Hata kule ulaya mechi za katikati ya wiki huwa zinachezwa usiku tofauti na za week end ili kuwapa mashabiki wengi kuburudika.Sasa nyinyi mechi za katikati ya wiki mnacheza saa kumi jioni hii...
Bodi ya ligi kamati ya nidhamu zote zipo kimya hawatuelezi hatua gani wamemchukulia kocha wa yanga Gamondi kwa kitendo cha kumpiga kiongozi mwenzie mbele ya kamera za azam tv kila mmoja anaona na...
https://youtu.be/dOwiPeW_QG4?si=VNT4ZThdodLiWfJb
Siri ya Yanga kupata matokeo isiyostahili kipindi cha pili imebainika.
Sasa tutashinikiza mamlaka za michezo ikiwemo CAF, TFF na FIFA zifanye...
Hivi Boka ukiachana na miguu yake mirefu , kunyoa ndevu zake kama Sadart yule muimba bolingo wa bendi ya Fmacademia na mbio zake zisizo na plani kama yule nguruwe pori maarufu kwa sasa kama...
Habari za mchana, kwa uchache wa maneno ukijaribu kufatilia kuanzi mechi ya kwanza had imefikia sasa mzunguko wa8 kwa baadhi ya timu, utaona utaona hamna mechi hata moja iliyoihusisha Simba, Yanga...
-Simba vs Kmc
Moja kati ya Timu iliyochangia Simba kukosa ubingwa misimu ya hivi karibuni ni Kmc...Simba amekuwa akipata changamoto sana anapokutana na Kmc hasa mzunguko wa kwanza.
Msimu uliopita...
Majeraha ya mara kwa mara yanayomkumba nyota wa soka Neymar sasa yamezua sintofahamu kubwa juu ya hatima yake katika klabu ya Al-Hilal. Kulingana na ripoti ya hivi karibuni kutoka Fichajes, klabu...
Mshambuliaji wa Real Madrid Kylian Mbappe amechoshwa na mfumo wa kutumika kama mshambuliaji wa kati jambo ambalo anaamini kuwa imesababisha kuwa na mwanzo mbaya Madrid.
Kylian Mbappe ameomba...
Mnyama Simba SC baada ya kupata ushindi mechi iliyopita ugenini mkoani Kigoma, anarudi nyumbani ambapo kesho Jumatano atakuwa KMC Complex akiwakaribisha KMC FC
Mechi hii itapigwa kuanzia saa...
Inasikitisha sana kuona bodi ya Ligi inakosa uweledi kiasi hiki, Yanga imecheza michezo yake minne mfululizo bila kupumzika, tena ikisafiri hapa na pale,
Pamoja na ugumu wote huo bado...
Mtuhumiwa: Ali Ahmed Ali (Shiboli)
Shauri ni jipya Mshtakiwa amesomewa shtaka lake na Mwendesha Mashtaka Juma Ali Juma mbele ya Jaji Salum Hassan Bakar.
Mshtakiwa amekata shtaka lake.
Mtuhumiwa...
Mshambuliaji Simon Msuva, Beki Shomari Kapombe na Mlinda mlango Aishi Manula wamerejeshwa kwenye kikosi cha Taifa Stars kwa ajili ya michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025.
Taifa Stars itacheza...
Taarifa kutoka tovuti ya michezo ya Brazil, UOL, zinaeleza kuwa klabu ya Saudi Arabia, Al-Hilal, inafikiria kuvunja mkataba wa Neymar Jr. mapema mwezi Januari.
Uamuzi huu unachangiwa na majeraha...
Yanga sio timu kubwa bali ni timu kongwe, Sisi na Yanga hatutofautiani kwakuwa wao wanalala kwenye hotel ya nyota 5 na sisi tunalala hotel ya Nyota 5, Sisi tuna Bus kubwa kuliko wao kwahiyo sisi...
Beki wa kushoto wa Simba SC, Valentin Nouma amerejeshwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Burkina Faso (The Stallions), kinachojiandaa kucheza michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025, huku nyota wa...
Yaani inaonekana upo kabisa kwenye DNA ya binadamu hata mtoto akizaliwa Leo ana ABCs za mpira, inashangaza!
Yaani huu mchezo unakuja automatically kama kujamiiana (uzazi). Hakuna anayefundishwa...
Huyu mchezaji anapewa muda wa kutosha.
hatuoni aki assist au kutengeneza chance za magoli.
Mwisho kabisa hatuoni akifunga.
Je, kwa nafasi yake uwanjani kuna kipi cha zaidi ambacho sisi...
Picha za mjongeo kutoka kwenye CCTV za dimba la Chamazi zikionesha Mtu akimwaga vitu eneo la kuingilia uwanjani, punde tu baada ya Azam kukabidhi uwanja kwa mamlaka kuelekea mchezo wao dhidi ya...
Aliyebuni hiki kitu,mbinguni moja kwa moja
Sehemu ninayoishi kuna mashabiki wengi sana wa Simba,mashabiki wa Simba kwa pamoja wana kikundi chao kiingilio ni 5000 na michango ya 1000 kwa mwezi...
Niaje wanamichezo
Kwakweli kwa siku hizi nimepunguza mno kufuatilia mpira wa ulaya ila kwa mara chache naingiaga soccer 24 kuchungulia matokeo pale naposikia kuna game
Ajabu nimeingia kuchungulia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.