Habari za wakati huu wadau wa JF.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Mara nyingi katika vyanzo mbalimbali vya habari na tambo za mashabiki wa mpira nchini, kumekuwa na majivuno baina...
April 2, 2020
Wachambuzi wa nyota ya Mwakinyo kufifia watoa sababu:
Mabondia walioitumikia Tanzania kwa muda mrefu na uzoefu wa kimataifa waelezea sababu ya ranking ya Hassan Mwakinyo...
Pazia la ligi hiyo litafunguliwa kwa mechi mbili, mtanange baina ya Manchester City dhidi ya Arsenal na Aston Villa dhidi ya Sheffield United.
Mechi hizo mbili ni za viporo.
Ratiba kamili...
_____________________________________________
Katika ligi kuu ulimwenguni zilizofaidi utamu wa wachezaji wa kidachi ,ligi ya Uingereza ni mojawapo.Achana na kina Virgil Van Dijk wa majogoo wa...
Hii game bana me nilikata tamaa kabisa kwenda kuingalia nikaenda zangu kulala aise.sasa nipo kitandan usinginzi ushaanza kunichukua jamaa yangu akanipigia simu kwa shangwe.nikamuuliza vip...
Michael Jordan's daughter explains why he didn't want 'The Last Dance' to be released
Alexander Tamargo/WireImage/Getty Images, FILE
6:36
Exclusive new clip of Michael Jordan hit ‘The Last...
Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almas Kasongo amesema Ligi Kuu Tanzania Bara itaendelea kuanzia Juni 13, 2020 baada ya kusimama kwa zaidi ya miezi 2
Amesema ratiba ya kuendela na Ligi hiyo...
Mda huu wakiendelea na uchambuzi kupitia Redio ya Wasafi Fm katika kipindi cha Sports Arena
Edo Kumwembe amesema kwamba Msanii Diamond ni brand kubwa kuliko Club ya Soka ya Simba kwa udhamini...
Katika ulimwengu wa burudani hususani katika soka kuna wachezaji watoa burudani na wachezaji wa mpira. Pia kuna wale wanaokupatia vyote viwili kwa wakati mmoja.
Pia katika soka kuna wale...
Hanari wadau wa soka,naomba anaejua sheria 17 za soka atililike hapa kwani nahitaji nizijue sheria hizo,nitashukuru wadau karibuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Klabu za Ligi hiyo zimepiga kura kwa siri kukubali timu kufanya mazoezi yatakayojumuisha wachezaji kugusana ikiwa ni hatua nyingine ya kukaribia kuendelea na Ligi hiyo.
Wachezaji walirejea...
Kutokana na janga la #COVID19 watu hawataruhusiwa kuingia viwanjani kushangilia michezo mbalimbali itakayokuwa inaendelea
Yamaha wametengeneza ‘Application’ itakayosaidia kufanya michezo...
Sheria za huu mpira zipo zaidi ya 17, nitataja chache nawe ongezea
1. Wenye Mpira sharti acheze hata kama hajui kucheza
2. Mwenye mpira, akiitwa ama akiondoka inakua mwisho mpira/mechi
3. Mwenye...
Nimepeleka barua FIFA kuwataka waondoe sheria ya Off-side kwenye mpira wa miguu ila kupunguza mzigo kwa washmabuliaji bali kuhamisha mzigo huo kwa walinzi. Offside imekuwa inatumiwa vibaya sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.