Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Dah, CCM Mlijua kabisa Leo tarehe 11 October 2020 tutakua na mechi Muhimu ya Kimataifa ya Kirafiki kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars v/s Burundi lakini bado mkapitisha Fiesta lenu...
10 Reactions
109 Replies
13K Views
Uwanja umependeza kwa ajili ya mechi ya kesho dhidi ya Burundi na Rwanda
8 Reactions
38 Replies
6K Views
Mtaalam kukupa assist haitaji kuwa karibu na goli.Hata akiwa mita 60 anaweza kufusha mpira ukafunga. Watangazaji mtamaliza majina yote RB..Magician Left footer...Soft touches...maestro...halafu...
6 Reactions
10 Replies
3K Views
Game 1: Thursday 01.10.2020 LA Lakers 116 : 98 Miami Heat Game 2: Saturday 03.10.2020 LA Lakers 124 : 114 Miami Heat Game 3: Monday 05.10.2020 Miami Heat 115 : 104 LA Lakers Game 4...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu Salaam: Mechi kati ya Tanzania na Burundi imeisha kwa Tanzania kufumuliwa bila huruma goli 1 kwa mtungi. Goli hilo limefungwa dk ya 85 na Saidi Ntigamasabo. Wakuu kuna kocha kweli pale...
1 Reactions
52 Replies
5K Views
Poleni sana Taifa Stars kwa kufungwa na timu ya Taifa ya Burundi lakini haingii akilini kweli Tanzania yenye takriban watu 55 miilioni kushindwa na nchi yenye watu 6 millioni?. Kweli timu yetu...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Kwa anayejua tafadhari...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada husika.Ni jinsi gani naweza kumshauri mtu namna ya kuacha kubet maana ameshaliwa Sana karibia mil 2 na zaidi lakin hakomi na akili yake anawaza...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ikiwa Manchester United wanataka kumbadili Kocha Ole Gunnar Solskjær, unadhani nafasi hiyo itamfaa zaidi Kocha yupi kwa kuipa ubora Man U?
0 Reactions
5 Replies
953 Views
Kabla ya ratiba kutoka Simba ilikuwa icheze na Prison Sumbawanga na Utopolo walikuwa wacheze na Polisi Dar, baada ya ratiba mpya kutoka simba na yanga zitacheza viporo vyao tarehe 22 na kufatiwa...
12 Reactions
18 Replies
2K Views
Hii fainali leo ni moto. Binafsi iam rooting for the king of clay. Ila kusema ukweli Djokovic ambae ndo number moja kwenye tennis rank ya wanaume anatisha. Vamos Rafa. BAK usikose kuangalia...
0 Reactions
1 Replies
615 Views
Ndugu zangu kama kichwa kinavyojieleza,, Tff wapo serious au mimi ndio sijaelewa?? Mechi ya Tunisia na taifa stars imepishana siku mbili Kati ya timu zenu kongwe,, sababu ilikua nini kuhairisha...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wafahamu wachezaji wa soka wanaolipwa mapato ya juu zaidi 2020 Linapokuja suala la kupima wachezaji wazuri katika mchezo unaoshabikiwa sana, macho yote huangazia wachezaji wawili walio na...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Léo 9/10/2020 Kesho kutwa mechi. T Stars vs Burúndi. No comment
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hatimaye klabu ya Yanga ambayo haina kocha, imemteua beki kisiki Lamine Moro kuwa Nahodha mpya wa kikosi hiko. Bakari Mwanyeto pamoja na Mukoko watakuwa manahodha wasaidizi. Nini maoni yako juu...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
1. USHIRIKINA Tambueni ya kwamba katika Mechi hiyo (hii) Yanga SC ndiyo Mwenyeji na hakuna asiyejua kuwa Timu hizi Mbili (Vilabu hivi Vikubwa viwili ) ni 'Mabingwa' wa 'Ushirikina / Ndumbaism' na...
9 Reactions
46 Replies
7K Views
Kwenye kipindi cha Asubuhi TBC kulikua na mahojiano ya wageni wawili, Meneja masoko TFF (Mr. Nyanda) na Mtaalamu wa N Card. Sasa kimbembe kikaanza jamaa wa masoko anaulizwa umeiuzaje mechi ya TFF...
0 Reactions
2 Replies
845 Views
Kampuni ya michezo ya kubashiri nchini ya SportPesa Limited Ijumaa Septemba 13, 2017 imefanya mkutano na waandishi wa Habari kwa kushirikiana na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetambulisha jezi mpya zitakazotumiwa na Taifa Stars ikiwemo jezi ya nyumbani, jezi ya ugenini na jezi namba tatu. Oktoba 11, 2020 Tanzania itacheza mchezo wa...
4 Reactions
39 Replies
7K Views
Back
Top Bottom