Miaka 13 sasa toka Arsenal atwae ubingwa wake wa mwisho EPL, mambo mengi yametokea na hata kupita, tujikumbushe baadhi ya mambo hayo;
1. Kikwete ameingia madarakani ametawala miaka 10 na sasa...
Wakuu Habari zenu?,
Wakuu kwa wale ambao awaangalii mechi za Liverpool ni vizuri nikakupa taarifa maana naona watu hawaangalii mechi za Liverpool halafu wanapiga kelele tu ooho liverpool...
Imefika wakati Clouds muajiri mtu atakayeendesha kipindi cha michezo kwa weledi.
Ni muda mrefu watangazaji wamekuwa wakiendesha propaganda dhidi ya Simba na kupendelea kusoma maoni hasi na...
Mchezaji aliyepewa kadi ameshangazwa
Mtangazaji wa Azam akishangazwa na maamuzi ya refa.
Kwa kuwa mpaka sasa hakuna tamko lolote toka TFF la kufuta mchezo huo na kutuomba radhi wapenda soka...
Hat-trick 92 maisha yake yote
Mabao 4 mara 36 maisha yake yote
Mabao 5 mara 6 maisha yake yote
Mabao 8 mara 1 maisha yake yote
Miguu yake yote ilifunga magoli yasiyo na idadi
Kichwa chake...
Jana club ya Simba SC imetangaza ubingwa wa VPL msimu 2019/20 hongera kwao ila pia aibu kwao kwa kuwa na brand kubwa ila iliyojaa unprofessional employees kuikuza vizuri. Simba itakuwa mfano ila...
Kwanza naipongeza timu yangu ya Jangwani, lakini kubwa kuliko yote kwa mechi ya leo.
Mwamuzi toka Kigoma kaiharibu sana mechi ya leo!
Kiukweli aliharibu mechi baada ya maamuzi kuonekana...
Team ya Chelsea hivi Leo wameconfirm usajili wa Timo Werner from RB Leipizig wa price clouse ya Paundi million 45 wa mkataba wake. Imeripotiwa Timo Werner atajiunga na Chelsea mwezi ujao(Mwezi wa...
Mchezo wa mpira wa miguu ni miongoni mwa michezo inayovuta hisia za wengi haoa nchini na nje ya nchi lakini kutokana na matukio yanayoendelea ya waamuzi kuja na maamuzi yao ni wazi tunapoelekea...
Inachekesha sana shabiki tena alie huku pembezoni mwa dunia kushabikia timu yake kwenye mafanikio ya uchumi
Faida inayopatikana kwenye pato la timu hakuna hata shabiki mmoja anae pata hata mia...
Jana alifungwa magoli matatu mepesi sana na kuinyima nafasi Ndanda ya kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga. Kwa mtindo huu soka letu la Tanzania bado lina safari ndefu sana!
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Leo swali langu lipo kama ifuatavyo;
Kwanini uongozi wa Club ya Simba ulishindwa...
Simba na Yang Africa ni virabu vya kihistoria ambavyo havitakufa kuna wakati Yang Africa ilichungulia kaburi miaka ya themanini lakini tokea wakati huo haijafanya makosa hayo. Nchi imehamia Dodoma...
Yanga tunaendelea kupambana kuja chukua Ubingwa wa Ligi Kuu. Simba leo inapoteza na mechi zijazo itapoteza mpaka mwisho.
Yanga tunapindua Meza.. tumekuja kuwaonesha maajabu. Simba hachukui...
Mshambuliaji wa FC DALLAS fafa picault (29) anasema moja ya matukio ambayo hawezi kusahau katika maisha YAKE ya soka Ni pale AMBAPO KOCHA wa Timu ya Vijana ya CAGLIARI Alipomuita yeye Ni Sokwe...
Miaka ya1990 na 80' hata 2000'ligi ilikuwa tamu Sana! Siku ya Ubingwa ilikuwa furaha tele, ilikuwa unaweza hata kuoa siku hiyo.
Lakini leo ligi imekuwa nyanya Sana! Simba tunatamba tu. Hizi timu...
Wakuu salam.
Wale wafuatiliaji wa mpira wa mabeberu hapa nazungumzia ligi mbali mbali za ulaya hasa ligi pendwa Epl wanafahamu kwamba kipindi hiki cha covid19 mashabiki wamezuiwa kujumuika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.