Katika mchezo wa soka jezi namba ni kitu muhimu sana. Je, kati ya hawa makipa watatu Buffon, Kahn na Cassilas ni yupi unahisi aliitendea haki jezi namba 1?
Vitakuja vizazi na vizazi but daima wapenda soka hatutokusahau coz umetutenga mbali na burudani yetu pendwa ya soka, Burudani ambayo hutupa furaha tele hata pale tuwapo na misongo ya mawazo...
Habari zenu!
Nilikuwa nasikiliza na kuangalia kipindi cha mshike mshike cha azam tv, leo tarehe 19/04/2019.
Wanaongelea washambuliaji wa zamani wa kitanzania.
Wamemuhoji Mogella Zamoyoni na...
Thomas Lungu Sweswe ni mchezaji wa Zimbabwe,beki centre back,na amecheza vilabu 9 tofauti ,kwa sasa anacheza Bidvest Wits ya south africa,mchezaji huyo ameweka rekodi ya kutokugusa mpira dk 90...
Hivi mtu akisema nimeua mtu hafalu hakuna mtu aliyeuawa wala ushahidi wa kuua mtu huyo mtu anaweza kutiwa hatiani kwa kosa la kuua mtu?
Hivi mtu akisema nimemuua Bwana Mateso Kamau halafu Bw...
Baada ya Haji Manara kuweka Wazi Bei ya ' Kumng'oa ' Simba Sports Club Mchezaji ' Mahiri ' na ' Mtaalam ' kabisa akiwa ndiyo ' Play Maker ' Clatous Chota Chama kuwa ni kati ya Dola za Kimarekani...
Wakuu habari zenu,
Naombeni mnijuze kuhusu tukio la miaka fulani iliyopita, ambapo ilikuwa mechi ya ligi kuu ya Vodacom, golikipa wa timu flani hivi wakati anaenda kucheza krosi ya juu iliyopigwa...
Droo ya kupanga makundi kwa ajili ya michuano ya Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) 2019/20 kuchezeshwa leo Agosti 29, 2019 huko Grimaldi Forum, Monaco kuanzia saa 18:00 CET (Saa mbili usiku kwa majira ya...
Klabu ya Simba imewasilisha malalamiko TFF kufuatia kauli ya Makamu Mwenyekiti wa Yanga African Fredrick Mwakalebela kuwa wamefanya mazungumzo na mchezaji Clatous Chama wakati akina ndani ya...
Klabu za ligi ya Premia zimesema kuwa zitaendelea na ligi hiyo ili kukamilisha mechi 92 zilizosalia msimu huu , lakini hazikusema tarehe rasmi ya kurudi uwanjani katika mkutano siku ya Ijumaa...
Leo majira ya 13:30 Kwa muda wa huku kwetu, vilabu vya Ligi Kuu ya uingereza vinatarajia kufanya kikao kingne kwa njia ya video.
Huu ni mwendelezo wa vikao vngne ambavyo vimefanyika huko nyuma...
Habari Wakuu!
Tokea ninakua mpaka sasa bado sijawahi ona ona mchezaji Mpira anayemfikia GAUCHO kwa ubora.
kwa wanaomjua Gaucho wataungana na Mimi na hawatanishangaa nikimkubali huyu mchezaji...
Hii ni habari official kutoka kwa menager wa mchezaji ameandika katika ukurasa wake wa Instagram kuwa mteja wake ameamua kustaafu kuichezea team ya Taifa ya Tanzania. Kwa sababu ambazo amesema...
Kimsingi nataka nikueleze kuwa unaanza kuishi maisha ya kuongoza soka kizamani. Umejitia aibu sana na ndo hapo sishangai Msigwa kukucharaza mwaka2015.
Mwakalebela kama umeshindwa kuiongoza Yanga...
Habari za mda huu wadau wa JFsport,
Naomba anaefahamu hili suala atudadavulie kidogo kuna mwakalebela wangapi hapa Tz? Je, huyu makamu mwenyekiti hovyo wa yanga ndio yule aliekuwa kijana smart...
Naona kumepoa sana huku no updates zozote tatizo ni nini? Tuongelee magwiji wa soka je tuanze na yupi kati ya hawa
1. George Best
2. Diego Maradona
3. Dennis Bergkamp
Sauti ya Mwakalabela
Baada ya Mwamba Haji Manara kuunguruma leo Wasafi Fm, majibu yameanza kutoka. Niwashauri viongozi wa Yanga waache kujidhalilisha wanaposhindana na Haji. Nasema hivyo kwa...
Nimejaribu kufuatilia hii michezo, japo inaonekana Kama special kwa watu wa betting, Ila ikilasimishwa, inaweza changia pakubwa kuongeza ajira na Kodi kwa serikali, zichaguliwe timu nzuri za ligi...
Habari wanamichezo hususani wapenda michezo ya kubahatisha.
Kuna changamoto imetokea Supabets nimeshindwa ku withdraw pesa nilizoshinda siku ya pili sasa. Nimefuatilia wameniambia tatizo lipo...
Sikumbuki vzr kama hawa wachezaji walikuwa ni wa Malindi au Mlandege ya Zanzibar, ila nakumbuka miaka ya 90s nikiwa mdogo nilikua nikisia balaa lao.
1. Victor Bambo (Shujaa)
2. Hassan Wembe
3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.