Habarini za jioni wakubwa?
Leo katika jukwaa la michezo nmependa kuchangamsha kwa style hii
nmeleta uzi kumuhusu huyu fundi wa mpira aliyecheza mwadui na team zingne za daraja la kati...
Mdogo wetu mambo si mambo
Aston Villa vs. Chelsea
dakika ya 15, bila bila
Ally Samatta hayumo
Mtangazaji kasema namba yake imechukuliwa na Keinan Davis, in case you are wondering where he is
UONGOZI wa klabu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam, umepeleka rasmi malalamiko Shirikisho la Soka nchini (TFF) dhidi ya Klabu ya Simba ya Dar es Salaam pia ikidai inamshawishi winga wake, Bernard...
Wanayanga msiwe na mashaka Hatimaye kocha mzungu kakubali tuendelee na mila zetu. Matokeo tunayo Yanga 2 Azam 0.
Hii itatuweka nafasi nzuri katika kuusakama Ubingwa. Simba wanaenda Poteza Mechi 5...
====
BAADA ya kutoka sare katika mchezo wao uliopita dhidi ya Ruvu Shooting, hatimaye kikosi cha Simba kimeibuka na ushindi wao wa kwanza leo dhidi ya Mwadui, Uwanja wa Taifa jijini Dar es...
Kama kuna Mechi ambazo zinaenda kuwa ngumu kwa Simba Sports Club ( ambayo hata Mimi Mzukulu ) naipenda na Kuishabikia basi ni hizi Kumi ( 10 ) zilizobaki na hasa hasa hii ya Leo na zile zingine...
Kuna clip inasikika ambayo, msemaji wa Yanga ndugu H.Bumbuli anamporomoshea matusi makubwa na kumdhalilisha msemaji wa Simba ndugu Haji Manara!
Amesikika akimkebehi kwa kuwa alibino, na kutoa...
Bila shaka wale wapenzi wa michezo wa mguu tuliobahatika kuangalia soka la jana ..mtakubaliana nami kuwa mchezo wa jana ulikuwa 50/50 Kwa maana ya point ila kutokana na viungo wabunifu wa...
Jana katika mechi ya JKT Tanzania vs Yanga, mchezaji wa Yanga Lamine Moro alimpiga kiunoni kwa style ya Taekwondo mchezaji wa JKT Mwinyi Kazimoto na kumrusha mita kadhaa mbele, na kuzua taharuki...
Afrika Mashariki nzima inatambua leo wenye ligi yao watakuwa Uwanja wa Taifa katika mbio za kukamilisha ratiba. Mechi ni Simba Sc dhidi ya Ruvu Shooting.
Utaungana nami hapa JF tukishirikiana na...
Mpira ni mapunziko,hadi sasa
JKT 1 - 0 Yanga
Goli ya JKT imefungwa na Michael dk 36
Updates
JKT 1- 1 Yanga
76'[emoji460]️ Sibomana
Full time JKT 1 - 1 Yanga.
Labda niweke wazi kuwa sina chuki hata chembe na hiki kituo cha redio na wala sina utimu mimi....ila ukweli lazima usemwe ili ikiwezekana mabadiliko yafanyike.
Awali kipindi hiki kilipoanzishwa...
Vyama vikubwa vya ngumi haswa WBC na WBO wameonyesha tamaa ya wazi wazi bila kuzingatia sheria zao walizojiwekea.
Kulikuwa kuna malalamiko ya muda mrefu kuhusu uwepo wa minor champions katika...
Shirikisho la Soka Barani Ulaya (UEFA), linatarajiwa kumaliza mashindano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa muda wa siku 12 jijini Lisbon-Ureno, mwezi Agosti mpango ambao utaamuliwa leo kwenye kikao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.