Hakika Yanga inaendeleza historia yake ya miaka mingi.Yaani haina utani katika kufanya maamuzi.
Yaani ukiizingua Yanga haikuachi ukiisaliti Yanga lazima ikunyooshe.
HONGERA ENG Hersi.
na wengine...
Afisa Habari Yanga SC, Ally Kamwe amesema kocha wa Yanga, Miguel Gamondi bado yupo klabuni hapo, na ataongoza kipindi cha mazoezi kwa wachezaji siku ya leo.
Kocha Miguel Gamondi akiingia GYM...
Hii kitu nimeipenda sana, viongozi wa yanga wamepata shutuma za Kila aina wiki hizi tatu, timu ya yanga imechambuliwa na Kila mchambuzi na maneno yake, kocha kafukuzwa na wachambuzi.
Lawama za...
Viwango vya wachezaji wa Yanga vimeshuka,Aziz Ki injini ya timu hata timu ya Taifa hajaitwa yupo zake Tabata snall planet anakula shisha,kutoka kushinda tuzo ya mfungaji bora mpaka kuwa na holi...
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga Alexander Ngai amesema maamuzi ya klabu hiyo kuachana na kocha Miguel Gamondi hayajatokana na matokeo ya kupoteza mara mbili mfululizo dhidi ya Azam na Tabora...
Simba SC imetoka sare ya bao 1-1 dhidi ya KMC FC kwenye mchezo wa kirafiki uliopigwa leo KMC Complex, bao la Simba limefungwa na Kelvin Kijili wakati la KMC likifungwa na Pascal.
Fadlu kabla ya...
Nimeshuhudia ASAS Djibouti, KMC na hata JKT wote wakicheza mpira unaofanana walipocheza na Yanga ambao umesababisha wakaadhibiwa vibaya. Leo nitatoa maoni yangu kwa timu zingine zitakazokuja...
Hii ni baada ya kuitwa kwenye kikao na Master Gamondi kugoma kutokea.
Uongozi umechoshwa na jeuri ya kocha huyo na sasa muda wowote ndani ya masaa 24 yajayo Gamondi atafutwa kazi
Haji Manara aka Haji Matrophy . Shareef El Buggati. Shareef Makombe.
Shareef Makarama.
Yanga itapaa kwa viwango vya juu sana. INJINIA na Haji sasa mambo powa.
Alichokisema Haji ni kwamba...
Ukweli ni kwamba Kocha Gamondi wala hakuwa na Uwezo huo ambao tokea mmempa Kazi Yanga SC mlikuwa mkimpa hadi kumuita Profesa ila mlimkuza Kiuongo na Kweli aonekane anafanya vyema ila huku nyuma...
Kutoka ligi yoyote duniani.
Mi nadhani Hawa hapa hawatomaliza msimu na pengine hawatafika hata Christmas.
i)Eric Ten Haag
ii)Fadlu Davies
iii)Mourinho
iv)Vincent Kompany
Wewe mwanamichezo...
Naona watu wengi Instagram, X na JF wanamlaumu injinia na kumuona mpumbavu kwa kumfukuza kocha Gamondi. Kwanza Rais ana jopo la uongozi ambalo anashirikiana nalo kufanya maamuzi ya timu.
Kuna...
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Novemba 14, 2024 ilipitia mwenendo na matukio mbalimbali ya Ligi na kufanya maamuzi yafuatayo...
Nimefurahi kuona hawa vijana wawili ambao wameaminiwa kuwa wasemaji wa club kubwa kama Simba na Yanga wapo pamoja Studio na kipindi cha zogo mchongo kinaendeshwa vizuri.
Sasa pata picha hapo...
Hizi ni takwimu katika mashindano rasmi tokea akabidhiwe timu ya Yanga msimu wa 2023/2024 ndani ya dakika 90 (Ngao ya jamii, klabu bingwa, ligi kuu na kombe la FA)
Michezo ya ngao ya jamii ni 4...
Fadlu David siii kocha kabisa.
Fadlu Amekuwa assist coach kwa miaka saba tofauti pale Mutirzburg United South Africa.
Kwa kipindi tofauti iliaminika yeye ndio chanzo cha mafanikio pale. Ila...
Klabu ya Yanga inadaiwa kuwa katika hatua ya mwisho kumtema kocha wa timu hiyo, Miguel Gamondi na tayari imeanza mchakato wa kumnasa kocha kutoka Algeria, Kheireddine Madoui wa CS Constantine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.