Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habari wana Jamiiforums Baada ya jana kutabiri mikia kutoa sare, leo mabingwa wa kihistoria wa Tanzania tunaenda kucheza na Mbeya city katika uwanja wa Benjamin Mkapa. Nawakaribisha mashabiki wa...
0 Reactions
83 Replies
12K Views
Piga kura yako tuone, ushabiki tuweke pembeni wadau...
2 Reactions
37 Replies
9K Views
Hapa chini tumekuwekea orodha kamili ya historia ya ubingwa huo: *.1965 Sunderland (Simba SC) *.1966 Sunderland *.1967 Cosmopolitan *.1968 Young Africans sc *.1969 Young Africans Sc *.1970 Young...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Lazima Kujipongeza kwa kuweza kuanza Ligi kwa kucheza mechi za Ugenini mbili mfululizo kwenye viwanja vinavyotaka aina moja tu kucheza ambayo sio mchezo wa Simba kabisa, ndio maana utaona Wengine...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Tunawaomba wahusika walifanyie kazi swala la hasa pitch mbovu ambazo zimekuwa zikiharibu utamu wa mpira wetu. Standard walau kama ya Kaitaba hivi nchi nzima ingekuwa ni vizuri zaidi na kuweza...
0 Reactions
0 Replies
919 Views
Kuna kitu kimoja kuhusu hii jezi. Mchoro wa hii jezi unaitwa Dazzle Camouflage. Dazzle camouflage ni mchoro ambao ulikuwa unatumika kwenye vita vikuu vya kwanza vya dunia. Dazzle camouflage...
5 Reactions
9 Replies
3K Views
Mmeambiwa watu wanataka kusoma jiografia uwanjani?Mbona mlipiga kelele sana na kuzinanga jezi za watani wenu?Mnazidiwa na wajela jela?
3 Reactions
42 Replies
4K Views
habari za sahizi great thinkers. ni mtazamo tu, kwa ule mpira wa leeds united jana dhidi ya liverpool sidhani kama watashuka daraja msimu huu, na watajiokotea wabovu wengi sana, timu kama...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
The Blues have added the veteran defender on a one-year deal with the option of extending for a further season Chelsea have confirmed the signing of veteran centre-back Thiago Silva as the...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana jamvi. Moja kwa moja nikimbilie kwenye mada kwa kuanza na Historia fupi ya klabu ya simba hususa ni kwa eneo lake la kujilinda tangu miaka ya 2000. Tumeshuhudia simba ikiwa na...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Kesho wako na Yanga, mechi ifuatayo anakutana na Azam, kisha Namungo na baadae anatafuta pointi kwa Coastal. Mpira hautabiriki ila ninamtabiria mabaya mechi nne (4) mfululizo. Atapoteza mechi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Hakika nimetoka kuona jezi zetu mpya wana janngwani nimekuwa disappointed kwakweli, sikuwahi fikiria kusubiri kote kule wangetuletea vituko kama vile aisee.. Jezi kuna ramani humohumo, jezi ina...
4 Reactions
87 Replies
8K Views
Simba ni kampuni hatujashindwa kujiendesha, ni muda muhafaka kwa wewe kukaa kando tukajiendesha wenyewe maana uwezo huo tunao.
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Hakika nimeshangazwa na Hamis Kigwangalla kuanzisha Mjadala wa Bil 20 za Mo kwenye Mitandao ya Jamii. Bado ameendelea kusema katumwa na Baadhi ya Wajumbe wa Bodi Eti Ahoji. Najiuliza kwanini iwe...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ilikua na kibarua kizito cha kupindua matokeo dhidi ya timu ya Taifa ya Sudan baada ya kupoteza nyumbani bao 1-0 katika mchezo wa kwanza wa kufuzu fainali za...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Bodi ya uongozaji mpira wa miguu duniani FIFA imeidhinisha programu nukushi (App) iliyotengenezwa mahususi ili kusaidia wachezaji kuripoti vitendo vya kupanga matokeo kabla ya mchezo. Programu...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za mda huu wakuu, Kwa wagonjwa poleni na mungu awafanyie wepesi mrudi katika Hali ya zamani wazima poleni na majukumu na mihangaiko ya kila siku. Wakuu Kuna hili swala naona linaota...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Tuanze kuwataja, nani alikuwa star kwenye kikosi hiki?
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Kabla sijaenda kwenye jezi na marketing strategy ya mauzo ya jezi kati ya Manchester united na Adidas nakurudisha nyuma kidogo miaka ya juzi juzi kwenye tamasha kubwa Zaidi Tanzania la FIESTA...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Ronaldo anaongoza orodha wachezaji wenye magoli mengi katika michuano yote ya Ulaya! 1. Cristiano: 120 2. Messi: 101 3. Raul: 76 4. Inzaghi: 70 5. Muller: 69 Katika la liga Ronaldo kafunga...
18 Reactions
102 Replies
32K Views
Back
Top Bottom