Yanga mlipewaga eneo na Rc Makonda akiwa mkuu wa mkoa wa Dar.
https://www.mwananchi.co.tz/mw/michezo/yanga-kujenga-viwanja-vitatu-eneo-la-makonda-2976210
Hilo eneo bado lipo. Hayo mabilioni ya...
Azam Complex wamiliki na mameneja ni washenzi sana. Wanatuhujumu. Uwanja wanakataa tusiuone kabla ya match. Ni washenzih sana hawa jamaa.
Wanatuhujumu sana hawa Azam na mikia. Hawataki tuwe...
Iwapo Young Africa Wana wazo la kumfuta Kazi kocha Wao GAMONDI basi na Wategemee kocha ajae ataja sema Yale Yale ya BENCHIKA kuwa wachezaji hawafundishiki!
Tunashudia kila mechi khalidi aucha na Mudathiri huingia kwa lengo la kucheza rafu kupiga mateke wachezaji wa timu pinzani marefa huishia kuwapa onyo la mdomo na mwisho hutoa kadi ya manjano baada...
Yanga tumefungwa mara nne mfululizo na tulikuwa tunapata pressure kutoka Kwa media na mashabiki wengi
Sasa tumewapa mtego wa Manara amkane Eng Hersi na wengi wamejaa
Na Sasa uongozi una Fanya...
Kumekucha kumekucha,Gamondi ametema cheche,adai kuna baadhi ya wachexaji wake wanakesha klabu ya usiku pamoja na baa ya kitambaa cheupe na kesho yaje wakija mazoezini wamechoka ,huku uongozi...
Lilikuwa suala la muda tu baada ya Bundi mzee kuwika katika uwanja wa Chamazi, klabu namba moja kwa masuala ya ushirikina Tanzania.
Daima mbele nyuma mwiko kuanza harakati za kuukimbia uwanja wao...
Ebu tuingie Kwa undani Kuhusu malalamiko ya timu kulalamika kuwa ratiba inabana Kwa kucheza Michezo baada ya siku 3.
Kila Timu inatakiwa KUSAJILI wachezaji 30. Wenye mpira Wao sio wapumbavu kwa...
Nimejaribu kumsikiliza leo kupitia Amplifaya ya Milard Ayo, sijaona cha maana zaidi ya kujisifu tu kwamba ndani ya miaka miwili atamiliki/atanunua klabu ya ligi kuu Tanzania.
Pia anadai yeye...
Na msivyo na Akili pengine ndiyo maana hata aliyekuwa Kocha Mkuu wenu Luc Eymael (Raia wa Ubelgiji) alisema (ipo YouTube) kuwa mna Akili kama za Nyani, Mbwa na Sokwe leo mmesahau kuwa ni nyie nyie...
Ukinichukia nakuchukia titi 4 tati,ukinipenda nakupenda titi 4 tati...
Kuchukua ubingwa mara tatu mfululizo,nakuingia fainali shirikisho kumejenga chuki dhidi ya viongozi wa simba juu ya...
Makolo wako busy kuijadili Yanga badala ya ku-focus madhaifu ya timu yao ambayo bado inaendelea kujitafuta na haina uhakika wa matokeo mazuri. Maneno ni mengi ila yote msingi wake ni kujifariji...
Ni kweli amepoteza mechi mbili mfululizo, lkn ni kocha gani aliwahi kuifunga Simba mara nne mfululizo zaidi yake? Wana Yanga tusijichanganye? Hata aibu ya karne ya (1 - 5) katubeba yeye.
Kwa...
Na walivyokuwa Wendawazimu na Watu wa kupewa Fedha na MSG watasema bado aliyefungwa Mechi Mbili katika Ligi Kuu ya NBC ndiyo Timu bora huku yule ambaye Kafungwa Mechi moja tu na sasa ndiyo...
huu ni ujumbe wangu mimi mwanayanga halisi kwako wewe white haji manara :
mzungu pori umekuwa chanzo cha chuki na fitina kila mahali ulipopita kama mfanyakazi , unasifika kwa kufitinisha watu...
Wakuu msikie Manara huko!
Anasema katika kipindi cha kuelekea katika kilele cha wiki ya mwananchi mwezi Agosti mwaka huu 2024 wakati ameenda kambi ya Timu ya Yanga kuongea na wachezaji na bechi...
Ana bahati ya kuwa na wachezaji wazuri na ndio wanaombeba!! Anapewa sifa asizostahili!! Wachezaji wa Yanga hata ukimpa Julio anaweza kutinga fainali CAF champions league!! Gamondi hamna kitu!!
Nawashauri viongozi wa Yanga, msiwe na pressure kutoka Kwa mashabiki wasiojua mpira mkaingia kwenye mtego wa kumpa Aziz ki pesa ndefu takriban 1.3 billion, mtakuwa mmejichanganya.
Azizi ki Kwa...
Hivi kwanini mkisoma habari za michezo watangazaji wanakuwa na haraka sana. Habari za michezo kama mpira wa miguu hasa ligii kuu ya Tz mnaipa air time kwa dakika chache ama sekunde kadhaa.
Ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.