Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Leo Simon Msuva alipokuwa JKNIA amesema anatamani na atawasaidia mabondia wa Tanzania. Mytake Ni kama vile diamond alivyotuaminisha anahela ya kununua timu ya vpl ,halafu ikatokea mbao inauzwa...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Arsenal walidhani kabisa wanaenda kuuwa tembo kwa ubua kwamba wana kikosi bora kabisa. 2. Arsenal waliingia wanjani na matokeo yao mfukoni,tena wakiwa na kumbukumbu za mechi ile ya ngao ya jamii...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Benki ya CRDB imetangaza udhamini wa shilingi milioni 200 kwa ligi ya mpira wa kikapu ya taifa 2020 itakayofanyika Dodoma katika viwanja vya Chinangali kuanzia tarehe 12 Novemba na kilele chake ni...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
TFF msije kusema hamukuambiwa, Mechi ya Simba na Yanga kuchezwa tarehe 18/10/2020 siku 9 kabla ya siku ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaofanyika tarehe 28/10/2020 hapa kuna jambo...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Yanga ni timu yangu, lakini kwa sasa wapo desparate, wanaajiri makocha desparately, wanafukuza desparately na watafungwa na simba kwa huo udesparate wao. Nawanasihi watulie wafanye mipango yao kwa...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimetazama mechi kadhaa za Simba Sc ,hususani mechi VPL ninaona dalili za njama za kumuumiza Benard Morrison. Faulo anazochezewa ni faulo zenye lengo zaidi ya joto la uwanjani. Kuna kitu sio...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Wandugu, Tukianzia kwa Zahera, nini kilimuondoa, mchezaji Bora wa simu ule Makambo nini kilimuondoa, akaja kocha mbaguzi nae nini kilimtoa, mfungaji Bora wa msimu Molinga nini kilimuondoa...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
wasalaam, Dar kubwa ila ndogo. Naomben msaada ni Wapi kuna ps4 kwa maeneo ya Kimara Mwisho, Bonyokwa au Segerea? Asanten Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
0 Reactions
7 Replies
991 Views
Habari kutoka uwanjani shekh amri abeid.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mambo 10 ya Msingi yanayokera nliyoyaona katika team ya Simba 1. Nasisitiza TFF ifikirie kuongeza dakika matches za Simba. Najisikia vibaya sana kuona Simba inacheza mpira huu wa kwenye game...
15 Reactions
23 Replies
3K Views
Kibongo bongo hutakiwi kushangaa,timu inafanya vizuri kwa mara ya kwanza tena kipindi cha pili baada ya misuko suko ya kutosha,kisha unasikia kocha amefukuzwa. Nini kipo nyuma ya maamuzi haya...
7 Reactions
38 Replies
4K Views
aseee Moyo wangu umetuliaaa baada ya kipigo cha mbwaa koko alichokutana nacho Liverpool wakiwa 11 uwanjani Asante Liverpool .. sasa maumiv angu yametulia[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Patashika ya ligi kuu Tanzania Bara VPL, kuendelea leo Jumapili 04, Oktoba 2020. Leo zitapigwa mechi tatu(3) katika viwanja mbalimbali.Hii ni baada ya GSM mbili kukutana Jana na GSM Form kuibuka...
6 Reactions
292 Replies
18K Views
Kwa tuliomuangalia ndugu yetu Diego aka Samagoal akicheza mechi yake ya kwanza akiwa Fenabahce dhidi ya Galatasaray. Je, kuna dalili ya ndugu yetu kuwika kama alivyokuwa Genk?
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Huyu jamaa anapiga miguu yote 100% Style ile ile ya Sant Cazorla midfielder maestro wa zamani wa Arsenal. Kona ikiwa kushoto yeye utatumia guu la kulia, ikiwa Kulia yeye utatumia guu la kushoto...
12 Reactions
23 Replies
3K Views
Binafsi baada ya kusikia madai Mwakalebela nikajiuliza Simba wawe wajinga kiasi gani watumie weakness iliyokuwa kwenye mkataba wa Yanga na Morrison na wao wafanye the same mistake moyoni nikasema...
9 Reactions
24 Replies
4K Views
Nianze kwa kuwaomba radhi mods na watu wengine ntakaowaudhi kwa kupost hapa. Nimewaza sana jukwaa sahihi la kupost hii thread ila nimekosa. Nikaona nipost hapa nikiamini kuna watu wa kunisaidia...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Mimi sina maneno mengi huyu bwana mdogo ananikumbusha Rivaldo Vitor Borba Ferreira. Wakongwe nadhani mtaungana na mimi! Umeliinaje goli la Miqquissone kuelekea Kariakoo Derby wiki mbili zijazo...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Mimi nimewakumbuka hawa - Tambwe Leya - Nzoyisaba Tauzan - James Aggrey Siang'a - Milutin 'Micho' Sredojevic - Dragan Popadic - Hans van der Pluijm - Le Profesel Dusan Kondic - Trott Molotto -...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Ole Gunnar Solskjaer has been officially announced as Manchester United's caretaker manager until the end of the season. Solskjaer, 45, has been appointed with immediate effect, less than 24...
0 Reactions
39 Replies
7K Views
Back
Top Bottom