Wachezaji, makocha, mameneja, maafisa habari na waajiriwa wengine pamoja na maafisa ubashiri wao wana kila sababu ya kuwekeza huko maana wanaingiza moja kwa moja kipato chao kupitia soka...
Leo ni tarehe 7 thursday november 2024,yanga imefungwa mfululizo na Azam na Tabora,hii ni mzuri sana kwa watu wanaojua mpira hii inaitwa the calls,hii itawafanya Yanga wakae sawa kuangalia timu...
Kwa kitendo chao cha kumkanda utopolo kwake tena dar es salaam kwenye uwanja wa kapeti wakiwa na mashabiki wao na wachezaji wao wote muhimu, tunasemaje Tabora United mnastahili heshima ya kuitwa...
Inasikitisha na kushangaza sana.
Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru,nchi ambayo inasemekana tuna utajiri wa maji kuliko nchi yoyote ukanda huu wa maziwa makuu na pengine Afirka nzima,leo tunajadili swala...
Wakati meli ya Titanic inazinduliwa, walioijenga walisema kuwa ile meli haitazama Kamwe (unsinkable)
Historia inaonesha kila aliyepanda ile meli alikuwa na Imani nayo kubwa Sana kuwa haitazama...
Jana baada ya mechi ya Yanga Vs Tabora kumalizika, licha ya timu ya yanga kupoteza mara ya pili mfululizo kwa bao 3-1 tena wakiwa uwanja wa nyumbani, mashabiki wa yanga karibia asilimia 80...
Saa chache baada ya Yanga kupoteza kwa mabao 3-1 dhidi ya Tabora United, kimeitishwa kikao kizito cha Kamati ya Utendaji cha pili kwa siku kikimjadili kocha wa timu hiyo Miguel Gamondi.
Mapema...
Tunaomba chikola aitwe taifa stars. Accuracy yake akiwe mbele ya goli ni kubwa sana, nahisi jamaa ni mbrazili Naomba kocha na tff wamuongeze taifa stars.
Hicho kipaji kikuzwe. Accuracy yake...
Wakuu,
Mmwaona huko mashabiki wa Simba? Waazisha dozi ya kulamba ASALI kutwa mara tatu wakiendeleza masimango kwa Watani za Yanga baada ya kupiwa bao 3-1 na Tabora United hapo jana.
Pia, Soma:
+...
Yani mtu kafungwa tu jana....
"oooh kocha afukuzwe"
"Mpira una siasa tumefanyiwa siasa"
"Hii yanga ya sasa ikikutana na simba inafungwa 20"
Yani hapo na hapo mbongo kashasahau kuwa wameshashinda...
Vilabu vya Tanzania ambavyo havina viwanja na kila msimu wanakodisha viwanja wakiwemo watoto wa Kariakoo Yanga SC na Simba SC ambao wamekuwa watu wakukodi viwanja kwa miaka mingi ili kutumia...
Klabu ya Azam Fc imetoa gharama kwa timu zenye kutaka kukodi na kuutumia uwanja wake wa Azam Complex pale kwenye maskani yao Chamazi.
Mazoezi kwa timu inayotaka kutumia uwanja huo kwa siku moja...
Idadi ya timu sita zinazoshiriki mashindano ya klabu Afrika yatakayoanza mwishoni mwa wiki hii zitatumia Uwanja wa Azam Complex kwa mechi zao za nyumbani.
Sababu tofauti zimechangia kuzifanya...
Hakuna mapenzi ya kweli pale bali ni project ya GSM. Aziz Ali Ki anataka mpunga mrefu sana toka GSM ili asalie mitaa ya jangwani.
GSM wameona njia pekee ni kumtumia Delila Hamisa Mobeto kurudisha...
Katika mechi za hivi karibuni, utendaji wa Joseph Guédé Gnado na Miguel GAMONDI katika Young Africans SC umewatia shaka mashabiki na wachambuzi pia. Licha ya kuwa wachezaji muhimu kwa timu, kuna...
Yanga kufungwa mechi mbili tayari mwandishi anamuuliza kocha kama bado Yanga wapo kwenye mbio za ubingwa.
Kwenye round ya 10 kupoteza pointi 6 tu tayari mwandishi haioni Yanga kwenye nafasi ya...
Tanzania upenda kubalance mambo katika kila nyanja
Mpira wetu unapenda mambo ya kubalance
Mliona miaka ya malinzi baada ya yanga kutawala mpira wa Tanzania ili kubalance akapotezwa kwa vile...
Visingizio vilizidi, naamini Sasa Kwa huu mtego tulioutega wabaya wamenasa
Lawama za GSM anadhamini timu nyingi, Yanga ananunua mechi, Kujidunga shindano, Kuhonga marefa
Sasa mmeona wenyewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.