Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nacheki NBA finals hapa ESPN 2 THE FINAL kati Lakers vs Pistons bonge la game Magic Johnson was a lit jamaa alikuwa noma sana enzi zake Namwona KAJ jamaa mrefu sana [emoji1787] anafunga tu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu la Misri (EFA) limetangaza kuwa Mohamed Abdo(59) amefariki Mei, 11 baada ya kuambukizwa #CoronaVirus Abdo ni mwananichezo wa kwanza nchini Misri kuripotiwa kufariki...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Exclusive: Sierra Leone striker claims someone wants to end his career with Juju. Juju means Charms,! Sierra Leone striker Mohamed Buya Turay today told BBC the injury that forced him to sit out...
0 Reactions
6 Replies
651 Views
Wengi walidhani kwamba Ajibu alikataa kwenda TP Mazembe, kauli yake aliyotoa kwamba hamna maslahi Congo ilikuwa kutuliza mashabiki tu, Maneja wake akiongea leo amesema kwamba Ajibu alisaini kwa...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Hili swala la wachezaji wa kigeni linaonekana kama zima moto lakini siyo mwarobaini wa Soka letu. Hata tukiwa na mmoja wa kigeni soka letu bado lipo hapa hapa, tatizo letu kubwa ni ukuzaji wa...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Mcameroon Francis Ngannou ametumia sekunde 20 tu kummaliza Msuriname Jairzinho Rozenstruik ambaye kabla ya pambano hilo alikuwa amecheza mapambano 10 bila kupoteza. Ushindi huu unamuweka Ngannou...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ilikuwa ni siku kadhaa after the infamous " underdog statement" from Shafii Dauda. Siku hiyo ilikuwa ni siku ya mechi Kati ya Simba Sc na AS Vita. Unbeknownst to Haji Manara, Shafii Dauda...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
The German Bundesliga season can resume this month, Chancellor Angela Merkel has confirmed. It will become the first major league in Europe to return to competition, with a date for resumption to...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Mchezaji wa Juventus ya Italia mreno Christiano Ronaldo amepelekwa karantini wakati wachezaji wenzake wakianza mazoezi baada ya kuwasili kutoka nyumbani kwake nchini ureno kufuatia ligi ya Seria A...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi VPL amesema TFF inafanyia kazi maoni ya Mh. Rais Magufuli, na ligi itarejea Juni bila ya watazamaji. ====== ALMAS Kasongo, Mtendaji Mkuu wa Shirikisho la Soka...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Mchezo wa soka ni moja kati ya michezo yenye mvuto na msisimko mkubwa, lakini pia ni mchezo wenye matukio mengi mazuri, mabaya na hata ya kuhuzunisha. Yafuatayo ni baadhi ya maswali ambayo kwa...
5 Reactions
162 Replies
20K Views
Wasalam wadau wa michezo. Waziri wa Habari, Michezo Sanaa na Michezoi, amelitaka Baraza la Michezo Tanzania kuangalia namna ya kupunguza idadi ya wachezaji wa kigeni katika ligi kuu ya Tanzania...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Ikiwa Pep Guardiola na Jürgen Klopp ndio Mameneja wawili bora kwenye Ligi Kuu EPL, Je! Ni nani wa tatu? [emoji848] Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Kocha wa Taifa Stars akizungumza na Azam Tv amepingana na Waziri Mwakyembe kuhusu kupunguza idadi ya wachezaji wa kigeni. Kocha amesema mbinu ya kama hiyo iliwahi kutumiwa na Burundi ambayo mpaka...
8 Reactions
31 Replies
4K Views
Shirikisho la soka nchini (TFF), limeweka wazi kuwa linashirikiana na Bodi ya Ligi (TPLB), kuhakikisha ligi kuu inarejea, lakini bado mchakato huo ni wa ndani kwani unategemea tamko la serikali...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Hapa tunaangalia wachezaji wa 5 waliopata sifa au kukuzwa zaidi kuliko ubora wao halisi. Sifa hizi zinaweza kuwa ni kutoka kwenye media, Mashabiki au timu zao wanazocheza, lakini kiuhalisia uwezo...
3 Reactions
73 Replies
7K Views
Katika Soka kuna wachezaji wengi ambao wanajituma na kujitolea sana katika timu zao lakini hawapewi Heshima zile wanazostahili. Kuna list kubwa sana ya wachezaji wa aina hiyo ambao ni mashujaa...
9 Reactions
157 Replies
16K Views
Mganda huyo ametua Simba baada ya mvutano mkali na klabu yake ya zamani ya Azam fc. Mchezo wake wa kwanza akiwa Msimbazi utakuwa dhidi ya Azam fc pale Taifa baada ya wiki mbili zijazo. source...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
ndugu tupeane hizi updates bila kuponda hovyo.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu ,kwemaa . Rejea kichwa cha habarii hapo juu. Ukiangalia siku za hivi karibuni this trophy , Ballon d'or imekuwaa popular sana na important, ambayo kila mchezaji anatamani ..one day yes...
1 Reactions
0 Replies
847 Views
Back
Top Bottom