Wasalaam wana bodi.
Kwanza nianze kutoa kongole kwa uongozi wa club yangu ya young African (yanga a.k.a wakimataifa). Tulichofanya tarehe 30 jumapili pale kwa mkapa ni uthibitisho kuwa yanga ni...
Sijui analipwa bei gani kwa mwezi huyu mwamba. Najua sisi mashabiki kumuongezea mshahara ni suala gumu kulitekeleza. Ila acha tutumie kama kivumishi cha kumpa anachodtahili huyu box to box...
Leo CAF imetoa orodha ya nchi 12 ambazo zitapeleka timu 4 kwenye michuano ya klabu Africa.
Yanga ilikuwa ikitegemea kwamba Tanzania itapeleka timu 4 baada ya libya kufuta ligi yao kipindi cha...
Ni kweli kwamba kapuku hana thamani, lakini wakati mwingine umasikini tunajitakia tu , kwa umati wa wanachama na wapenzi wa simba nchi nzima timu hii haistahili kuitwa masikini, kama tutapata...
Shirikisho la Mpira wa Miguu la Nchini, Brazil limetangaza sera mpya ya malipo na posho kwa wanasoka Wanawake na Wanaume
Sera hiyo itafawanya wanasoka Wanawake na Wanaume wawe wanalipwa kiwango...
*KALENDA YA MASHINDANO YA CAF 2020/2021 IMETOKA RASMI 01 Sept 2020*
*USHIRIKI WA TIMU*
Kulikuwa na Upotoshaji Mkubwa unaoendelea kila sehemu katika ushiriki wa timu za Tanzania kwenye mashindano...
Habarini Wana Yanga Wenzangu,
Leo tukiwa pale Mkapa Stadium tukifanya show za kisanii na sarakasi zilizotaka kumdondosha Konde Boys kwenye rope, Wenzetu kule Arusha walichakaza Vibaya Namungo kwa...
Kuna habari iliyokuwa mtandaoni inayotrend kuwa Kocha na Mchezaji wa Simba wamepigana mazoezini kabla ya mechi ya fainali ya ngao ya jamii, Nao waandishi wa habari bila kufanya tafiti wakaipeleka...
Tukiwa tunakaribia kuingia mwezi wa nne baada ya kuanza kwa msimu wa soka katika ligi mbalimbali barani Ulaya, yupi mpaka sasa ni mchezaji ambaye amepafomu vizuri kushinda wenzake kiasi cha kuweza...
Jamani, jamani, jamani hii Yanga Day Imetisha!
Yanga kweli ni kiboko yao Kwanza imejaza uwanja watu wamefurika mpaka nafasi hakuña wengine wamebaki nje ukilinganisha na Simba day uwanja ulipwaya...
Achana na shoo ya konde boy,tangu nianze kufuatilia hizi Simba day na wananchii day,Leo kwa mara ya kwanza nimeshuhudia timu ya yanga sc wakifanikiwa kuujaza uwanja kwa asilimia 99.9.
Niipe...
Nilishangaa sana na mno kwani Mashabiki wa Nyani Mbwa Sokwe FC ninaowafahamu Mimi Kwanza hawana Hela (nikimaanisha wengi wao ni Masikini na Choka Mbaya) kama Mimi GENTAMYCINE halafu pia ni...
Jana nilikua namsikiliza mshindo msolwa akiongea kuwaomba mashabiki wa yanga kuchangia bakuli ili waweze kusajili wachezaji 2 wakigeni ambao ukijumlisha na wachezaji 8 ambao tayar wameshasajiliwa...
Kwa hiki kinachowakuta hawa warundi sio fair kabisa yaani inaonekana kabisa kuna kitu kinatafutwa. Kwa sababu haiwezekani Yanga wanacheza rafu za kustahili kadi lakini refa anang'ata filimbi, sio...
TFF tamko peke yake kuhusu kitendo walichofanya mashabiki wa Yanga halitoshi, hili tukio mnaweza kuliona ni dogo sana, ila tukio hili ni kubwa mno, tunapelekana pabaya, bila mashabiki wa Yanga na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.