Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

. Mishale ya saa tatu usiku Avenida Diagonal ilipo hoteli ya Gran Melia, siku moja kabla ya fainali wakati Sir Alex Ferguson na Steve McLaren (Kocha Msaidizi) wakiwa wanakuna vichwa nani aanze...
9 Reactions
24 Replies
3K Views
Klabu yetu inategemea kuanza mchakato wa mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa klabu, kwa mujibu wa mwenyekiti Dr.Mshindo Msola mchakato unategemea kuanza may 2020. Kimeandikwa kitabu kinachouzwa...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Ligi hiyo ya Mpira wa Miguu maarufu kama Eredivisie amefutwa na Timu ya Ajax Amsterdam iliyokuwa ikiongoza baada ya kujikusanya alama 65 haitapewa Ubingwa Aidha, taarifa kutoka Nchini Uholanzi...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Mchezo wa soka ni mchezo unaohitaji, team work ili ufanikiwe, lakini Mara kadhaa hutokea kwamba mchezaji fulani akacheza kwa jitihada sana kuliko wenzake na kusababisha ushindi. Ifuatayo ni baadhi...
8 Reactions
36 Replies
3K Views
Majuzi Hollyman alifungua thread ya aina hii. Nia na lengo lake lilikuwa ni zuri, namshukuru. Nimeamua nifungue mwenyewe hii thread ili iwe ni uwanja wa kudumu wa kuniuliza maswali, kutaka...
37 Reactions
1K Replies
125K Views
Habari wadau naomba kufahamu kiundani juu ya huu mchezo nani ambaye anakuwa anachezesha binadamu wa kawaida au ni computer ndio inakuwa inacheza tu yenyewe?
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Neymar’s 52-Year-Old Mum Dumps Her 23-Year-Old Boyfriend After Finding Out He's Gay Neymar's mother 'dumps 23-year-old toyboy after discovering he had dated a string of men'... just days after...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) litapokea takribani kiasi cha fedha Dola 500,000 (Sh 1.1 bilioni) kutoka Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) ili kusaidia uendeshaji wa shughuli za kimpira. Fedha...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
wakuu betpawa wameshaweka jackpot yao mwenye ABC atuwekee utabiri wake
0 Reactions
3 Replies
812 Views
Salaam. Serikali yetu imetualika wote tuisaidie michango dhidi ya huu ugonjwa, baadhi wameshajitolea kuonesha mfano akiwemo Ndugu Rostam Aziz alietoa vifaa kukabiliana na huu ugonjwa, na kiasi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wale wapenzi wa soka wa zamani, umepewa nafasi ya kuchagua mmojawapo ili kikosi chako kitimie, kati ya Shekhan na Salvatory nani unampa nafasi katika timu yako?
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Napenda nimtaarifu Mwakalebela ashukuru Corona la sivyo wanachama tungeungana kuja kukuondoa pale pale Jangwani tena kwa nguvu kubwa ya umma wetu wananchi. Mwakalebela nafahamu upo pale Yanga...
0 Reactions
4 Replies
973 Views
Wana historia yao kubwa sana kwenye uso wa dunia, wataalamu sana wa kuanzisha kitu kipya hawa waholanzi, kwenye Jiographia pale kidato cha pili si mlipitia Land reclamation, si ndio hawa jamaa...
4 Reactions
1 Replies
955 Views
COVID-19: Austrian Wrestler Converts to Islam while in Lockdown Muslim News Staff 19 April, 2020 Austrian wrestler, Wilhelm Ott, has pronounced the shahada (Islamic declaration of faith) while...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Hispania iliyobeba Kombe la Dunia mwaka 2010 pale South Africa dhidi ya Ufaransa iliyobeba kombe la Dunia mwaka 2018 pale Urusi kipi kilikuwa kikosi bora zaidi? Kuanzia brand ya football, mchezaji...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Mechi hii imechezwa jana majira ya saa 11 alfajir mechi ilianza kwa kasi na toka mwanzo mwa mchezo Yanga ilitaka kuonyesha umwamba wake mbele ya simba na wakajipatia goli la mapema dakika ya 2...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Chama cha soka Ulaya (UEFA) kimepinga madai kuwa kuna pendekezo kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) kuwa linawataka waahirishe michuano yote ya kimataifa hadi mwishoni mwa mwaka 2021 kwa sababu...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mwanzo tuliona kama jambo la kupuuza kwa sababu lilizungumzwa na mashabiki. Ila kwa sababu mpaka viongozi wa Yanga wamejiingiza kwenye uzushi inabidi kuwajibu. Kuwajibu ili kuwaepusha kwenye...
4 Reactions
61 Replies
8K Views
Habari wakuu,natafuta dumbells kwa ajili ya mazoezi,zenye uzito wa 20 au 15 kg,mwenye kujua zilipo au mwenye nazo tuwasiliane kwa 0717058288,natanguliza shukrani,nipo DSM
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Yani mda wote watangazaji na wachambuzi kazi ni kupokea simu na kusoma SMS tu na si kuchambua na kudadavua mambo ya soka kiundani kama tulivyotarajia wadau. Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
69 Replies
8K Views
Back
Top Bottom