Wasalaam
Aambiwe kwamba
1. SIMBA SC is another level hapa VPL
2. Viwango vya wachezaji wa Yanga ni vya chini ukilinganisha vya wale wa Simba
3. Kwenye derby ya Kariakoo asijichanganye akachezesha...
Nafikiri kwa hizi mechi 2 tumethibitisha kwamba uongozi ndani ya kikosi cha Simba umebadilika
First captain: Bocco
Second captain: Chama
Third captain: Kapombe
Ingawa haijathibitishwa na Uongozi...
Naam Hatimae November 7 iliyosubiriwa kwa muda mrefu Hatimae imewadia ni mechi kubwa inayobeba hisia za wapenda michezo wote nchini pamoja barani Africa kwa ujumla.
📍Ni mchezo wa nne unakutanisha...
Naaaam!
Kuelekea patashika ya Ligi Kuu Tanzania Vodacom Premier League VPL, Jumamosi November 7 2020 kutavurumishwa mchezo wa watani wa Jadi katika soka la Tanzania kati ya Yanga SC dhidi ya...
Miaka ya 1980-90 mwishoni Mpira nzuri na wakuvutia ulikuwa ukichezwa nchini Italia. Ligi ya Italia Serie A likuwa ndio Bora kabisa duniani. Wachezaji wote wazuri na Bora toka mataifa mengine ya...
Haya tena wana Simba tumepigwa na kibonde Ruvu shooting,safari hii nyumbani kwenye kiwanja kizuri kabisa.
Nasema there is something wrong somewhere siyo bure, timu inayohudumiwa vizuri haiwezi...
Habari!
Jana nimepata nafasi kumsikiliza kiongozi wao Mzee Zacharia Hanspope unaona kabisa hawa watani wetu wamekuwa kama mfa maji.
Mfa maji hakosi kutapatapa sasa ndio wamefikia hatua hiyo.
Na...
Kwa maandalizi ya uhakika wanayofanya Yanga huko kambini na hali ya taharuki inayoendelea katika kambi ya wamchangani huko visiwani nachelea kusema simba hatoweza kupata sare sahau kuhusu kumfunga...
Habari!
Baada ya kukusanya point 7 kati ya 9 kanda ya ziwa. Mabingwa wa kihistoria Young Africans wamewasili Dar es Salaam kutokea Mwanza.
Tayari kwa maandalizi kelekea mpambano wa derby ya...
Kuna wakati nilishaa andika hapa ...
Huyu bwana Mdogo Frankie De Jong anaenda kuwa machezaji wa kawaidaa sana pale Barcelona tena kuna wakati atakua hachezi kabisa!.na pengine wakauza bila...
Mcheza Soka na mshindi wa Kombe la Dunia 1986 wa Argentina, Diego Maradona yupo chini ya uangalizi wa Madaktari kufuatia Oparesheni aliyofanyiwa ili kutibu tatizo la kuganda kwa Damu kwenye Ubongo...
Priiiiiiiiiii, Vurumai za ligi kuu Tanzania Bara VPL, kuendelea leo Jumatano 04, Novemba 2020. Leo zitapigwa mechi tatu(3) katika viwanja mbalimbali.Hii ni baada ya hapo jana anaejiita bingwa wa...
Ligi kuu Soka Tanzania Bara imeendelea kutimua vumbi hii leo katika Dimba la Uhuru Jijini Dar es Salaam ikiwakutanisha Simba dhidi ya Kagera Sugar
Simba imeondoka na ushindi mnono wa Bao 2-0...
Washika Mitutu wa London, Arsenal the Gunners wameibuka na Ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Mashetani wekundu, Manchester United
Goli lililofungwa na P. Aubameyang kwa mkwaju wa Penati kunako dakika...
Jana mashabiki wa Yanga wameumia sana kwa kitendo cha kocha wa Yanga kupanga kikosi B dhidi ya Gwambina na lawama zote zimeelekezwa kwa kocha. Kwa kuangalia kwa jicho la tatu, unaona kabisa ya...
Wakuu Kwema?
Kwa sasa tuko kwenye usajili, ndio msimu wake huu. Simba walimsajili aliekua Mchezaji wa Yanga Bernad Morrison. Yanga "wakalipa" kwa kumchukua aliekua CEO wa Simba bwana Senzo...
Naomba kuuliza jamani nini tatizo?
Uwanja ambao ulikuwa tishio kwa timu pinzani, yaani timu ilikuwa ikienda Old Trafford basi tumbo joto kwa mashabiki wa timu hiyo, cha kushangaza leo umegeuka...
Nimekuwa nalisikia tangazo la kuitangaza mechi ya Yanga Vs Simba Azam Tv.
Katika tangazo hili linalorushwa stations za Azam Tv mtangazaji anataja baadhi ya wachezaji tegemezi wa timu zote mbili...
Mambo vipi wadau.
Kitambo sana sijapost pahala hap. Ila niwape pole Mikia Fc kwa kupoteza mechi dhidi ya Morrison FC. Halafu ile freekick ya jamaa imewafanya Viongozi wa Simba wampigie simu Razak...