Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

USHAURI KWA KLABU YA SIMBA SC PAMOJA NA MCHEZAJI WAO JEAN CHARLES AHOUA! Sio rahisi sana isipokuwa anafanya kazi kwa bidii zaidi na kuboresha baadhi ya udhaifu: 1. Timu inapopoteza mipira...
1 Reactions
1 Replies
294 Views
Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika. Mwanachama hai Klabu ya Yanga.
5 Reactions
16 Replies
573 Views
Nimeangalia mwenendo wa Yanga inaonyesha kiwango kinazidi kushuka kwa kasi kubwa sana, hata inaposhinda unakuta inashinda kwa kupambaaaaana kama bao la mzee, kagoli kamoja. Hata game ile...
0 Reactions
3 Replies
369 Views
Kwangu Mimi hawa wachezaji Yanga iachane nao. 1. Baleke 2. Dube 3. Diarra 4. Aziz Ki 5. Nkane
6 Reactions
39 Replies
1K Views
Mara ya mwisho aliwapiga goli wapinzani wetu Yanga nov 5 2023 . Soma pia: Kibu Denis wewe sio wa kuanzia benchi. Uamuzi sahihi ni kuondoka
2 Reactions
34 Replies
1K Views
Na leo waliogopa kuzitumia kwakuwa Watu wa Yanga SC walitonywa kuwa huenda TFF ikawashtukiza kupitia Watumishi wake kadhaa kufanya Uchunguzi Wachezaji wao. Kitendo cha mwana Yanga SC huyo mwenye...
11 Reactions
25 Replies
2K Views
1.Kucheza chini ya kiwango kwa pasi nyingi ambazo zilikuwa hazina tija. 2.Uchovu wa mechi iliyopita. 3 Baada ya kumtoa Baca Kwa kadi nyekundu wameweza kupita. 4.Wamekosa ufundi wa strikes...
10 Reactions
40 Replies
2K Views
Ni jambo la kusikitisha na uzuni sana wachezaji wetu wamepigwa usinga tayari pale Azam Complex hatutakiwi kurudi pale hadi tujiweke sawa. Tulishawaambia kabla ya match ya Azam VS Yanga wazee...
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Nadhani kama ni kushauri nimeshauri sana!,sijajua kama viongozi wangu wa timu pendwa Afrika Kwa Sasa ya Yanga huwa wanapata wasaa wa kupita huku JF na...
7 Reactions
42 Replies
2K Views
Hii ni Rai kwa wanywa 'thupu' Yanga kuwakemea baadhi ya Wachezaji kwani nidhamu inaonekana ni Tatizo Hili ni angalizo La Mapema kwa Yanga. Eneo La nidhamu Limeonekana kulegalega katika Michezo ya...
7 Reactions
23 Replies
1K Views
Yanga wanaonekana wana wachezaji wazuri lakini pia wana kocha mzuri. Ni sababu zipi zimepelekea afungwe mechi mbili mfululizo. Alifungwa na Azam goli 1 kwa 0 mechi ya tarehe 2 November 2024...
4 Reactions
34 Replies
1K Views
Mambo ni mengi muda hautoshi, golikipa mpya wa Yanga amefungwa goli 50 kwa msimu mmoja, hayo sio maneno yangu bali ni maneno kutoka kwa wachambuzi wa kipindi cha Sports Extra ya Clouds Fm. Ni...
17 Reactions
95 Replies
13K Views
Hii inatoka kwa rafiki yangu mmoja shabiki wa Yanga lia lia ambae ameumizwa sana na matokeo ya leo utafikiri yeye ndio Injinia Hersi Said. (Anaepaswa kuumia ni Injinia Hersi sio wewe ambae...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa takwimu zinazotolewa na wachambuzi mbalimbali hapa nchini zinaonesha Mdaka Mishale huyu hajawahi kuonja utamu wa clean sheet tangu atue jangwani. Ni sawa na kusema uwepo wa Diarra...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Tuliwahi kusema hili, kipa akiwa mfupi ni tatizo sana. Ndio maana ulaya magolikipa wafupi waliofanikiwa ni wachache sana ukimjumlisha Iker Casillas. Huyu kipa wetu Yanga magoli mengi anayofungwa...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewapongeza Tabora United kwa ushindi wa goli 3-1 walioupata leo Novemba 7, 2024 dhidi ya Yanga SC. Kupitia ukurasa...
1 Reactions
7 Replies
425 Views
Timu dhaifu za mikoani msimu huu ni zile zinazocheza kimazoea mfano Namungo, coastal na Kagera Sugar. Timu kama Mashujaa Fc Pamba Prison Jkt Singida black stars Fountain gate Tabora Fc Hizi...
15 Reactions
22 Replies
893 Views
Kipindi niko chuo boom likiingia hakuna kusoma mpaka liishe au itangazwe test,nitasomaje na accont ina milioni moja?milioni moja ndio,kwa miaka ile kwa mwanafunzi ni hela nyingi sana,kipato cha...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Rais Samia Suluhu Hassan ameipongeza Tabora United kwa ushindi wao dhidi ya Yanga kwenye Ligi Kuu, akisisitiza kuwa ushindi huo unachangia kuvutia uwekezaji na ajira katika ligi. Pia, Soma: Full...
7 Reactions
25 Replies
1K Views
Kaizer Chiefs wameshamchukua Nabi, na sasa Kaze na bado wanamtaka sana Mayele na Aziz Ki kwa gharama zozote zile. Inaelekea Yanga ya 22/23 ilitisha sana
0 Reactions
2 Replies
213 Views
Back
Top Bottom