Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kweli kuna wacha Mungu na wachambuzi! Wachambuzi pumbaavu sana
0 Reactions
0 Replies
129 Views
Gamondi ana muda mchache sana Yanga. Naona lile wazo kuwa tumwachie yeye ajipange mwenyewe linakuwa gumu sasa. Gamondi alianza kupandisha mabega akidhani yeye ndo yeye. Huyu ataondoka ama sivyo...
0 Reactions
3 Replies
239 Views
Manara mwenye code za Ubingwa ametia neno sasa ================= Alhamdulillah 👏🏻👏🏻 Humiliation 😭😭 Huu ndio Mpira sasa na hii ndio maana ya Ligi kuu, Tukubali leo tumejaa kwenye mfumo na tuwape...
0 Reactions
0 Replies
311 Views
Wanacheza vizuri, wana speed, viungo wazuri, mabeki wazuri, mshambuliaji mzuri tena vifaa vingine kama Baleke walikuwa jukwaani, unabishana na nani sasa. Mtu yeyote anayetoa mapovu kuwa Yanga...
41 Reactions
70 Replies
4K Views
Bahati yenu tunaeleka international break (ndio pona yenuu) lasivyo mngeendelea kupelekewa moto mpaka mkubali timu yenu ya kawaida Sanaa 1. Hizi pancha za wachezaji wenu sio kwa bahati mbaya ni...
0 Reactions
15 Replies
501 Views
Kawaida ya binadamu kitu chichote ukikipata kwa wingi na kwa urahisi basi thamani yake hutoiona, mpaka siku hiyo neema ikutoke. Mfano mzuri Yanga ilikuwa ikishinda goli tano tano mara nne nne...
2 Reactions
3 Replies
156 Views
(1) HAKUNA MABADILIKO YA UONGOZI, nilipoona Try again amejiudhuru na Mo dewji kuja kumtambulisha tena kuwa mjumbe hii ilinifanya nione kabisa hakuna serious yoyote bali wajomba wanapumnzishana tu...
17 Reactions
60 Replies
2K Views
Huu mpira wa Media ndio iliifanya SSC kuporomoka sana na kufikia hapo ilipofikia. Goli ambalo hatuwezi kujivunia nalo deep down lisitutoe kwenye reli kuwa kuna TAFSIRI 2 1. Inawezekana Yanga SC...
13 Reactions
73 Replies
3K Views
Mm shabiki kindakindaki wa yanga kuanzia leo nahamia Simba rasmi wana Simba naomba mnipokee kwann leo refa hajatubeba wakati mechi zote refa huwa anatubeba Wana Simba naomba mnipokee nimeumia...
11 Reactions
29 Replies
773 Views
Kwanza poleni sana mashabiki wa nyuma mwiko kwa kipigo ilikuwa ni suala la muda TU, mmebebwa vya kutosha Leo ilikuwa hakuna namna mmegongwa!! Kadi ya Khalid Aucho ( ya njano ) aliyopata Leo ni...
8 Reactions
68 Replies
3K Views
Kufungwa na Yanga katika mechi ya jana tena katika mazingira ya kufungwa yalivyokuwa kunahitaji kuwape hasira wachezaji, benchi la ufundi na viongozi. Hilo ndiyo jambo la kwanza ambalo inabidi...
14 Reactions
59 Replies
2K Views
Baada ya mchezo wa mbumbumbu fc na jwaneng galaxy ya Botswana mashabiki wengi wa Mbumbumbu waliibuka na kuanza kujifariji kwa kumfananisha mchawi na mwendawazimu wa kabumbu kutoka Yanga Afrika...
18 Reactions
22 Replies
1K Views
Amani ya Bwana iwe juu yenu waungwana, tumsifu Yesu kristo, Mwanakondoo ameshinda , Asalaam aleykum.... Sina maneno mengi ila Prince Dube kuanza kufumania nyavu Leo katika mechi ambayo watoto wa...
4 Reactions
18 Replies
481 Views
Mimi ni mpenzi wa mpira nilivyoiona hii timu ya simba haiwezi kuwa bingwa ligi kuu miaka 10 mfulilizo endapo IKICHUKUA UBINGWA nipigwe ban ya maisha humu JamiiForums. Nina uhakika Kwa...
1 Reactions
12 Replies
553 Views
Hadi sasa timu ya Yanga imeanza mazoezi ya pre season, katika usajili wa msimu huu naona Yanga imeingia katika mtego ambao uliukuta Simba, wa kujaza wachezaji wa nafasi moja kwa idadi kubwa huku...
3 Reactions
45 Replies
12K Views
Kusema kweli ninafurahia kufungwa kwa YANGA 🤣
10 Reactions
39 Replies
1K Views
Kutokana na kipigo mfululizo kila yanga inapokutana na Simba na hasa hiki cha juzi Yanga ikiwa kwenye ubora wake kutokana na kuwa na wachezaji wengi wenye kulipwa mapesa mengi na pia kuwa katika...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Kama Yanga inahitaji kufika anga za nusu au fainali basi iachane na hawa wachezaji ambao hawana special thing to offer. Afrika kuna players wazuri sana na wenye uwezo aina ya kina Aziz Ki, Yanga...
8 Reactions
30 Replies
1K Views
Mpaka sasa Mimi ni Mchezaji wa Yanga na nafasi kubwa zaidi nawapa Yanga, namwamini Rais wa Yanga @caamil_88 yeye ndie amenileta hapa, tuna makubaliano yetu mimi na yeye kuwa Yanga inapaswa kucheza...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom