Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Vodacom Premier League (VPL), kuendelea kuvurumishwa leo Jumapili ya Juni 28, 2020 kwenye Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya, ambapo wenyeji Tanzania Prisons...
Mhenga mmoja wa kizungu, akiwa na ubongo uliovimbiwa hekima alishika kalamu nakuandika nukuu hii. "You can't be a champ for life. One day you will go off and some else will come. Alimaanisha hivi...
.
Tunaishi katika Dunia ya Cristiano Ronaldo na Lionel Messi ila miaka ya 90 Dunia ilikuwa na mahasimu wa soka toka nchi moja: José Roberto Gama de Oliveira “Bebeto” na Romário de Souza Faria
...
Ukizoea tabia za uongo hata mkeo akikuzalia mtoto utahisi wa mdogo wako ama rafiki yako
Yanga wameandika waraka wanamudhibu Morrison kwa kufanya mahojiano na vyombo vyahabari
Wameandika wana...
Mashabiki wa Yanga wakipaza sauti hawamtaki Yikpe.
Hii sio sawa kabisa. Mngevumilia ligi iishe muone usajili mpya. Mnawatisha wachezaji hata nafasi ya pili mtakoss
#Icantbreath
#YangaLivesMatters
Habari wadau.. natamani sana yanga yangu ingepata kiongozi mbabe na mpenda maendeleo kama magufuli. hawa kina msolla na wenzake kina mkwassa ni wasanii tu.. miaka yote tunawajua hawajawai kupata...
Zlatan Ibrahimovic siku anaondoka Barcelona alisema “ Barcelona ni kama watoto wa shule wanafanya tu walichoambiwa kufanya ” hapa aliwalenga vijana waliotoka La Masio Leo Messi , Gerrard Pique ...
Wanajamvi, msimu huu team ya Liverpool imechukua ubingwa wa Ligi Kuu Uingereza baada ya miaka 30 na ni mara ya kwanza tangia ligi hiyo ianzishe kwa namna tofauti kidogo na ilivyokuwa mwanzo...
Tumeonewa sana, tumenyanyaswa sana,tumeumizwa sana,tumehuzunishwa sana.
Huyu dogo ni sisi tumemjenga na siku ile ya simba alibebeshwa hirizi ndo kufunga.leo hii anajiona yeye ndo yeye...
Mechi hii itarushwa moja kwa moja na Azam Sport 2 mida ya saa kumi jioni,Ni mechi muhimu sana kwa timu zote mbili,Azam akitaka kubaki nafasi ya pili na Yanga pia akipigania kushika nafasi ya pili...
Pongezi nyingi kwa wanafamilia wote wa Liverpool ulimwenguni kote. Ni dhahiri kuwa sasa hakuna miongoni mwao anayetembea peke yake. Haikuwa kazi rahisi. Ni mradi wa zaidi ya miaka mitano. Ndiyo...
Kama tumeweza kumrudisha Lamine kikosini sio vibaya kumrudisha Zahera. Kimichezo mapungufu ya Zahera ni madogo kuliko mazuri yake.
Hatutajuta kama tutamrejesha Zahera kikosini.
MORRISON KUKATWA MSHAHARA:
Yanga yatoa ufafanuzi kuhusu mkataba wake na Bernard Morrison, yasisitiza kuwa ni mchezaji wao halali hadi Julai 2022, yasema itamkata shilingi milioni 1.5 kwenye...
Midadi ya kucheza na moyo wa wa kupenda kuisadia timu yake ipate matokeo dhidi ya Biashara United kupitia mchango wake ndicho hasa kilichosababisha David Molinga aonyeshe kukerwa na kutolewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.