Mihayo ni kocha mzuri sana mwenye msimamo, strategy na vision na technically he is absolute best.
Ni kocha ambae anaeweza kuja kufanya reform ya SSC ikawa timu bora kuliko kukomaa na hawa wazungu...
Liverpool imetolewa katika Michuano ya Klabu Bingwa Ulaya kufuatia kufungwa goli 3-2 na Atletico Madrid ndani ya dakika 120. Dakika 30 ziliongezwa baada ya dakika 90 kuisha Liverpool ikiwa...
Wakuu
Mimi sio mjuzi sana wa mambo ya mpira ila katika pitapita zangu kwenye mitandao nikakutana na hii Tweet.
Napenda nijue kutoka kwenu wadau wa football hasa European top leagues
Nini...
Mimi naaamini kabisa, Atletico De Madrid atapambana na hatofungwa leo dhidi ya Juventus.
Ninajivunia safu imara ya ukuta ikiongozwa na Kamanda Kepteni Diego Godin. Licha ya umri wake mkubwa bado...
Kama mlidhani Kipanya ni maridadi kwenye siasa pekee basi mnakosea.
Leo baada ya mechi ya Simba na Yanga ametoka na katuni hii hapo sasa sijui inamaanisha nini maana naona mapengo kinywani...
Torres alipikwa akapikika Akitokea ATLETICO akaenda liver baadae Chelsea mpira ukamuishia kabisa aliporudi ATLETICO akawa mtamu vibaya Mnoooo hii ndyo atletico chuo cha mpira
Kun aguero mnyama...
Habarini za Asubuhi wapendwa?
Leo nipo hapa kuongea kuhusukinachoendelea katika Club ya SIMBA. Viongozi wengi wa Simba especially Manara hana maono yoyote kuhusu mpira yupo kupiga kelele tu nina...
Hello Tanzania na kando ya Tanzania
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Vodacom Premier League (VPL), kuendelea kutimua vumbi leo Jumapili ya March 8, 2020 kwa kuwakutanisha watani wa Jani katika...
Wazee naomba apa tuwekane sawa, mara kadhaa nimekua nikshuhudia kwenye vyombo vya habari Marathon mbalimbali zikiwa zimepewa majina tofauti tofauti.
Sasa nashindwa elewa tukio zima hua...
Hello Hello!
Kuelekea Ligi Kuu Tanzania Vodacom Premier League VPL Jumamosi January 4, 2020 utapigwa mchezo wa watani wa jadi (Dar Derby), ambapo mabingwa wa nchi Simba SC mnyama mkali...
Katika timu ambazo huwa zina didimiza vipaji vya vijama wa kitanzania Simba ndio namba moja.
Adam Salamba ni kijana mdogo aliyehitaji malezi ili aisaidie Simba pamoja na Taifa kwa ujumla lakini...
Huyu brother anaujua Mpira wa Tz like no one else.
Anawajua wachezaji WA Tanzania.
Hakuna mtangazaji na mchambuzi wa soka la bongo anae ujua mpira WA bongo na wachezaji wa soka la bongo kama...
Kwa mujibu wa Sheria za FIFA (Shirikisho la Soka Duniani) mwaka 2015/16, mechi inachezwa na timu mbili, kila moja ikiwa na Wachezaji wasiozidi 11, mmoja wao ni Kipa. Mechi haiwezi kuanza ikiwa...
Mechi za mpira wa miguu katika ligi za Uhispania zitachezwa bila kuhudhuriwa na mashabiki kwa takribani wiki mbili zijazo ikiwa ni wasiwasi wa virusi vya Corona.
Mabadiliko hayo yataanza Jumanne...
Hey nimenunua leo simu yenye ram kubwa gb 4 na memory kubwa gb 64 oppo
Ni games gani nzuri nizipakue ili nipunguze stress
Na ni app gani nzuri zinazotakiwa ziwepo kwenye simu
Na ni movie gani...
The Premier League clash between Manchester City and Arsenal has been postponed as the Gunners revealed a number of players have been forced to self-isolate for 14 days as a precaution against...
MANULA NI MUOGA NA MOYO WAKE NI YANGA
Mimi ni mshabiki kindakindaki wa Simba , nimemfuatilia kwa karibu manula kwa mechi alizocheza na yanga ni dhahiri hakubali yanga kufungwa, hivyo yeye ni...
Msimu wa 2019/2020 Ligi Kuu nchini Italia, maarufu kwa jina la Serie A, huenda ukakomea njiani, kutokana na janga la maambukizi ya virusi vya CORONA, ambalo limeendelea kuitesa nchi hiyo.
Ligi...
Kwa wadau na wapenzi wa michezo ya mbio za pikipiki mnakaribishwa kuja kushiriki na kutazama maeneo ya Tanganyika Packers Kawe nyuma ya kanisa la Mwamposa.
Michezo ya pikipiki za matairi mawili...
Wapenzi wa soka la Italia tutakosa kutazama soka mpaka mwezi wa nne baada ya Waziri Mkuu wa Italy kuisimamisha ligi kutokana na ugonjwa wa Corona. Itakumbukwa kuwa italy ni moja kati ya nchi...