Hawa wenzetu wamekuwa na vurugu na kuzomea badala ya support ,wamekuwa washamba sana kwenye soka na kusababisha vurugu .
Mechi za simba za kimataifa hapa nyumbani watangaze kwamba huingii...
Kwa mara nyingine timu Yanga imeendeleza WIMBI la ushindi baada ya kuikung'uta bila huruma timu 'NGUMU' kutoka ZNZ ya KMKM.
Sifa zimwendee Tonombe ambaye leo amekua mwiba MKALI baada ya kupasua...
Soka la Bongo lina viroja sana. Watu waliokosa ustaarabu hadi kung'oa viti uwanja wa Mkapa leo wanadai Yanga ifungiwe kwa vurugu za mashabiki wake.
Waanze kuangalia kwenye mboni ya jicho lao. Na...
Kuna wanaosema ni bora aende Uturuki akapate nafasi ya kucheza na kuna wanaosema kutokana na umri wake kiwango chake kimeshuka na kinakwenda kushuka zaidi huko Uturuki bora angebaki tu EPL...
Ni mara ya pili leo baadhi ya wahuni kutoka mashabiki wa utopolo wamewafanyia fujo wenzao wa Simba waliokwenda kuangalia mechi.
Ninalaani vikali vitendo hivyo na ninaomba mamlaka ziingilie kati...
Kama tunavyofahmu asilimia 80 ya viwanja vinavyotumuka kwa ligi kuu Tanzania VPL ni mali ya CCM baada ya kuvibinafsisha toka kwa umma mara baada ya mfumo wa vyama vingi kuingia nchini.
SINA...
Simba wameitwa 5 hadi sasa
Miquissone, Msumbiji
Chama, Zambia
Bwalya, Zambia
Kahata, Kenya
Onyango, Kenya
Namungo 3 wameitwa Burundi
Azam pia wameitwa kadhaa
Ila Yanga hadi sasa 0
Tayari mnaendeleza kufungia viwanja mlianza na Gwambina sasa mmesha shika kasi.
Hiyo haitakuja kuwa dawa ya viwanja viwe vizuri sehemu za kuchezea pamoja na vyumba vya kubadilishia nguo Never...
Nimeangalia mechi zinazohusu timu yangu ya Simba, Simba walicheza na Ihefu Mbeya halafu wakaja kucheza na Mtibwa Moro baadae Dar es salaam Simba itaenda kucheza Sumbawanga na Prison baadae itaenda...
Mechi zote ambazo Klabu yangu 'pendwa' ya Simba SC imekuwea ikicheza hasa hizi zinazoitwa 'Mechi Mazoezi' tukishinda tu utaona katika Kurasa mbalimbali za Mitandao ya wana Simba SC na hata Klabu...
Kwangu mimi usajili bora uliofanyika ni usajili wa Luis na Bwaliya.Baada ya mechi ya jana dhidi ya Gwambina nmekuuliza maswali mengi sana juu ya kiwango cha Morrison.
1. Huyu ndo alikuwa nyota wa...
Cristiano Ronaldo added to his highlight reel with a leap out of the NBA playbook and a stunning header that helped Juventus sink Sampdoria.
Cristiano Ronaldo amefunga bao la aina yake baada ya...
VAR imekuwa kituko Leo nchini England baada ya kutoa penalty baada ya kipenga cha mwisho, wakati Brighton and Hoves walipowaalika Man United.
Hivi vituko vya marefa vipo nchi 3 tuu,Vpl ya Tz...
Kuna kabwana mdogo nimekaambia Yanga ikishinda namnunulia bia moja na ikifungwa basi aninunulie hata fanta orange ntainywa hivyo hivyo, kalivyo kajeuri kasema "broo angu kama vipi tuweke bia 2 kwa...
Kwa namna Beki yetu haipandishi mashambulizi mbele, naomba mrudisheni Juma Abdul.
Nimejikuta nawakumbuka hawa wachezaji maana walikaa hata mda wa shida ya pesa.
Huwa mnapoonyesha Mechi kumekuwa na timing mbovu pale mnapotaka kurudia tukio fulani kama la faulu, kosakosa ya goli, Golikipa kuokoa mpira wa hatari n.k.
Sidhani kama ni mara zote kuna ulazima...
Haya haya leo ni leo kwa wale wazee na wabibi wa mchezo wa kupigana kutumia chochote kiungo kuua mwenzako (mixed martial arts) kihalali UFC leo tupo fight island Abu Dhabi huko.
Adesanya hajawahi...
Hongera zenu Gwambina kwa kuonyesha mchezo laukama nyie ni wageni kwenye league ukilinganisha na wale jamaa wa kuanua kinu kila wakipata mpira. Keep it up na mjitahidi mbakie kwenye league na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.