Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Baada ya kutumia nguvu nyingi kwa simba Leo yanga yawa mdebwedo kwa KMC
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Fuatilia link hii kupata taarifa zaidi.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana jamvi tupeane updates kinachoendelea uwanjani.
3 Reactions
52 Replies
4K Views
MSHAMBULIAJI wa Atletico Madrid, Diego Costa amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela, amacho hatakitumikia na faini ya jumla ya Pauni 482,000 baada ya kukutwa na hatia ya kukwepa kodi zaidi ya...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi wana JF Twende moja kwa moja katika mada,lengo LA Uzi huu ni kuhadithiana mikasa mbalimbali tuliopata wakati wa michezo mbalimbali. Binafsi ni mpenzi wa mpira wa miguu,nishawahi kupata...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
kama kichwa cha habali kisemavyo nahitaji kucheza gta 5 je hii sifa ya pc yangu kweli inaweza kuhimili mikiki ?
0 Reactions
6 Replies
978 Views
Main event hiyo itakuepo around saa 0500am mida ya kibongo Wale wenye bando za bwerere tumieni hapa HesGoal.COM Sports News kuona mtanange live === Amanda Nunes is the greatest women's MMA...
0 Reactions
5 Replies
826 Views
LONDON, ENGLAND SUPASTAA, Cristiano Ronaldo amempiku staa mwenzake, Lionel Messi kwenye mchakato wa wanasoka waliovuna pesa nyingi zaidi kwa mwaka 2020 kama inavyofichua orodha mpya ya jarida la...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Timu zinazoshiriki ligi kuu ya Uingereza, sasa zitakuwa na uwezo wa kufanya mabadiliko ya wachezaji watano, badala ya watatu kama ilivyozoeleka katika mechi, mabadiliko ambayo yataenda hadi...
5 Reactions
7 Replies
3K Views
=AZVe3IMrRn9NqmqhAlSTx8d70rshwEZgJf9X-44nKyE3aNlNQsQOrC7zBNgD22qTKiLHiCylG5IwlR25TVybWYX9_qphdPjP1n3cPMWoWRaI5oULasItlOe1z3poYGWcctpXgQqzSDcsNwbcOgZI-sO6sMV_lZ0Dz6kg91rgr_yCEg&__tn__=-UC%2CP-R']VIW...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
_ “Ninafurahi kushinda tuzo hii, nani mwingine angeshinda zaidi yangu? Miaka miwili iliyopita nilimaliza katika nafasi ya sita, mwaka jana nikamaliza katika nafasi ya nne, sasa ni zamu yangu” hayo...
10 Reactions
16 Replies
2K Views
_ Ilinigharimu muda mrefu sana kumuelewa Stamina shorwebwenzi, aliposema "kama wakati ni fedha basi ningefungua benki ya saa". Nilituliza kichwa nikatafakari, upo uhusiano gani kati ya muda na...
8 Reactions
10 Replies
2K Views
1. Willian Borges. Mashabiki wa Chelsea lazima wafadhaike na utendaji wa Willian msimu huu. Mbrazil huyo aliaminiwa na mashabiki wa Chelsea kwamba ndio wakati wake wa kukabidhiwa jezi namba 10...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Wachezaji wa Simba wakiwa wamepiga magoti na kutengeneza herufi IM ikiwa ni ishara ya kulaani mauaji ya kijana Mmarekani mweusi, George Floyd aliyeuawa wiki iliyopita na askari wa kimarekani...
5 Reactions
18 Replies
3K Views
Katibu wa Utamaduni, Habari na Michezo, Oliver Dowden amethibitisha kuwa michezo itaendelea kuchezwa bila mashabiki Michezo iliahirishwa tangu Machi kwa sababu ya #CoronaVirus ila kwa sasa...
0 Reactions
3 Replies
838 Views
Kama Mabosi wa GSM wakiweza Kuongea vyema na Marefarii wa Kibongo na hivi wengi sasa wana Njaa kutokana na CORONA hii basi Yanga SC yetu itashinda Mechi zetu zote zilizobaki na Kuiduwaza Timu...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Lionel Messi, 32, ataendelea kubaki Barcelona Chelsea wanafikiria kubadili uamuzi wao kwa kumsaini mshambuliaji wa RB Leipzig Timo Werner,24, ikiwa Mjerumani huyo ataonesha nia utayari wa kuhama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
" Katika hili nikiwa kama Kocha wa Makipa wa Klabu ya Yanga niseme tu ukweli kwa jinsi Ratiba hii ilivyo hasa Kwetu Sisi Yanga hatutoweza kuwa na Maandalizi ya kutosha ya kutuwezesha Kubeba ama...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wachezaji wanaovua jezi zao kwenye nia ya kupinga ubaguzi wanastahili pongezi na sio adhabu, kwa mujibu wa Rais wa shirikisho la soka Duniani , Gianni Infantino. Kumbuka kwenye kanuni za soka...
1 Reactions
0 Replies
921 Views
Back
Top Bottom