Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Rais wa Shirikisho la soka la Afrika Kusini (SAFA) Danny Jordaan amekamatwa kufuatia madai ya kutumia pesa za Shirikisho hilo kujinufaisha binafsi, kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo...
1 Reactions
5 Replies
410 Views
Hali ilivyo kwenye hafla ya kukabidhiwa Sh20 milioni kwa Tabora United baada ya kuifunga Yanga. Tabora United imekabidhiwa Tsh. 20 Milioni na Mhe. Paul Chacha Matiko Mkuu wa Mkoa wa Tabora ambayo...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Kuporwa Prince Dube kibabe ndio kulifanya Yanga na Azam wawe na beef hadi kupekekea video zao wakiroga na kujidunga dawa za kujiongeza nguvu zivuje hali iyopelekea kuhama huo uwanja...
28 Reactions
83 Replies
3K Views
Michuano ya FIFA Club World Cup ni michuano mikubwa duniani inayoendeshwa na FIFA. Michuano hii itafanyika mwaka 2025 kwa miezi ya Juni hadi Julai. Michuano itafanyika ikiwa na timu 32. Fikiria...
1 Reactions
7 Replies
406 Views
“Mimi nalipwa hela nyingi, sasa nawezaje kuwa Chawa Mtu mwenye Ubalozi wa Kampuni zaidi ya 20, nani ananiweza Nchi hii kwa Ubalozi? tena sio kampuni ndogo Mimi sitangazi nyanya ya kopo, mmeshawahi...
8 Reactions
24 Replies
2K Views
Hapo vip!! Kwa uzito wa jambo hili kutokana na madhara yake kwenye ulimwengu wa soko sio swala la kufumbia macho au kuliongelea na kuliacha hewani,hewani. Nafikiri tuchukue hatua zaidi ya...
5 Reactions
59 Replies
2K Views
Mtasababisha akamiwe kupitiliza kwa upuuzi wenu wa kumpa sifa nyingi kwa mechi Moja. Nkane usivimbe kichwa kwa sifa za kipumbavu. Kataa sifa hizo za wajinga ongeza juhudi kazini.
4 Reactions
24 Replies
814 Views
Licha ya kuwa mpira ni haramu kwa mujibu wa mafundisho ya dini yangu lkn kama mimi kama msomi sinabudi kuchambua mchezo huo. Tuanzie hapa. Yanga na simba ni timu kongwe sana Tanzania, ni timu...
3 Reactions
39 Replies
896 Views
Nyota wa Klabu ya Simba, Joshua Mutale, hatoshiriki kwenye mechi za kufuzu michuano ya AFCON 2025 ambazo Zambia itacheza kwenye tarehe za FIFA, Novemba 15 na 19. Mutale, aliumia katika mchezo wa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Bondia wa Ngumi nchini Karim Mandonga ametamba kuonyesha Ngumi ya SGR katika Pambano la Ngumi ya Tanga litakalofanyika Novemba 16 likiwa ni kuhamasisha wananchi kushiriki kwenye uchaguzi wa...
3 Reactions
8 Replies
505 Views
Leo wakat naenda dukan kupata mahitaj nikakuta pembezon mwa duka kuna vijana wameva jez nikajua fika hawa ni wachezaji. Wakat nikiendelea kufanya manunuz mmoja akanifuata akanambia...
4 Reactions
47 Replies
688 Views
Wakuu Mmesikia huko? Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha, ameahidi kitita cha shilingi milioni 50 kwa timu ya Tabora United iwapo itaibuka na ushindi dhidi ya Simba katika mchezo wao ujao...
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Hawa jamaa Kuna uchawi wanatumia au namna yoyote ya ndumba ?mbona hawafilisiki jamani?
4 Reactions
38 Replies
9K Views
Huu ni ujinga. Siku zote hamkufunga cameras. Tumekuja sisi mnataka kufunga CCTV. Maana yake sisi ndo tatizo? Acheni huo ujinga. Kuna nini cha kusema hizo cameras zitalinda pale uwanjani? Mbona...
6 Reactions
43 Replies
2K Views
Kwa takribani saa 48 sasa kuna mambo kibao yanaendelea ndani ya Simba. Tajiri Mohamed Dewji ‘MO’ ameingia msituni mwenyewe. Ameamua kufumua kitu kimoja baada ya kingine kwa vitendo katika...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
VIA FIFA LEGAL PORTAL Young Africans Sport Club Miami, 11 November 2024 Ref. no. FDD-20161 Registration ban implementation Dear Madam, Dear Sir, We refer to the abovementioned matter, as well as...
3 Reactions
45 Replies
2K Views
Coach mashuhuri mwenye mbinu za kimafya anajiunga na timu ya ndoto yake Young Africans. Coach Moallin ameaga uongozi na wachezaji wa KMC Sasa anaingia timu ya Wananchi Sasa Dube atafunga magoli...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Simba Queens imeendeleza ubabe dhidi ya Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake uliochezwa Uwanja wa KMC Complex jijini Dar es Salaam. Bao la Vivian Corazone limetosha kuipa Simba pointi tatu...
4 Reactions
10 Replies
531 Views
Habari zenu wana jf wote Hv unapokuwa unacheza mchezo wa draft inafaa kuzingatia vitu gani ili uweze kuziteka vizuri kete za mwenzako
3 Reactions
233 Replies
59K Views
Nimeshangaa kujua kumbe Azizi Ki aliyekosa Penati siku Yanga inacheza na Tabora United, aliwaongoza wachezaji wenzake wa Yanga kuishuhudia Simba ikiidungua TABORA UNITED 3-0 Agosti 18 2024. Sasa...
3 Reactions
11 Replies
748 Views
Back
Top Bottom