Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mimi sina ya kuongeza sana hapa ili hii inaonekana inafaa sana. Nakuwekea video hii usikilize mwalimu huyu wa mazoezi akiongea kuhusu mazoezi anayoyafundisha. Huu mtiti unaonekana sio mdogo...
0 Reactions
0 Replies
891 Views
Bayern Munich wanataka kumsajili winga wa Manchester City Leroy Sane Bayern Munich wanataka kumsajili winga wa Manchester City, raia wa Ujerumani Leroy Sane , 24,na Kai Havertz, 20, kutoka Bayer...
2 Reactions
2 Replies
987 Views
Wachezaji wa Liverpool, wameunga mkono mapambano ya kupigania haki ya watu weusi nchini Marekani, baada ya hivi karibuni Mmarekani mweusi, George Floyd, kuuawa kikatili na Askari Polisi weupe wa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF limetoa ratiba ya ligi kuu Baara na wakianzia na viporo kwa kuchezwa katika Viwanja tofauti tofauti. Masuala ya michezo yalisimamishwa Machi 17 na...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Tangu nilipogundua umuhimu wa mazoezi kwenye mwendo wa kawaida wa maisha, nimejaribu hili na lile, kuona linalonifaa zaidi. Katika jaribujaribu mara kwa mara nimeongeza vikolezo mbalimbali kwenye...
4 Reactions
14 Replies
6K Views
Maana nilikuwa naangalia hapa mbio hizo za magari huko Ulaya yaliyofanyika 2016, 2018 ni hatari yaani.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
. "My story is the part of the large American story" Namkumbuka sana MwanaAfrika Mashariki, mtoto wa Mzee Hussein Obama akisimama nyuma ya Microphones pale Chicago akihutubia wapiga kura...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Mnamo mwaka 1966 kombe la dunia liliibiwa na baadae mbwa akalipata siku chache kabla ya mshindano hayo kuanza[emoji4]. Kombe la dunia kwa mara ya kwanza lilitengenezwa kwa makaratasi na...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
(1)JOHAN DE COCK-NETHERLAND (2)MARK DE MAN-ANDERLECHT F.C (3)BONGO CHRIST-D.R.C (4)DANNY DRINKWATER-LEICESTER CITY,ENGLAND (5)ABUBAKAR MNYAMBEGU-ALICHEZEA YANGA F.C (6)KIPANYA...
0 Reactions
170 Replies
39K Views
Ni wajibu wa mzazi kugundua na kukikuza kipaji cha mtoto wake. Naomi Osaka,Venus na Serena Williams,Michael Jackson na wengineo vipaji vyao viligunduliwa na kuendelezwa na baba zao. Soma kitabu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Washabiki waliovaa barakoa wakifuatilia mechi ya nyumbani ya timu ya Georgia Tech kwenye ligi, maarufu "College League" mwaka 1918. Ni wakati huo kulikuwa na mlipuko wa homa kali ya mafua...
6 Reactions
8 Replies
1K Views
Niwasalimu wote. Amani ya bwana iwe nanyi. Najua duniani na kwingineko kwingi ligi mbalimbali zimesimama kutokana na jinamizi la Covid 19. Huwa natamani kuona timu yetu ya Taifa na klabu zetu za...
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Serikali imeruhusu mashabiki wa soka kuhudhuria uwanjani kwa kuzingatia taratibu za afya, isipokuwa kwa mechi kubwa wataingia nusu. Mei 21 Rais Magufuli alitoa tamko la kuruhusu michezo yote na...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Droo ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam imechezeshwa leo ambapo mechi za hatua hiyo zimepangwa kuchezwa kwa siku mbili, Juni 27 na Juni 28, mwaka huu Katika hatua hiyo watetezi, Azam...
2 Reactions
43 Replies
4K Views
Juni 17 ndio utachezwa mchezo wa kiporo City dhidi ya arsenal katika dimba la Etihad. Ikumbukwe huu ni mchezo wa kwanza wa Arsenal under Mikel Arteta . Pia ndio mchezo ambao utamkutanisha mtu na...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Kocha msaidizi wa Young Africans, Charles Boniface Mkwasa amesema amegundua mambo mawili, baada ya kuanza mazoezi ya kikosi cha klabu hiyo jana jioni. Kikosi cha Young Africans kilianza mazoezi...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Je,kama mchezaji alikuwa na kadi ya njano akafunga goli then akavua jezi na kupewa kadi nyingine ya njano kisha red card,ila baada ya VAR check ikaonekana siyo goli,je kadi nyekundu itafutwa na...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Baada ya Fulltime kuwaletea makala inayozungumzia Derby kali kabisa ya Amerika Kusini katika ya Boca Juniors na River Plate , basi tunawaletea na namna wanavyocheza tunaanza na River Plate hasa...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimetonywa na watu wa ndani kabisa kutoka katika klabu ambayo Simba Sports Club inaenda kucheza nayo tarehe 8 March 2020 ambayo hadi hivi sasa Mzukulu naona kuna Goli Mbili (2) ambazo zote...
8 Reactions
92 Replies
8K Views
Kama sio kombe la dunia basi hakuna kitu ambacho Leo Messi na Cristiano Ronaldo wamekiacha , hawa viumbe wamefanya kila la umuhimu katika soka wala hilo halina mjadala kabisa. Jamaa wametawala...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom