Klabu ya Manchester City imefungiwa kushiriki kwenye mashindano ya Champions League & Europa League kwa misimu miwili na kulipa faini ya €30m kwa kukutwa na hatia ya kuvunja sheria ya matumizi ya...
Siku nilivyosikia ndugu yetu anaenda Aston Villa FC nikajua ana wakati mgumu sana kwasababu kubwa mbili:
1. Muda ulikuwa umesonga sana, angeenda mwanzo wa msimu angeweza kuonesha makali yake...
Mashabiki wengi wa soka hupenda kujua mishahara ya wachezaja mbalimbali, lakini kwa upande wa Tanzania, mishahara hii huwa ni siri sana. Si mishahara tu, hata ada za uhamisho kwa wachezaji hawa...
Azam imeishindilia goal 7 timu ya Singida United kwa nunge huku chirwa akitupia goal 4 mawili akifunga nado na 1 Ni lakujifunga.Kwa maana hiyo Azam amerudi kwenye nafasi yake ya pili na kumtoa Yanga.
*Safari haikuwa nyepesi sana, mara tulitabiriwa kuzuka vita ya tatu ya dunia hakuwa hivyo, mara Korona lakini pia hakuwa, hujuma n.k lakini hakuwa, congratulations to all Kopps*
Hii hapa chini ni orodha ya mastaa wa Soka kwenye Ligi hiyo wanaolipwa mkwanja mrefu zaidi kwa wiki.
1- Paul Pogba analipwa pound 290000/Tsh 872,087,739 (ManUnited)
2- Romelu Lukaku pound...
BAO la kwanza la mechi baina ya Simba na Azam FC iliyochezwa wiki hii jijini Dar es Salaam lilifungwa na John Bocco. Kwa wasiojua, Bocco ni mchezaji ambaye si tu ametengenezwa na Azam lakini...
Ukikaa chini na kuwaza bila ushabiki Yanga haina mchezaji mwenye thamani ya kununuliwa na kucheza Simba labda Morison.
Lakini wote waliobaki hamna mwenye uwezo wa kucheza Simba hawana uwezo...
My Take
Hii adhabu haitoshi na haimalizi tatizo la waamuzi. Adhabu sahihi ni kumpokonya leseni arudi kijijini akalime. Halafu yule mwamuzi Shomari Lawi aliyeshirikiana na Yanga kuihujumu Kagera...
Mpira ni mchezo wa kiuungwana. Kitendo alichofanya Frank Domayo ni cha makusudi. Amekuwa akitumika hivi kila mara. Alishafanya kwa mchezaji wenu mwingine John Boko.
Nadhani mnapaswa mseme naye...
Nawaza tu ni jinsi gani patachimbika kwa maneno/misemo ya Kiswahili ukiwakutanisha Haji Manara, msemaji wa Simba Sports Club na Dr Kumbuka, mtangazaji wa redio. Maana wote wana maneno makali ya...
Gwambina Football Club yenye Maskani yake Misungwi, Mwanza hapo awali ilifahamika kama JKT Oljoro kabla haijabailishwa jina kuitwa Arusha United hatimae kuuzwa mwaka 2018 Tajiri wa Misungwi Ndg...
Tshishimbi ambaye ni raia wa DR Congo alisema: “Hao wanaosema nimegoma wana msongo wa mawazo, nigome sasa wakati mambo mazuri, kama kugoma ningegoma huko nyuma mambo yalipokuwa hovyo, nilikuwa...
Kumbukumbu muhimu Kuelekea Tarehe 12
1. Yanga inaongoza kwa kumfunga Simba mara nyingi wakati Simba ndiyo timu ya kwanza kuvaa viatu hii ilikuwa1949 ilipocheza na kombaini ya jeshi la majini Navy...
Yah poleni mlioumia jana ndio hivyo maisha yanaendelea
Nawatakia heri Azam FC kwenye ushindi wao wa leo
Simba wataingiza baadhi ya wachezaji wa benchi na wale wasiocheza
Wale ndugu zangu...
Alhamisi 6 ya mwezi MAY mwaka 2004 magazeti mengi ya ulaya yaliandika kuwa Jose Mourinho ameiambia Fc Porto kuwa ataondoka baada ya fainali ya UEFA champions league mwaka 2004. Baada ya kuifunga...
Wahusika wa Liverpool nimeikuta hii sehemu sijui ukweli wake ukoje.
Mara ya mwisho Liverpool kuchukua ubingwa wa Uingereza ilikuwa siku ya Jumamosi, Aprili 28, 1990 baada ya kuifunga QPR goli...
Wakatii KIJANA wawatu akibaki dar wakati WA covid akijua anasubiria kuongezewa MKATABA
LA hasha Hali ikawa TOFAUTI kabisa kabisa KIJANA akaonekana hafai haitajiki kabisa yanga
Wapoo waliotamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.