Taarifa iliojiri hivi punde imeeleza kuwa Simba Dume na nahodha wa zamani wa AC Milan ambae alipata kubeba mataji matano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya Paolo Maldini na mwanawe anaechezea AC...
Habarin wa JF wenzangu.
Nikiwa kama mdau wa michezo hasa mchezo pendwa "soccer" huwa najaribu kufananisha viwanja vingi vya kimataifa na uwanja wetu wa TAIFA almaarufu Kwa Mkapa.
Nikivitazama...
Serikali kupitia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa imetangaza kusimamisha mchezo yote.
Waziri Mkuu akiongea na Watanzania kupitia vyombo vya habari amesema:
"Tumesitisha michezo yote inayokusanya...
Some Premier League clubs believe the season can still be completed if games start again on April 4
The Premier League will hold an emergency meeting on Thursday to establish plans for the...
Hazikuwa taarifa Rasmi juu ya Simon Msuva kujiunga na Klabu ya Benfica kama baadhi ya vyombo vya habari vilivyoripoti.
Msuva bado ni mchezaji halali wa Klabu ya Difaa Hassani El Jadidi...
E FM radio wana kipindi cha uchambuzi cha michezo asubuhi kiitwacho 'Sports HQ'.
Wiki iliyopita pana mchambuzi mmoja alitamka kuwa Coastal Union ndiyo timu inayocheza kandanda safi kuliko...
Wale wapenzi wa Kickboxing tunakosa uhondo yaani huyu jamaa hakuacha legacy kabisa ya mchezo huu. Masumbwi ni eneo ambalo binafsi naamini Watanzania tunaweza kutoka uzuri, tukomae.
Hellow wakuu wanaJF, poleni na majukumu.
Moja kwa moja nielekee kwenye lengo.
Katika harakati kupambana na Corona nchi nyingi duniani zimepelekea kusitisha shughuli zote za mikusanyiko ya watu...
Francisco Garcia mwenye umri wa miaka 21 amefariki Dunia. Alikuwa akiugua "Saratani ya Damu'' na alipofanyiwa vipimo alikutwa na maambukizi ya Virusi vya Corona.
Alikuwa Kocha wa Klabu ya...
Liverpool baada ya kulikosa kombe kwa sababu za miujiza msimu wa 2013/2014, kisha kulikosa tena mwaka jana hata baada ya kuongoza ligi muda mrefu. Mwaka huu gundu jingine tena limetokea..!
Mazee...
Jinsi hawa akina mama/ dada walivyotinga jezi na aina ya mchezo unavyochezwa, kwa mwanaume 'fit' kutazama hii mechi huku 'amekaa' mwanzo mwisho ni ngumu nionavyo mimi. Wewe mwanaume, je 'umekaa au...
Kwa wakongwe mwenzangu mtakumbuka sauti tamu yenye utani na kila aina wa magwiji wa utangazaji wa Mpira wa miguu hasa hasa Omary Jongo na Charles Hiral...
Ngoja nikupe kipande kidogo..weka...
Ligi Kuu Tanzania, Vodacom Premier League (VPL) kuendelea kupigwa leo March 15, 2020 ambapo wenyeji wa mchezo Namungo FC wanapepetana na Yanga SC, kwenye uwanja wa Majaliwa, (Majaliwa Stadium)...
Iko wazi wachezaji wa Yanga hawajalipwa pesa zao za mechi ya Simba waliohaidiwa.
Mmh mwakyembe tinaomba hili swala ingilia kati owe fundisho kwa wowote wanaoahidi bila kulipwa. Kama mnakumbuka...
kutoka kuwa na mastraika hatari kama kina tambwe na ngoma ambapo kabla yakusajiliwa walikuwa wanajulikana team walizokuwepo na walisajiliwa wakiwa hatari
mpaka kwa kina molinga na yikpe ambao...
NIKUSIMULIE kidogo kuhusu mtu aliyeitwa Mane Garrincha. Mtu ambaye Wabrazil wanaamini alikuwa na kipaji kikubwa kuliko Pele. Mtu ambaye kaburi lake mpaka sasa pale Pau Grande Brazil limeandikwa...
Liverpool ambayo imebakiza pointi 12 tu kubeba ubingwa wa Ligi ya Uingereza inaweza ikaukosa endapo Coronavirus au Virusi vya Corona vitaingia Uingereza na kulazimisha ligi kufupishwa.
Hakuna...
Nimejikuta nafurahia sana hizi clip za malalamiko,kwani zinachekesha sana hasa unapomuona mtu mwili mkubwa halafu anaonekana hata akili za kujitafutia rizki anazo ila analalamika Yanga...
Sis walima korosho na ufuta,tunatangaza rasmi kuwa leo ndiyo mazishi ya Yanga.
Wajiandae kulia na kusaga meno.
Tunaenda kuweka historia mpya,achana na ile 6,5,4 walizopokea kutoka kwa wana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.