Jarida la the sun .limeripot kwamba premier league imetoa nafas kwa bilionea wa Saudi Aribia kuingia ndani ya viunga vya St James’ Park. Ambapo kuingia kwa bilionea huyo itapeleka kufanya club...
Abdallah Bitembo ni mchezaji aliyeichezea timu ya CRDB FC Arudha ilipokuwa daraja la kwanza na hatimaye Meru FC,alicheza ligi enzi kukiwa na timu 16 kwenye ligi kuu,anaelezea kwamba hakuweza...
Mwaka 1996 kipindi Arsena Wenger anakabidhiwa timu alipiga marufuku wakina Tony Adams kunywa pombe na kula ovyo ovyo bila utaratibu , hata Unai Emery kipindi yupo Arsenal alipiga marufuku unywaji...
MARCELO LIPPI , MTAALAMU WA SOKA ALIYEAMINI TIMU NI ZAIDI YA WACHEZAJI WAZURI
Kua na wachezaji wazuri na bora haikufanyi uwe na timu bora ila mifumo na mipango ndio kila kitu, kupitia huo mfumo...
Coastal union na Mwanmyeto wamakataa offer waliyopewa na Yanga ili kumpata mchezaji huyo.
Wamesema bila mil 100 hatoki.Yanga wamesema mil 100 ni ngumu ila bado wanajitahidi kukaa chini.
Watani...
Jozi za viatu za nguli wa mchezo wa kikapu Michael Jordan za mwaka 1985 zimeweka rekodi ya kuuzwa kwa kiasi cha dola za Marekani 560,000, kwenye mnada wa mtandaoni.
Jozi hiyo ya viatu ya Nike Air...
Habari Taarifa ambayo Ni Rasmi Mh.Waziri Mwenye Dhamana Ya Michezo Mh.Harrison Mwakyembe Ametangaza kuwa
Mfumo wa Uchezaji wa Ligi katika Mpira wa Miguu ni kuwa
Ligi kuu itachezwa katika Mkoa...
Mahali hapa si salama kwako ila ndio sehemu tunayoishi sisi, ndani ya dunia hii kuna sehemu huwezi kugeuka mara mbili kuitazama sehemu kama ukanda wa gaza palestina, ni moja ya maeneo duniani...
Kipindi gani hapo cha michezo kinakuvutia kati ya Sports Arena ya Wasafi Fm, Sports Headquarters ya Efm na Sports Extra ya Clouds Fm. Hapa tuangalie mpangilio mzima wa kipindi, uchambuzi mzuri na...
Katibu Mkuu wa Shirikisho la soka nchini TFF Wilfredy Kidau amehojiwa na taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa.
Baada ya kutoka ndani Kidao hakutaka kuongea chochote na waandishi wa habari...
Nimeshangaa kuona ZFF wanalilia kugawana hela waliyopewa TFF na FIFA na wakati wao siyo mwanachama wa FIFA,pia wanajua michezo siyo jambo la Muungano.Zanzibar wanatakiwa watafute uanachama wa FIFA...
#BreakingNEWS: More Watford stars 'REFUSE to train after three of the six positive coronavirus tests in Premier League' came from the club.
======
Watford have had several more players refusing...
Arsenal wameapa kumwadhibu vikali mshambuliaji wao matata Alexandre Lacazette baada ya kuibuka kwa ripoti kwamba nyota huyo mzawa wa Ufaransa alipatikana akivuta gesi ya Nitrous Oxide almaarufu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.