kundi D kama klabu ya Simba ingepita na kutinga hatua ya robo fainali...
12 Reactions
44 Replies
9K Views
Habari mbaya sana kwa deportivo la utopolo ambao kwa sasa wanalalamika kwa nini team ya 13 kwa ubora Africa ambayo very soon itaingia top 10 imeamua kuachana na yutong la sportspesa la 2010...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Mara nyingi nimekuwa nikijihusisha na kuiombea mabaya club ya Simba. lakini imekuwa kinyume sasa. Naacha hizo habari kwa matches za Kimataifa. Nmegundua nitapata ugonjwa wa moyo bure na kufa kwa...
30 Reactions
32 Replies
2K Views
Mabingwa wa Nchi, Mnyama Mkali, Simba SC, imepania kuendelea ilipoishia kwa kuendeleza ushindi dhidi AS Vita Club katika hatua ya makundi ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika, mchezo ambao utapigwa...
10 Reactions
92 Replies
8K Views
NJE YA 18- SIMBA VS AS VITA THADEO LWANGA, anaweza kuwa Mwami kutoka Kigoma kwanini asiwe mtu kutokea huku kama anaweza kuwa na nguvu kama Hawafu, nusu ya chini ni eneo lake ameamua kulimiliki...
12 Reactions
15 Replies
2K Views
Tupo kwenye majonzi simba leo wametufurahisha sana Yanga nawapongezeni mmeanza uzalendo
2 Reactions
1 Replies
755 Views
Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid Karim Benzema atafikishwa mahakamani mwezi Oktoba kujibu tuhuma ya kuhusishwa na hujuma ya kanda ya Video ya ngono dhidi ya aliyekuwa mchezaji mwenzake wa timu...
2 Reactions
50 Replies
5K Views
Wakuu, Kwa skills zile, why chama ameshindwa kucheza ulaya? Tuwe honest, zile skills si za kawaida [emoji119]. Why! Why! Why! He is supernatural, magician [emoji145], kwanini yaani? Weka uyanga...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Leo nimepita mitandaoni na kukuta kuna taarifa inasambazwa kuwa mchezaji mahiri wa as vita alieisumbua ngome ya simba Djuma hatakuwepo kutokana na kupata majeraha yatakayomweka nje kwa miezi 6...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Wakuu naomba msaaada channel ipi dstv inaonesha ligi ya mabingwa afrika??
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu, Uongozi wa TFF chini ya jamal malinzi umemfungia ndumbaro kwa miaka saba, Dkt. Ndumbaro amelipinga hilo na amekata rufaa, naomba status kuhusu hili suala, mbona kimya saana?
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo nataka kuizungumzia mamlaka inayosimamia mchezo wa miguu hapa nchini. TFF ya karia kwa hakika imepata mafanikio kadhaa kama vile kushiriki Afcon Senior na junior, CHAN nk.Lakini pia kuboresha...
0 Reactions
3 Replies
989 Views
Bila kupepesa macho wala kung’ata maneno Mlindalango wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars na Klabu ya Simba Aishi Manula ndiye golikipa namba moja kwa hivi sasa nchini. Na hili...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Evander alipigwa zile Iron fist nyingi sana ingawa na yeye alikua anatoa kombora zake. Ukiangalia video Evander kavimba uso Mzima. Ndio siku hiyo akadai amengatwa sikio. Tyson akaporwa taji...
3 Reactions
32 Replies
4K Views
Klabu ya El Merreikh ya Sudan inadaiwa kuwa inataka kumsajili golikipa wa Simba Aishi Manula ,25, kwa dola 100,000 (Tsh milioni 231) na mshahara wa dola 8000 (Tsh milioni 18.5) kwa mwezi."
8 Reactions
89 Replies
9K Views
Simba SC na AS Vita ya DRC Kesho 03.04.2021 saa 10 jioni Ifikapo kesho saa 10 jioni pale uwanja mkubwa wa soka Tanzania maarufu kwa Mkapa kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka kati ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa taarifa za awali na zilizonifikia ni kua mpaka sasa club ya Simba imeruhusiwa kuingiza mashabiki 10000 kwenye mchezo wa trh 3/4/2021 dhidi ya As Vita Club . Taarifa njema kwa simba ilocheza...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Itoshe kusema kwamba ndani ya misimu hii mitano huyu ndio golikipa bora kwa Tanzania. Kumlinganisha na golie wengine ni kumkosea heshima tu. Tusisubiri mpaka Rais Samia amtolee tamko. Hii kesi...
8 Reactions
23 Replies
3K Views
Bao pekee la nahodha Emilio Nsue Lopez dakika za 90 kwa timu yake ya Equatorial Guinea limesukumiza nje Tanzania katika kutafuta tiketi ya kufuzu Africa Cup of Nations (AFCON) hapo jana usiku...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom