Ukiwa na Akili timamu na umemsikiliza vyema kabisa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe utakubaliana nami kuwa kwa 100% anaichafua Brand ya Azam Company na Azam Media (hasa Tv yao) ila cha Kushangaza...
Sijawahi kuelewa ukubwa wa hizi timu mbili za Simba na Yanga, Hivi timu kubwa zenye miaka 90 zinashindwaje kujenga uwanja hata mdogo Tanzania yenye ardhi kubwa na gharama ndogo za ujenzi?! Au...
Hiyo ni baada ya vipigo viwili mfululizo.
Hapa sasa ndio kuna kitu ambacho uongozi wa Yanga unatuacha njia panda sisi wadau wa soka.
Kama management iliona tatizo la wao kupoteza mechi mbili...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, Said Yakubu amesema Serikali ya [emoji1241] imetoa Tsh 30 𝘽𝙄𝙇𝙇𝙄𝙊𝙉 kwa ajili ya kuufanyia ukarabati uwanja wa Mkapa.
Amesema maboresho hayo...
Kocha Mkuu wa KMC Abdihamid Moallin inadaiwa kwamba amejiuzulu kuifundisha KMC kuanzia leo novemba 11.
Mpaka sasa KMC ambao ndio wamiliki wa Kocha huyo hawajasema chochote lakini taarifa za...
Dube wetu ilikuwa akilikaribia Goli wenye ule uwanja wanatuma mtu wao apunguze mwanga wa Taa ili asione vizuri. Tumevumilia Mengi sana sisi.
Haya ni maneno ya msemaji wa Yanga Ally Kamwe, akitoa...
Kelvin Yondan mfano wa kuigwa,miaka 43 bado anakipiga.
Sijui yuko wapi ila mpaka mwaka jana alikuwa Geita Gold akiwa bado miaka 43, kongole kwake kwa kujitunza
Huwezi kuwa unatumia uwanja wa watu halafu unawatukana wenye uwanja wao.
Ally Kamwe ajiangalie la sivyo hatoshi Yanga.
Unatumia uwanja wa Azam lakini unadhihaki wenye uwanja ni ujinga mkubwa.
Ki ubora tumeona na tunaujua huu uwanja ukitumiwa hata kwa mechi za CAF Champions league na CAF confederation cup.
Lakini vilabu vingi vya NBC premier vimeutumia, ni nini hasa sababu ya timu ya...
Wakati kukiwa na taarifa kuhusu Yanga kumtema Kocha wake Miguel Gamond, imethibitika kwamba ndoa ya Yanga na Kocha huyo Imevunjika Rasmi.
Ni hivi Jamaa ameonekana Mwanza leo na anachongojea kwa...
Pale Ikulu kuna watu wanalipwa mishahara ya bure. Tabora United na Yanga ni timu za nchini inakuwaje moja ipongezwe moja inangwe? Je, ni mara ya kwanza Yanga kufungwa?
Kama mtu ni mgeni anaweza...
Huyu ni raia wa hapa hapa ndani ila alikuwa anakipiga huko kwa Madiba.
Abdulrazack ni mchezaji kijana wa Kitanzania anayecheza soka la kulipwa nchini Afrika Kusini kwa ubora mkubwa akiwa kwenye...
Habari za asubuhi waungwana!
Wamiliki wa uwanja wa 'KMC COMPLEX' wameamua kufunga kamera za kurekodi matukio (CCTV camera) sehemu nyeti za uwanja huo.
Akizungumza kwa sharti la kutotaka jina...
Hello!
Moja kwa moja kwenye mada!
Nikiwa O - level nimesoma na mwamba mmoja jamaa alikuwa anakimbia mita 100 kwa sekunde 13-15 tu. Ikumbukwe Bolt alikuwa anakimbilia kwa sekunde 9-10. Huyu wa...
-NJE YA BOX
Yanga wamehama uwanja wa Azam Complex, hii ni baada ya kipigo mara mbili mfululizo kutoka kwa Azam Fc na Tabora United.
Yanga hawajaweka wazi kwanini wamekimbia Chamazi ila kuna...
Yanga wamefanya maamuzi ya kitoto sana yote yamesababishwa na ombwe la uongozi sababu mpaka sasa hazijawekwa wazi wanachama na mashabiki wao kwakuwa ni empty up stairs wameshindwa kuhoji wala...
Na Mwandishi Wetu
Shirika la Umeme Nchini (Tanesco), limesema kukatika kwa umeme katika miji ya Dar es Salaam na Zanzibar juzi usiku kumesababishwa na njia ya umeme kati ya Morogoro na Ubungo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.