Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

NEMANJA VIDIC NI JIWE AMBALO FERGUSON ALIJENGA KANISA JUU YAKE . Kwanza leo nipo ndotoni lakini ajabu sana naota Kilatini leo, 'Veni vidi vici' Came, saw and Conquered, ndio ni stori ya binadamu...
7 Reactions
28 Replies
4K Views
01/04/20 > Mkongwe Antonio Cassano akiwachambua Maradona na Messi anasema mkongwe Hugo Maradona amefanya mambo ambayo hayajawahi kuonekana katika soka kwa miaka 4 au 5 (yaani kandanda safi)...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina declare interest mimi ni Simba Sc,lakini swala linaloendelea Yanga Sc haliwahusu Yanga pekee. Hili ni suala la wapenda michezo wote. Baada ya Yanga kuifunga Simba katika mchezo uliopita kuna...
5 Reactions
34 Replies
4K Views
Hawa wakimataifa baada kukosa pesa mfadhili wao namba moja kuwaacha Upande wa pili kule matopeni kukawa pesa nyingi ambazo zipo mpaka sasa. Sasa wakimataifa wakawa wanatafta wachezaji wazuri...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Deo Kanda ni mchezaji aliyetokea TP-Mazembe ya CONGO, kuja kucheza mpira Club ya Simba ya Tanzania. TP-Mazembe ni moja katika timu tajiri na bora katika bara la Afrika na imekwisha chukua vikombe...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari ndiyo hiyo. Wameafikiana kuwa michezo iliyobaki itakuwa ikichezwa kila hali inaporuhusu hadi pale yote itakapokamilika. Hii ina maana kuwa bila kujali ligi itahitimishwa lini, majogoo wa...
7 Reactions
15 Replies
3K Views
Mashindano makubwa zaidi ya mchezo wa tennis duniani, Wimbledon, yamefutwa rasmi leo Jumatano kufuatia janga la coronavirus, ikiwa ni kwa mara ya kwanza kwa mashindano hayo kutofanyika tangu Vita...
0 Reactions
0 Replies
894 Views
FIVE Footballers Who Don’t Have Girlfriends While the pairing of a high profile footballer with a stunning model or actress has become almost cliche in its regularity, it comes as a surprise to...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Leo tujadilini timu ya media. Timu ya Taifa ya England au maarufu kama The three lions wamefuzu na watakuwepo katika fainali za Kombe la Dunia pale Urusi mapema June 2018. Ukiangalia Wachezaji...
2 Reactions
51 Replies
5K Views
Habari zenu Wakuu, Kwa Sasa walinda milango Marc-Andre Ter Stegen wa Barcelona na Jan Oblak wa Atletico Madrid wanaonekana kufanya vizuri zaidi kuliko wengine. Je, kwa mtazamo wako unafikiri ni...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Upinzani katika kandanda ni miongoni mwa mambo yanayoufanya mchezo huu kuwa kipekee. Mfano ni nani bora kati ya Cristiano Ronaldo na Lionel Messi, kati ya Pele na Maradona au Patrick Vieira na...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Habarini Wadau wa michezo, Nimeona hili Goal.com wameliuliza kule tweeter, binafsi ninawakubali zaidi hawa vinara wa Ufaransa kuliko wahispania Mtazamo wako ukoje? Na kwanini? Naamini hivi...
1 Reactions
1 Replies
829 Views
Rais Jakaya Mrisho kikwete akitambulishwa na Mkurugenzi wa kampuni ya umeme ya Symbion Bw. Paul Hicks kwa kocha wa vija na kutoka Uingereza anayetambuliw3a na FIFA ambaye atakuwa mkufunzi Mkuu...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
First of all I declare my interest, I am a devoted Muslim. Tyson aliingia katika pambano lake dhidi ya Evander Holyfield akiwa Ndio ametoka kusilimu and I think alisilimu wakati yupo jela...
20 Reactions
69 Replies
12K Views
1.messi 2. Ronaldo 3. Neymar Wanafuata kuna gap kubwa sana kutoka 95 hadi 38. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
10 Replies
2K Views
DAR ES SALAAM UONGOZI wa Yanga SC umewasimamisha wajumbe wawili wa Kamati ya Utendaji, Salim Rupia na Frank Kamugisha kuanzia leo Machi 27, 2020 hadi hapo mkutano mkuu utakapofanya maamuzi kwa...
2 Reactions
32 Replies
5K Views
Naitwa YUSUPH JOHN. Nina miaka 20 nina kipaji na ndoto ya mpira natafuta mfadhili na pia timu. Please nisaidieni; mm ni maskini please please. Nahangaika sana kutafuta timu nipo Gongo la Mboto...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Chama na Mogela walikuwa na kitu gani sana special mpaka wakajizolea umaarufu katika soka la bongo, naombeni mnijuze...
1 Reactions
23 Replies
7K Views
Aliyekuwa msemaji wa Simba miaka ya 2010-12 Asha Muhaji ametangulia mbele ya haki mchana huu. mungu amrehemu Asha Muhaji enzi za uhai wake ====== Dar es Salaam. Aliyekuwa afisa habari wa...
3 Reactions
12 Replies
4K Views
Wasafi Fm wameripoti kuwa chama anaondoka Simba. Naona mistake ingine,pengo la Kotei mpaka leo linaonekana,halafu Chama tena? Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
51 Replies
8K Views
Back
Top Bottom