Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habari wanajukwaa? Leo kwenye pita pita zangu mitandaoni nimekutana na hiyo mada instagram iliyoandikwa na mchambuzi wa michezo pale Azam tv anaitwa Alikamwe, ameandika mengi kuthibitisha...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limezitaka Klabu zote za Ligi Kuu kuwasilisha wasifu au CV pamoja na vyeti vya Makocha wao wote hadi kufikia Septemba 15, 2020 Taarifa iliyotolewa na TFF imesema...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wale washabiki wa Yanga na baadhi ya watangazaji wanaolalamika kuhusu habari za Yanga kutopostiwa kwenye pages za CAF Champions League Kwanza mnatakiwa mfahamu kama haushiriki mashindano ya...
4 Reactions
1 Replies
780 Views
  • Closed
Taarifa iliyopo ni kwamba Rostam Aziz amekubaliana na Yanga kununua share 29% halafu GSM wao kununua 20% na wananchi kubakiwa na 51%. Walikuwa wanaona simba inapotea kumpa Mo 49%,nao pia...
3 Reactions
50 Replies
5K Views
Ambaye anajua atuwekee hapa Tafadhari Sana
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mocha ,promota na rais wazamani wa TPBO amefariki dunia. Leo 8/9/2020 Yassin Abdalah 'ostadh'. Rip ostadh Update zitakujia hapa hapa
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Kaseke siyo mtu wa kuanza daaah TUMEFELI SANA KEPTENI GANI YULE Kaseke hafai, chimbi hafai mchezaji wa bei ghali carlinhos kakasirika kaenda vyumbani kabla mpira haujaisha, mwambusi hafai...
3 Reactions
30 Replies
5K Views
Nimeona baadhi ya wachambuzi maandazi wamepata jambo la kuongelea wiki hii nzima baada ya Kigwangala kuhoji uteuzi wa CEO mpya wa Simba. Kifupi tu namuomba aache kuleta uswahili na choko choko...
11 Reactions
169 Replies
13K Views
Wakuu,saluti kwenu.naamini wote jana mlishuhudia mechi mbili tofauti za watani wa jadi.Wakati naangalia mechi ya mnyama mkali na Ihefu nilishangaa mashabiki na wapenzi wa Yanga wakibeza matokeo ya...
8 Reactions
31 Replies
4K Views
Moja ya Habari iliyotamba kwenye duru la michezo na kwenye mitandao ya kijamii nchini mwishoni mwa wiki ni klabu ya soka ya Simba kumpata Afisa Mtendaji Mkuu mpya mwanamke , Barbara Gonzalez...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Msimu ujao haupo mbali sana, baadhi ya timu zimeshaanza kutoa jezi mpya kwajili ya msimu unaofata. Uzi huu utakuwa unatoa updates za jezi hizo mpya, huku tukitoa max zetu kuhusu jezi nzuri na...
6 Reactions
324 Replies
62K Views
NATUMIA MANENO MACHACHE-Nilichokiona jana. Yanga ni ileile,kilichobadilika kidogo ni watu. kuna wachezaji wapya ambao wanasifa zao binafsi. hadi dk ya 30 Yanga ilikuwa haijafanya shambulizi...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Naona wanakamia sana hawa mechi zingine wanakuwa mdebwedooo
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Patashika ya ligi kuu Tanzania Bara VPL, kuanza leo Jumapili 06, Septemba 2020. Leo zitapigwa mechi sita(6) katika viwanja mbalimbali. lakini katika uwanja wa Sokoine kuna bonge la mechi kati ya...
5 Reactions
163 Replies
15K Views
Salaam Wananchi Wezangu Sisi Washabiki wa Dar Young Africans tunatangaza Wazi kuwa alichotufanyia Hamisi Kigwangwala ni Hujuma dhidi ya Wananchi, Alijitengezea Mgogoro na MO Dewj akatuhadaa sisi...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwanza nianze kwa kusema kuwa mimi ni shabiki kindakindaki wa Yanga, japo miaka miwili iliyopita nilijipa likizo ya kutoifuatilia. Hili la kutoifatilia ilitokana na timu yangu hii kuwa na mambo...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
LIST YA WACHEZAJI WAPYA WALIO SAJILIWA KWA MSIMU 2020/2021 AZAM FC 1. Alain Akono 2. Prince Dube 3. Emmanuel Charles 4. Davi Kissu 5. Awesu Awesu 6. Ismail Aziz 7. Ayoub Lyanga BIASHARA UNITED...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Mechi live kila mwenye access atupe updates Kila la heri asukile uwanyooshe jiesm ======== Kipindi cha Kwanza Goal dk ya 7 Lambart nje ya 18 anawatanguliza Prisons Yanga 0-1Tanzania Prisons
0 Reactions
92 Replies
10K Views
ukweli ni kuwa mourinho anasumbuliwa na frustration za moto wa guardiola hadi ameingia chaka kwa sanchez. sanchezi ni kiazi kwa sasa na hatoipa mafanikio yoyote man u mwezi wa tano mwaka huu 2018...
3 Reactions
48 Replies
4K Views
Back
Top Bottom