Sina shaka na uwezo wa kocha na wachezaji wa club hii kongwe ya pale mjini Madrid. Kwa miaka mingi Elcholo alijaribu kutengeneza kikosi cha kupambana na Barcelona na Real Madrid bila mafanikio...
Mnaosema hakuna kama Gaucho mnatumia kigezo gani?
Mmefika mbali mpaka kumlinganisha Gaucho na Messi/Ronaldo
Hivi Gaucho ukitoa control ya mpira iliopitiliza (hata mimi namkubali kwa hili) ana...
Simba Sports club Limited imeingia mkataba na Equity Bank Tanzania katika kupata Card mpya za wanachama wake ambao katika Kampuni wanahodhi 51% ya umiliki.
CEO Wote wawili wa Simba na Equity...
TANZANIA [emoji1241]
- Bodi ya ligi Tanzania (TPLB) imebadilisha kanuni kuhusu kufuzu michuano ya kimataifa Shirikisho CAF.
- Awali ilikuwa iwapo bingwa wa ligi kuu akitwaa pia ubingwa wa (FA)...
Kwa akili ya kawaida sana katika hali tuliyo nayo ya kiangazi na joto kali.
Unalazimisha vipi timu zicheze saa 8 kamili mchana wakati wa jua kali, na wakati huo huo kuna timu zinakaa siku 6-8...
Timu zote wakipata sare na Simba,ikiwa ni pamoja na utopolo,huwa wanashangilia sana.
Hii ni dalili ya kuonesha ukubwa wa Simba.Hawawezi kuja hapa na kuisifu ila mioyoni mwao Simba ni kubwa kuliko...
Kama uliamua kushabikia Chelsea,ni bora ubadili maamuzi mapema kwani ni moja ya timu za kishenzi sana na hawajali sana maslahi ya washabiki.
Nina sema hivi kwa kuwa wamekuwa wakiuza wachezaji...
Ninaona wafuasi wake wengi ni pamoja na hao waliokerwa na kitendo cha Mo kumpa shavu Rais Magufuli pale uwanjani.
Hii chuki ya Kigwa iko juu kiasi kwamba baadhi ya watu tumeanza kuhisi huyu jamaa...
Nimekuwa najiuliza hili swali muda mrefu inakuaje hizi timu ndogo zichezeshwe mchana wa jua kali na hawa jamaa (Simba na Yanga) wasicheze?
Je, ipo kwenye kanuni au ni utashi tu wa viongozi?
Bila ya shaka kila mtu anaufahamu uwezo wa hawa Beki nguli Nadir Haroub cannavaro aliyehudumu timu ya taifa kwa muda mrefu na klabu ya yanga pamoja na Beki machachali Kelvin Yondani Vidic...
Jana tumeshuhudia Gemu ya Yanga na Mbeya city ahaa kabla ya kuendelea nina jezi za Yanga Ndani najua ushaelewa namaanisha nini.
Dakika 90 zote zilikua za jasho damu na machozi hasa kwa upande wa...
Salaaam Wananchi Wenzangu,
Kwa masikitiko makubwa timu yangu Pendwa ya Wananchi Dar Young Africans imesajili wachezaji wapya lakini jezi wanazovalishwa ni za Zamani.
Kwa nini Eng. Hersi Saidi...
Oi! oi! wazee wa one two, one two bu baa, bu baa, Uppercuts, cross na kila kitu leo Morogoro kinajiri,
Kama kawa, matokeo utayapata katika huu uzi, Stay there, nitakuwa naweka matokeo ya...
14Sep 2020
Na Mwandishi Wetu
Dar es Salaam
Makala
Nipashe
Nyota wa5 wanaomkubali Ronaldo dhidi ya Messi
MWEKAJI rekodi wa timu ya Taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo alilipamba jina lake kwenye...
Dakika chache tu nilizomtazama kwenye hii game ya yanga Vs Mbeya city leo naishia kusema huyu mwamba Yanga wamelamba dume ukitoa usharobaro wake lakini yuko vizuri aswaa,
Kila pasi inafika kwa...
Ilitosha mwalimu huyo kusema tu hatujamwita kikosi cha taifa kwa vile kiwango chake kiko chini kwa sasa.
Hii ya kusema hatuendi kuposa ina uhusiano gani na Aishi Manula kuteuliwa kikosi cha timu...
WanaJF nilikuwa naomba kujuzwa maeneo mbali mbali ninapoweza kujifunza martial arts yoyote ile (karate, kickbox, boxing, kungfu ) pamoja na gharama zao.
Asanteni wakuu
Kumekuwa na uvumi kuwa kampuni ya Azam Tv wameamua kutokuongeza tena mkataba wake wa kuonyesha ligi kuu ya Uhispania, maarufu kama La Liga. Hivyo kufanya chaneli yao ya Azam Sports HD iliyokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.