GSM ANAACHANA NA YANGA KWASABABU YA WAJUMBE HAWA.
Wajumbe watatu wa Kamati ya Utendaji
1. Rodgers Gumbo
2. Richard Shija
3. Salum Rupia
Walikuja na ajenda kwenye kikao cha Kamati ya utendaji...
Kama mnavyojua kesho tar 06/04 /2018 kuna mapambano makali ya kukata nashoka kwenye uwanja wa kinesi, binafsi nasubiria kwa hamu pambano kati ya Mada Maugo Jr aka mbunge mtarajiwa wa Rorya na...
Madaraja hayo ndio yanayotengeneza muunganiko unaoitwa Ligi ya Taifa. Matokeo yote ya michezo iliyochezwa hadi sasa yatafutwa
Hatua hii inaanza kuteleleza mara moja, hii inamaanisha kuwa kwa...
Hii mbinu amekua akiitumia Mo pale Simba. Hawa watu wenye hela na wafanya biashara mda wote wanataka wawe midomoni mwa watu ili wafanye biashwords!ao. Walichokifanya GSM ni kujaribu kupima je wana...
Klabu ya Simba itaendelea kuwa kichwa cha Mwendawazimu, kufungwa na kutofanya vizuri katika michuano ya Afrika iwapo itaendelea kushikiria akili na tamaduzi hizi,
Taarifa zinasambaa Papy...
Dogo alienda Simba kwa mbwembwe zote, now pumzi zimekata. Benchi linamuhusu.
Dogo alikosa washauri. Unaweza vipi kutoka kwenye timu ambayo wewe NI mchezaji tegemezi na kwenda kuhangaika...
Hizi timu mbili Ufaransa na Uhispania zilikuwa ni mabingwa watetezi wa kombe la dunia kwa miaka husika lakini kila kikosi kilikuwa ni kibovu.
Watu wengi kipindi hiko walidhani hizo timu...
Uongozi wa timu ya Mbao United ambayo inapambana isishuke daraja wametangaza kuuza timu hiyo kwa mil 300 kwa msimu,madalali bado wanahangaika kutafuta mteja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ligi Kuu ya Spain La Liga, imehairishwa moja kwa moja msimu huu. FA ya Spain imesema haiwezi kuendelea na msimu huu wa Ligi kwa muda usiojulikana.
La Liga imechukua hatua hiyo, baada ya hapo...
Nimewasikia baadhi ya wanachama wa yanga wakiunga mkono hoja iliyotolewa na billionaire Rostam Aziz akiwashauri timu ya yanga inapaswa kubaki na mfumo wa wanachama badala ya kampuni, nimebaki...
FUTURE OF ENGLAND IS IN SAFE HANDS!
Naam km wanavyosema waswahili,km unataka kesho yako iwe nzuri basi anza kuitengeneza Leo na nyumba huwa huanzi kuezeka mabati Bali utaanzia na msingi hii ndio...
Matokeo ya mechi ya leo, Machi 8, 2020 yametoa uhalisia kuwa letu la kamati ya ufundi halina tija tena. Machi ya Januari 4, 2020 tulifunga 2 bila halafu Ombaomba FC wakazirudisha. Ni fedheha kubwa...
Michuano ya Olimpiki imeahirishwa kufuatia mlipuko wa COVID-19 ambao umeathiri mataifa mbalimbali duniano kote.
Michuano hiyo iliyotakiwa kuanza rasmi Julai 24 mwaka huu katika Jiji la Tokyo...
" Mwaka 96 nikiwa South Africa kuna mdau wa Jomo Cosmos aliniona akanifuata hotelini kwangu akaniuliza kama Nina wakala nikamwambia sina.
Akaniambia Mimi Nina Shida ya Goal Keeper kwenye timu...
Mm ni mpenzi wa Mieleka. Naangalia Monday Night Raw, uwanjani hakuna mashabiki hata mmoja lakini game linaendelea kupigwa kinyama.
By the way, Rand Orton atamuweza EDGE kweli, au ndio misifa...
Rais wa TFF Wallace Karia amesema wachezaji watakaosafiri kwenda nje hawataruhusiwa kurudi nchini.
Amesema wachezaji wa kigeni watakaosafiri kwenda kwao katika kipindi hiki ambacho ligi imesimama...
Kwanini mnapenda kulalamikia vitu vidogo vidogo na kuchochea chuki kwa waamuzi wakati timu nyingine zinafanyiwa hayo hayo ikiwepo Simba yenyewe na hawalalamiki?
Yaani hata goli la Namungo eti...
Wapenzi wa michezo na wadau wote wa mbio za magari na pikipiki kutokana na ugonjwa wa Corona. Shirikisho linalosimamia michezo ya magari na pikipiki ulimwenguni FIA (Fédération Internationale de...
Mzuka wanajamvi!
Michezo inalipa tukiwaona watoto wetu wanavipaji vya Michezo kwaanzia wadogo yani nikukomaa nao siyo tu muda wote kuwakazania kukariri orodha japo pia elimu ni muhimu na LAZIMA...
Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki (IOC) inaangalia uwezekano wa kuahirisha michuano ya Tokyo 2020, na imejipatia wiki nne kufanya maamuzi.
Bodi ya Utendaji ya IOC iliyokutana Jumapili jioni huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.