Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wasalaam Aambiwe kwamba 1. SIMBA SC is another level hapa VPL 2. Viwango vya wachezaji wa Yanga ni vya chini ukilinganisha vya wale wa Simba 3. Kwenye derby ya Kariakoo asijichanganye akachezesha...
13 Reactions
23 Replies
2K Views
Nafikiri kwa hizi mechi 2 tumethibitisha kwamba uongozi ndani ya kikosi cha Simba umebadilika First captain: Bocco Second captain: Chama Third captain: Kapombe Ingawa haijathibitishwa na Uongozi...
1 Reactions
48 Replies
3K Views
Naam Hatimae November 7 iliyosubiriwa kwa muda mrefu Hatimae imewadia ni mechi kubwa inayobeba hisia za wapenda michezo wote nchini pamoja barani Africa kwa ujumla. 📍Ni mchezo wa nne unakutanisha...
1 Reactions
2 Replies
650 Views
Naaaam! Kuelekea patashika ya Ligi Kuu Tanzania Vodacom Premier League VPL, Jumamosi November 7 2020 kutavurumishwa mchezo wa watani wa Jadi katika soka la Tanzania kati ya Yanga SC dhidi ya...
12 Reactions
44 Replies
4K Views
Wasalaam, Tupia lawama zako baada ya Kariakoo derby ya 7/11/2020. Mi naanza hivi: 1."Simba wanabebwa hatukubali" 2. Simba wamehonga marefa 3. Kipa kapewa rushwa 4. Wachezaji wetu hawajitumi🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪
4 Reactions
7 Replies
906 Views
Miaka ya 1980-90 mwishoni Mpira nzuri na wakuvutia ulikuwa ukichezwa nchini Italia. Ligi ya Italia Serie A likuwa ndio Bora kabisa duniani. Wachezaji wote wazuri na Bora toka mataifa mengine ya...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Haya tena wana Simba tumepigwa na kibonde Ruvu shooting,safari hii nyumbani kwenye kiwanja kizuri kabisa. Nasema there is something wrong somewhere siyo bure, timu inayohudumiwa vizuri haiwezi...
6 Reactions
64 Replies
9K Views
Habari! Jana nimepata nafasi kumsikiliza kiongozi wao Mzee Zacharia Hanspope unaona kabisa hawa watani wetu wamekuwa kama mfa maji. Mfa maji hakosi kutapatapa sasa ndio wamefikia hatua hiyo. Na...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Kwa maandalizi ya uhakika wanayofanya Yanga huko kambini na hali ya taharuki inayoendelea katika kambi ya wamchangani huko visiwani nachelea kusema simba hatoweza kupata sare sahau kuhusu kumfunga...
17 Reactions
307 Replies
37K Views
Habari! Baada ya kukusanya point 7 kati ya 9 kanda ya ziwa. Mabingwa wa kihistoria Young Africans wamewasili Dar es Salaam kutokea Mwanza. Tayari kwa maandalizi kelekea mpambano wa derby ya...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna wakati nilishaa andika hapa ... Huyu bwana Mdogo Frankie De Jong anaenda kuwa machezaji wa kawaidaa sana pale Barcelona tena kuna wakati atakua hachezi kabisa!.na pengine wakauza bila...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Mcheza Soka na mshindi wa Kombe la Dunia 1986 wa Argentina, Diego Maradona yupo chini ya uangalizi wa Madaktari kufuatia Oparesheni aliyofanyiwa ili kutibu tatizo la kuganda kwa Damu kwenye Ubongo...
3 Reactions
2 Replies
931 Views
Priiiiiiiiiii, Vurumai za ligi kuu Tanzania Bara VPL, kuendelea leo Jumatano 04, Novemba 2020. Leo zitapigwa mechi tatu(3) katika viwanja mbalimbali.Hii ni baada ya hapo jana anaejiita bingwa wa...
5 Reactions
64 Replies
5K Views
Ligi kuu Soka Tanzania Bara imeendelea kutimua vumbi hii leo katika Dimba la Uhuru Jijini Dar es Salaam ikiwakutanisha Simba dhidi ya Kagera Sugar Simba imeondoka na ushindi mnono wa Bao 2-0...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Washika Mitutu wa London, Arsenal the Gunners wameibuka na Ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Mashetani wekundu, Manchester United Goli lililofungwa na P. Aubameyang kwa mkwaju wa Penati kunako dakika...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Jana mashabiki wa Yanga wameumia sana kwa kitendo cha kocha wa Yanga kupanga kikosi B dhidi ya Gwambina na lawama zote zimeelekezwa kwa kocha. Kwa kuangalia kwa jicho la tatu, unaona kabisa ya...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu Kwema? Kwa sasa tuko kwenye usajili, ndio msimu wake huu. Simba walimsajili aliekua Mchezaji wa Yanga Bernad Morrison. Yanga "wakalipa" kwa kumchukua aliekua CEO wa Simba bwana Senzo...
8 Reactions
25 Replies
5K Views
Naomba kuuliza jamani nini tatizo? Uwanja ambao ulikuwa tishio kwa timu pinzani, yaani timu ilikuwa ikienda Old Trafford basi tumbo joto kwa mashabiki wa timu hiyo, cha kushangaza leo umegeuka...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimekuwa nalisikia tangazo la kuitangaza mechi ya Yanga Vs Simba Azam Tv. Katika tangazo hili linalorushwa stations za Azam Tv mtangazaji anataja baadhi ya wachezaji tegemezi wa timu zote mbili...
5 Reactions
5 Replies
3K Views
Mambo vipi wadau. Kitambo sana sijapost pahala hap. Ila niwape pole Mikia Fc kwa kupoteza mechi dhidi ya Morrison FC. Halafu ile freekick ya jamaa imewafanya Viongozi wa Simba wampigie simu Razak...
3 Reactions
48 Replies
8K Views
Back
Top Bottom