Kwa wadau wanaifahamu vyema haya mambo,nauliza kule utube,naona kuna klipu za video zikionesha mapigano kadhaa ya bruce lee na wapiganaji wa kick boxer na maboxers wengine,hivi hizo ni video za...
Hii ndio ratiba baada ya mechi za kimataifa, ikumbukwe Uefa ndo inaanza rasmi, Man Utd atakuwa na ratiba hii inamkabili, unadhani Man Utd ataambulia ushindi kwenye mechi ngapi kati ya hizi?
Aston villa walitakiwa kucheza na Manchester united mechi ya kwanza kwenye ligi,
Hawakucheza kutokana na Manchester united kuongezewa muda wa mapumziko pamoja na Manchester city
Am sure kama sio...
Hivi ni collage gani nzuri inaetoa online shortcourse za ukocha wa football kwa ulaya lakini ziwe certified? Na je gharama zake zipoje?
Naomba mnisaidie aisee niwe kocha nichukue kibarua cha mtu...
Aston Villa haina hadhi inayosababisha Mimi nivae jezi yake. Nilinunua jezi yake kwasababu ya kijana wetu Mbwana Samatta kuwa pale. Sasa Mbwana hayuko najisikia vibaya kuivaa ile jezi ambayo...
Aliyekuwa kocha wa Mtibwa sugar amejiuzulu nafasi yake na kuamua kuhamia timu ya Ihefu Fc ya mbarali.
Je, unaonaje huko kuhama?
Zuber kapatia ama kapotea?
Ushakutana na zile meme wanasema "tunaangukia keki ya harusi ya ex wako kwa bei nafuu" [emoji23][emoji23]
Kwa tafrisi ya haraka ni wengi wetu hatupendi maex wetu watusue ..ni tunatamani wasotee...
Kitendo Cha Westham kumsajili jana Said Benrahma kutoka Brentford fc kwa mkopo kimenivutia Sana nakuanzia sasa HIV nitakuwa mfuatiliaji mzuri wa Westham.
Huyu mwamba (Said Brentford) nilikuwa Ni...
"Biashara United inaonekana imejipanga msimu huu ikiwa inajua timu 4 zitashuka mwisho wa msimu na kuna ushindani mkubwa kule juu ambapo kila mmoja anataka kushinda mechi zake. Hawajafungwa...
Ni kama mechi isingeairishwa muda huu utopolo wangekuwa kimya wamechanganyikiwa na kipigo ambacho wangepata hakuna cha calinyo wala mwamnyeto wangekuja kuibuka baada ya wiki mbili na sababu kibao...
Usiku wa tarehe 17 october 2020 kinanuka pale MGM grand las vegas kati ya wababe wawili mmoja kutokea Ukraine wanamwita VASYL lomachenko na dogo fulani hivi wa makamo aliyekulia marekani mwenye...
Habari JF,
Huu Ni kwa ajili ya ku share picha, taarifa na matukio mbali mbali kuhusu Riadha.
Michezo kwa afya, Ajira na kudumisha urafiki, Leo Niko Atlas School Madale Campus, Njoon tugonge...
Tukiwa tunaongoza ligi after 3wins and 1 draw,kesho tunaenda kuongea point 3 muhimu kwan soton hawana uwezo wa kuchinja jogoo....!Mliotubeza baada ya 2-2 draw v swansea napenda kuwajuza swansea...
Kufuli la chuma, ufunguo wa Chuma na Dirisha la chuma. Kila kitu kimefungwa tayari tangu ile mida ya usiku wa saa sita na dakika sifuri usiku wa kuamkia leo. Dirisha kubwa la usajili lilifungwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.