Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Baada ya kutoka sare na timu ya KMC Kumekuwa na maneno mengi juu ya hali ya timu,wachezaji,uongozi na hata uwezo wa mchezaji mmoja mmoja,kila mashabiki analalamika kivyake Niwaombe yanga wenzangu...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Baada ya michezo ya kimataifa leo Simba wanatupa karata nyingine kwenye ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sukari kutoka Manungu Turiani. ======== 00' Mpira umeanza dimba la Mkapa 06'Mtibwa...
14 Reactions
172 Replies
16K Views
Mechi ya kwanza ya ligi ndani ya OT, Man Utd anafungwa vizuri tu na timu ya kawaida Crystal Palace. Bodi ya Man Utd imekuwa ikikaa kimya na kusuasua katika usajili, hivyo kumfanya kocha Ole Gunnar...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Nadhani Simba hawako Serious, watu mna Mechi za maana kabisa hapa duniani, mnacheza mechi za VPL zilizojaa watu wenye roho mbaya wanatuombea mabaya kila siku, wanawapokea wapinzani wetu wa nje na...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Why would they give Connor a title shot after losing twice in a row? I get that Dana doesn't care about rankings and it's just in it to make money but Connor doesn't deserve a title shot...
0 Reactions
2 Replies
447 Views
Hii nchi ni ngumu sana. Unaweza kumpa mtu elimu ukatarajia ataacha tabia zake za wanga, ila akisoma anaanzisha aina mpya ya wanga. Niseme wazi kuwa, hao utopolo, baada ya kushindwa kwenye pitch...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kufahamishwa kuhusu katiba ya Yanga inasemaje ikiwa mashabiki hawana na imani na uongozi uliopo? Mimi binafsi nimeona tatizo la Yanga ni Msola na magenge yake ndio wanairudisha nyuma timu...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
" Mimi kama Sekilojo Chambua tena Mjumbe wa Kamati ya Usajili ya Yanga SC niseme tu kuwa hatushirikishwi katika Kusajili Wachezaji wa Yanga SC matokeo yake Mtu Mmoja anaamua kwenda Kusajili na...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Ninakubali kuwa mabadiliko ya mpira wa kisasa yanahitaji mchezaji anayeweza kufanya kwa ufasaha kazi zaidi ya moja. Ninakubali na ninaheshimu sana hilo. Kwasababu hiyo, mpira hautaki tena mikono...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Watani zangu nawashauri mechi za ligi zilizobaki mzitumie kwa ajili ya kupunguza vitambi vya hiyo mihogo mnayolishwa kambini. Halafu ligi ikiisha mtukumbushe tuwagawie magoli kidogo.
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni Usiku wa Ulaya! Hatua ya robo fainali inaanza leo. Ambapo leo michezo miwili itapigwa. 1. Man City Vs Dortmund 2. Real Madrid Vs Liverpool Na kesho jumatano itapigwa michezo mingine miwili...
1 Reactions
61 Replies
5K Views
Kauli ya Msemaji Mtibwa Sugar.. " Sina Malalamiko au Lawama zozote kwa Kipigo hiki Kikubwa kutoka Simba SC kwani tusidanganyane kwa sasa Tanzania, Afrika Mashariki na hata Afrika hakuna Timu...
5 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo ndio leo! Wanaume wa shoka wanakutana kutafuta Nani mbabe! Timu zote zimeshafuzu Robo Fainali, kinachosubiriwa ni Nani ataibuka mbabe baina yao, kwa kuwa mechi ya Leo haitabadilisha msimamo wa...
6 Reactions
337 Replies
23K Views
Swaumu ni chungu cha pili, Meddie Kagere anaingia kambani mara mbili, kuipeleka Simba nafasi ya pili na kumwacha Prince Dube wa pili kwenye orodha ya ufungaji, MK14 haihitaji nafasi mbili kuwapaka...
8 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ni shabiki simba damu na nimekuwa mmoja kati ya watu wanaopigania simba ipate basi jipya lenye hadhi ya simba kwa muda mrefu. Nimefika mbali mpaka kutoa ushauri kwa mo apunguze bonus za mamia...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
ALIPOFIKA nchini mtu mmoja wa Simba alininong’oneza kitu kuhusu mshambuliaji anayeitwa Chris Mugalu. Aliniambia; “Mugalu ni mchanganyiko wa John Bocco na Meddie Kagere kwa pamoja”. Hii ilikuwa...
12 Reactions
25 Replies
5K Views
Suarez alikuwa hafurahii maisha ndani Anfield 2013 na alikuwa anataka kuondoka. Liverpool walimuambia hawana shida, wapo tayari kufanya mazungumzo na klabu yoyote aliyopo tayari kujiunga nayo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Generalist nikiwa ' nawachana ' Yanga SC hapa JamiiForums huwa mnasema ' nawachukia ' kwakuwa Mimi ni Simba SC sasa leo kupitia Wasafi FM mwana Yanga SC Mwenzenu na Msemaji wenu wa zamani DC wa...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Mwenye macho haambiwi tazama, tunataka kusogea mbele zaidi. Nguvu moja.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kama ningalifuata usemi wa "Ya Kaisali Muachie Kaisali" basi ningebaki na donda lenye kudumisha deni la Roho yangu, na kama ningaliweza basi ningeenda pale Colombo Sri Lanka kwenye Kaburi la Sir...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom