Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

maana mikusanyiko yoyote ni hatari kwa Corona virus Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Amani iwe juu yenu wanajamvi. Binafsi mimi ni shabiki wa Man United na Real Madrid lakini kiukweli sijawahi kushuhudia pacha bora zaidi katika eneo La katikati kama pacha ya Iniesta na Xavi...
3 Reactions
33 Replies
5K Views
NUMBERS DONT LIE ZIDANE GAMES:820 GOALS 103 ASSISTS 92 TROPHIES 11 XAVI HERNANDEZ GAMES 767 GOALS 108 ASSISTS 204 TROPHIES 28 #IN THEIR PEAK XAVI WAS BETTER THAN ZIZOU....!!!
9 Reactions
202 Replies
17K Views
Simba kupigia page zao za mitandao ya kijamii wameanzisha program ta kuuliza maswali na mchezaji anajibu papo hapo live Hiki kitu ni kizur na ni ubunifu mzuri chini ya senzo Vipi wadau wa soka...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari ya jioni pia Heri ya pasaka wapendwa. Kama kichwa kinavyotaja juu nahitaji mawasiliano ya shirikisho tajwa hapo juu, pia naomba kufahamu makao makuu yao yalipo. Natanguliza shukrani zangu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika maisha yangu ya kutazama soka, sijawahi kuona mtu anapiga freekicks kama huyu mwamba, najua wapo kina beckham, ronadinho, messi, zidane, fundi pirlo, cr7, shunshuke nakamura na wengine...
30 Reactions
153 Replies
17K Views
SINTOSAHAU: Wayne Rooney anatukumbushia tukio la kupata kadi nyekundu dhidi ya Ureno katika kombe la Dunia 2006[emoji471] ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ [emoji860] “Mchezo ulikua unaendelea vizuri. Gafla, mapema...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
. Bonjour Mon Amies![emoji4] tuanze na visiwa flani vilivyotengwa, visiwa hivi kule Carribean Marekani ndipo nyumbani kwa Baba yake Mzazi Thierry Henry aliyekimbia ugumu wa maisha na kuangukia Les...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Habarini wanamichezo Poleni na pilikapilika za hapa na pale hasa hizi tunazokutana nazo kwenye soka letu hapa nchini. Mapungufu ya wazi kwa waamuzi yamegeuka kuwa ni kawaida katika michezo ya...
1 Reactions
3 Replies
819 Views
Tutaelewana tu! Alisikika shabiki nguli wa Yanga baada ya kusikia GSM wamerudi tena Jangwani baada ya kutokea sintofahamu wiki kadhaa zilizopita. GSM wametangaza kurudi kwa kishindo na moja ya...
5 Reactions
18 Replies
3K Views
Unamkumbuka Lazaro wa Bethania? Binadamu alieishi Karne ya kwanza hapa duniani, anaezungumziwa kwenye Injili ya Yohana? Yule binadamu aliefufuliwa na Nabii Issa bin Mariam baada ya kifo chake...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nikiwa nimefanikiwa kuangalia mechi nyingi za VPL kabla kusimama kwa sababu ya janga la Corona, hili ni kosi langu la VPL 2019/20 1. Aishi Manula Simba SC 2. Shomari Kapombe...
4 Reactions
31 Replies
5K Views
Ilikua mwaka 2001 katika uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Ililikua Fainali ya Kombe la Castle. Stars ilishinda 3-1 dhidi ya majirani zetu Harambee Stars. Siku hiyo Stars waliupiga mwingi sana...
8 Reactions
48 Replies
5K Views
U NAFANYA unachokipenda? Basi una bahati sana. Kuna mastaa wa soka unaweza kusema wanafanya wasichokipenda, kwa sababu wasipokuwa kwenye mechi, basi huwezi kuwakalisha chini mbele ya televisheni...
5 Reactions
30 Replies
5K Views
Ni mapema sana kwa Manchester United kufikiria kumbadili kwenye jezi namba moja Davidi De Gea kwa ajili ya Golikipa wao aliye kwa mkopo katika klabu ya Sheffield United, Dean Henderson, kwa mujibu...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Tukumbushane kidogo wakati huu wa tunapokosa uhondo wa michezo wa ligi mbalimbali kwa sababu ya janga la Corona. Ulikuwa wapi na ulikuwa unafanya nini Karibu mhenga wa FOOTBALL.
8 Reactions
40 Replies
5K Views
Athari 6 Ligi Kuu Bara kama ikifutwa Tayari nchini Ubelgiji ligi ya nchini humo imefutwa na klabu iliyokuwa inaongoza kwenye msimamo wa ligi hiyo, Club Brugge ikitawazwa kuwa mabingwa, huku klabu...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Mambo vp wadau humu ndani. Nimekuwa kwa muda mrefu nafuatilia haya mambo kama kichwa hapo juu kinavyosema. Sasa kwa uzoefu wangu nimeweza kupata formula fulani ambayo imekua na constant results...
2 Reactions
42 Replies
9K Views
MSHINDI wa Kombe la Dunia, Ronaldinho Gaucho ameachiwa kwa dhamana kutoka gerezani nchini Paraguay baada ya kukaa kwa siku 32 kwa kosa la kuingia nchini humo na pasipoti bandia. Pasipoti ya nyota...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Ni kibwagizo gani cha kipindi cha michezo redioni ulikipenda sana au unakipenda sana hivi. Kuna kile kibwagizo kipindi cha michezo redioni kinapoanza kwanza inakuvutia halafu na zile bwembwe za...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom