Namnukuu
Tukiacha ushabiki, kwa sasa Simba ina kikosi imara ndani ya uwanja na nje ya uwanja. Yanga hawana kikosi imara ndani ya uwanja wala nje ya uwanja.
Yanga kutaka kushindana na Simba kwa...
Kila nikiiangalia hii Picha huwa najiuliza Ni Utopoloni pekee ndiyo Suti inavaliwa na Raba?
Unaweza kudhani hichi ni kikundi cha wafanyakazi wa Hotelini wakijiandaa kulisha Watu waliohudhuria...
Huenda hatumtazami Mikel Arteta kwa jicho poa,ila ni kocha mmoja wa viwango sana. Hanawachezaji wa kiwango cha juu sana, ilaamehazana kuitengeza timu yahe ili kupata uborawa kila mchezaji...
Sio uongo vilabu vya Simba au hata Yanga vina Waswahili wengi sana ambao % kubwa shule ni zero na wanacho penda ni kusikia wakikandiana, na kutambiana wachezaji, kutambiana makocha, ndo maana...
Sipati picha nyomi kama hii ikisheheni kwenye mkutano wa Chama cha Siasa hali itakuwaje huko mitandaoni.
Je, mapenzi ya vilabu vya mpira hasa Simba na Yanga yanazidi yale ya vyama vya siasa...
Kadi nyekundu wamepewa kiulaini sana na imewaua na kuharibu ladha ya mpira
Tunataka kuona ubora wa wachezaji wetu na timu yetu yanga
Hatuwezi kuona ubora kwa usahihi kwa kucheza na timu pungufu...
Naona mnacheza rafu nyingi na refa hawapi kadi.Matokeo yake mnasababisha wageni wawe na hasira na kupelekea mmoja kupewa kadi mbili za njano.
Hivi mnampango wa kupima wachezaji wenu kweli?
Nimepita nimekuta taarifa iliyotolewa na Bumbuli kuwa Yanga inakishikilia kibali cha kazi cha Benard Morrison mpaka swala litakapoisha.
Sasa nikashangaa liishe vipi wakati lilishaisha TFF...
Kwanini hapa Tanzania boxing iwekwe saa 8 au saa 10 usiku/alfajiri?
Watu wengi wanaangalia ngumi kwenye kumbi na vibanda umiza na wale wanaokwenda kuhudhuria mubashara mapambano hayo wanatoka...
Naam
Leo ndio ile siku tuliyokuwa tukiisubiri kwa hamu ya ufunguzi wa ligi pendwa barani ulaya, maarufu kama English Premier League (EPL).
Tutashuhudia mtanange wa kukata na shoka kati ya vilabu...
Habari yako, nakumbuka mwaka jana mwezi May nilipata bahati ya kutembelea jiji la London nilienda kwa shughuri zangu binafsi lakini nilipata nafasi ya kutembelea mgahawa mmoja kwaajili ya kupata...
Katika ukurasa wao rasmi wa twitter
Shirikisho la Mpira Afrika (CAF) Waliendesha zoezi la kura kujua ipi ni team giant inayovaa jezi nyekundu kwenye Bara hili la Africa.
Matokeo yametolewa na...
Serikali imesema Vilabu vinaweza kuwatumia wachezaji, makocha na wafanyakazi wengine ambao ni raia wa kigeni katika kipindi hiki ambacho Ligi Kuu haijaanza.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Sera...
Habar jf,
Niwapongeze gsm kwa kufanikiwa kumnyofoa aliyekuwa ceo wa simba hongeleni sana. Lakini pia mmefanikiwa kuzima maswali yote ya uongo wenu kuhusu kuwadanya mashabiki kwamba mmewasajili...
Ikiwa Ulaya uchawi upo basi naona moja kwa moja huyu golikipa wa Bayern achunguzwe.
Japo anaweza kutetewa na wengi kuwa ni bora sawa hatukatai yeye ni bora lakini si kwa kiwango hiki cha kukosa...
Sisi Liverpool Sadio mane amekosa tuzo amepewa Jordan Henderson
Mzungu mwingereza.
Sasa huko Man City ndo komesha. Washaamua kumjengea sanamu David Silva...na baadae Aguero akistaafu.
Leo hadi...
'Injinia' Hersi Said acha kudhani kuwa Watanzania hawafatilii mambo ya Michezo kama hao wana Yanga SC wako ambao kila mara unapenda 'Kuwadanganya' na sijui umewapa 'Sumu' gani ambayo aliyekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.