Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mimi kama shabiki na mwanachama wa Yanga nguli kabisa, Napendekeza Gamondi apishe fasta Gamondi ulikuwa moto wa mabua Sasa makocha wa bongo wamestukia mbinu zake, itakuwA ngumu kushinda 1...
8 Reactions
60 Replies
2K Views
Kutoka vyanzo vya ndani kabisa vya waliopo Yanga, Gamondi ameshapewa mkono wa kwaheri. Sijui kwanini Yanga hawataki kutangaza?
1 Reactions
59 Replies
2K Views
Kocha Muargentina Miguel Gamond, a.k.a Mzee wa "FOR ME" amesababisha tatizo la kisaikolojia Kwa Mashabiki na Viongozi wa Simba , ambao wao wanaamini mafanikio ya club yao mchawi wao ni Miguel...
6 Reactions
20 Replies
900 Views
Wazungu huamini sana katika uwezo wa wachezaji, lakini huku africa hasa Pale ambapo inasemekana wenye akili ni wachache sana wanaamini katika Uchawi. Inasikitisha sana unafukuza kocha huku...
2 Reactions
8 Replies
435 Views
Bundi yupo jangwani Arafat makamu wa raisi alikuwa na msimamo wa kumuachia hersi timu yake na kuwashawizhi baadhi ya wadhamini kujiondoa klabuni hapo. Chanzo nyeti kinasema Hersi alikua anasita...
0 Reactions
1 Replies
356 Views
Klabu ya Yanga leo imemtangaza Miguel Angel Gamondi (59) Raia wa Argentina kuwa Kocha Mkuu wake mpya. Miguel Angel Gamondi amewahi kufundisha timu mbalimbali ikiwemo Wydad Casablanca ya Morocco...
8 Reactions
97 Replies
14K Views
Here are the reasons 1: Substitution: mzito, very late and bad substitution of players? 2 : guede issue : he is bad slow player who affect yanga energy, why ana mtaka I don't know? Why 90mins...
0 Reactions
41 Replies
2K Views
Kwa historia ya wababe hawa wawili wa mpira Tanzania yaani Simba na Yanga haijawai kutokea wala kufikirika Kwa Kocha kufukuza na wala ukosefu wa Amani klabuni iwapo Timu ikipoteza mechi na Timu...
2 Reactions
15 Replies
730 Views
Msemaji wa Yanga, Ali Kamwe, tangu Yanga ifungwe na Tabora amekuwa akijaribu kukanusha kila alilokuwa akiulizwa na Wanahabari na pia yaliyokuwa yakiulizwa mitandaoni. Kinachoonekana mambo mengi...
5 Reactions
14 Replies
493 Views
Wakuu mpo Mimi ni mmoja wa walioshtushwa na kufukuzwa kwa Miguel Gamondi pale Yanga. Inawezekana yapo nyuma ya pazia tusioyajua, ila naomba tudondoshe takwimu ambazo Yanga watamkumbuka Gamondi...
0 Reactions
8 Replies
482 Views
wanayanga kitu muhimu cha kutegemea kutoka kwa kocha mpya mu-algentina ni ubora wa soka usishuke ila uzidi kupanda kiasi cha kuzionea timu nje ndani na za kimataifa. Ninachowataka Wanayanga...
6 Reactions
66 Replies
3K Views
Hakuna cha ubora wa nini, iweje Bangala na Feitoto waonekane wachezaji wa kawaida tu wakiwa azam wakati walipokuwa Yanga walikuwa mastaa na walikuwa wanaupiga mwingi. Leo Feitoto na Bangala...
13 Reactions
48 Replies
4K Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Binafsi Jana sijashangazwa na matokeo na kipigo kikali kutoka Kwa Tabora United,hilo nililitarajia baada ya kuona Line up kabla ya mechi!,Kitendo Cha...
18 Reactions
44 Replies
3K Views
Dah! Huyu mwamba huu msimu kaamua kuja kivingine kabisa kwa ufupi hasomeki. Yahani akikutana na timu kubwa na inayojua ball anaibamiza bao za kutosha, ila akiutana na wachovu pale ndio unajua mtu...
4 Reactions
11 Replies
923 Views
Hii timu inayodunga wachezaji madawa yaliyopigwa marufuku kwenye michezo kwa kusudi la kuongeza nguvu ifanyiwe vipimo vya kushtukiza siku ya mechi. Hatuwezi kuacha hii hali ichukuliwe ya kawaida tu
1 Reactions
6 Replies
304 Views
Ukiangalia mwenendo wa Wydad unaona kabisa no timu ambayo itachukua muda mrefu sana kukaa sawa. Club World Cup ni mwakani na Wydad ndiyo kwanza imefungiwa kufanya usajili kwa hiyo zoezi la...
3 Reactions
35 Replies
1K Views
Ninajiuliza inakiaje waende Azam na baada ya kukimbia Azam wamekwenda KMC. Mbona uwanja wa Uhuru shamba la bibi upo vema tu. Au umefungiwa?
2 Reactions
33 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, habari kutoka makao makuu ya yanga gamboshi. Uongozi wa yanga umempa gamondi mechi 3 za kimataifa akichemka tu wanamla kichwa. Kwa kifupi hana jipya...
4 Reactions
19 Replies
850 Views
Kocha Moallin moja kati ya hoja zake za kuondoka kwenye timu ni kucheleweshewa malipo yake kila mwezi. Na moja kati ya majibu ya mwenyekiti wa bodi ya KMC, Meya wa Kinondoni katika kujibu hoja za...
1 Reactions
0 Replies
130 Views
Kwanini kuifunga Simba Tabora wapewe Milioni 50 wakati wameifunga Yanga wakapewa Milioni 20? - Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha ameweka wazi kwamba utaratibu wake kwa Timu ya Tabora United huwa...
2 Reactions
5 Replies
471 Views
Back
Top Bottom