Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habari: uongozi wa yanga umeendelea kuhaha kutafuta mawasiliano ya ya winga wao Bernard Morrison,simu amezima na hapatikani alipo Ikumbukwe kuwa Morrison aliingia yanga Kwa mkataba wa miez 3 na...
7 Reactions
59 Replies
8K Views
Kuna uwezekano mkubwa, wa Ligi ya mabingwa ya Afrika pamoja na Confederation Cup kutokamilika mwaka huu kutokana na gonjwa la COVID 19, hivyo mashindano hayo ya 2019/2020 kufutwa. Wadau naomba...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau nauliza wapi ntapata GYM ya mazoezi maeneo ya KIMARA mwisho karibu na stend ya mwendo kasi...asante
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Leo saa 10 uwanja wa CCM Kambarage kitanuka. Yanga itakuwa ikilinda heshima yake kwa Mwadui. Ninachongea hapa uwanja wa Kambarage kuwaletea moja kwa moja live updates ==== Yanga SC ameibuka na...
8 Reactions
52 Replies
6K Views
Bodi ya ligi kuu Tanzania bara (TPLB), imesema haitatoa leseni kwa klabu yoyote msimu ujao, ambayo itakuwa inadaiwa na wachezaji, makocha na hata taasisi mbalimbali. Tamko hilo limetolewa na...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakati Dunia ikiwa katika uso wa tabasamu baada ya janga la Corona kupungua ni wakati wa kusema asante sana Mungu. Nyakati ambazo tulipoteza baadhi ya watu muhimu sana katika maisha yetu, ila yote...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Yanga wameonesha nia ya kumsajili huyu mshambiliaji kutoka Kenya. Nasikia ni hatari huyu jamaa.
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari wakuu, naangalia mechi kati ya Real Madrid na Eibar mpira unatangazwa kiswahili. Unaweza kuchagua lugha kati ya kiswahili na kiingereza, lakini kotekote wanatangaza kiswahili, tatizo nini...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimetoka kusikiliza malumbano ya msemaji wa Yanga na msemaji wa Simba. Hawa watu walizozana wenyewe wawili kwenye simu, iweje Manara aje iweke hadhatani walicho zozana? Kumbe na yeye anaumiaga eeh.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
MANARA ANABAKI KUWA SHUJAA ALIYESHINDIKANA KATIKA UTANI WA JADI. Niliwahi kuandika siku za karibu Yanga wakitaniwa utani unaoakisi ukweli wanakimbilia kumtusi Mo au Manara. Mnajua ni kwa nini...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wadau.. Nimesikia simba wanamtaka morrisson.. nikashangaa sana.. simba imesajili watu wengi wazuri mbele ila bado inahangaika.. Kwa uzoefu wangu wa kutazama caf champions league...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Baada ya kuangalia mechi ya Jana ya hii team dhidi ya mwadui nilifafhaika sana kuona watoto na watu wazima akili zao ni sawa wanashangilia ushindi utazani wamechuka kombe la UEFA vitu vingne...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Nikiangalia watazamaji walioingia viwanjani kushuhudia mechi za ligi kuu baada ya michezo kuruhusiwa tena, sikuona matumisi sahihi ya barakoa kujilinda dhidi ya COVID-19. Kuna ambao hawakuzivaa...
0 Reactions
0 Replies
970 Views
Mabingwa watetezi ligi kuu bara, wekundu wa msimba(simba) leo majira ya saa kumi jioni. Watakipiga na majirani zao kutoka mkoani pwani Ruvu shooting fc hakika utakuwa ni mchezo mkali na...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
1. Timu inasafiri na Basi bovu kabisa ambalo wamepata nalo Breakdown mara mbili na kama si Umahiri wa Dereva wangekufa. 2. Bumbuli ni Msemaji wa Yanga SC na Nugaz ni Msemaji wa Yanga GSM Sports...
17 Reactions
36 Replies
4K Views
GOLI LA PETER TINO LAWANYAMAZISHA WAZAMBIA, KENNETH KAUNDA KWENYE UWANJA WA NDOLA, ZAMBIA,1980. Leo 13:15pm,22/03/2019. Enzi hizo nilipata kuwashuhudia Gabriel Peter (Gebo Peter) na Emmanuel...
8 Reactions
15 Replies
3K Views
Napenda niwapongeze wale wazee wa kubet na Uzi wao kwa kufikisha reply zaidi ya 210400,aisee kubet chama LA wengi kweli nmeamini,nawasilisha.
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Ipi hukumu kubwa zaidi kuwahi kutolewa duniani? Hakuna anayejua jibu sahihi. Ila ipo moja tunayoweza kuitumia kama mfano, japo sina hakika kama ndiyo hukumu ya kikatili zaidi kuwahi kutolewa...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
Good evening and welcome back, it's me Peter Drury alongside Jim Beglin. It's been 3 months of anguish to the world, but today we're here to witness the same anguish on Arsenal. We all know the...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Mmewasafirisha wachezaji safari ndefu mkijua basi bovu, gari limepata pancha mara mbili, kwanini hambadilishi tairi kama zimechoka!
6 Reactions
26 Replies
3K Views
Back
Top Bottom