Papaa Zahera aliendesha timu bila mishahara
Timu iliyojaa wachezaji wa kiwango cha chini kuliko hii ya leo ila timu ilikuwa na morali na matokeo ilikuwa inapata
Na hata timu tajiri kama azam na...
Wataalam wa masumbwi wanasema hili pambano kama lingefanyika basi lingekua pambano bora la karne.
Mwenye kujua kwanini pambano hili halikufanikiwa kupangwa atujuze.
Tokea nianze kuifuatilia team ya Simba Ina udhaifu fulani especially Kama hautaipa space na kuwapress high wanapotea team nzima na ndio maana wanashindwa kupataga matokeo dhidi ya prison na hiki...
Dalili zipo wazi Yanga imetepeta mno,hata nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi kuu ni shida.
Kwa upande wa Azam Conf. Cup Yanga watatolewa mapema .
Yanga tangu mechi ya march 8 kuifunga Simba...
Wakuu salama?.
Nilikuwa nimekaa leo najiwazia ila sijapata majibu kuhusu hili swala, kama mnavyojua SIMBA SC ndio Mabingwa wa nchi msimu huu hivyo kulingana na kanuni zetu za TFF huyu tayari ndiyo...
Leo Simba wameonesha kuwa wao ni mabingwa. Kulikuwa na maneno mengi hasa hawa Yanga.
Timu imewekeza vizuri, wachezaji wanacheza mpira unaeleweka halafu anakuja mtu mmoja anaanza kulia lia ooh...
Leo 12/07/2020 ni ile mechi inayosubiriwa kwa hamu, mechi ya nusu fainali ya kombe la shirikisho, ambapo watani wa jadi wa Kariakoo, Simba Vs Yanga wanakutana katika mechi ngumu ya kumtafuta nani...
Mechi ya jana na leo huwezi kuona mtu analaumiwa ni kiroho safi, jana utopolo na Kagera mechi ya utata.
Leo Simba imeshinda kiroho safi hata utopolo wanaona aibu kubebwa
Simba imecheza hakuna...
Nimepata furaha sana na sasa hivi tunarudi na jamaa zetu tumeshatengeneza miundo mbinu uwanja wa Taifa.
Toka jana tupo ndani ya uwanja na mzee wetu xxxxx xxxx tunafanya mambo. Baada ya hapo...
Naona mag nyingi sana moia tinafanyaje game ya watani n ngumu ola mpaka kesho saa moja usiku else ibadilike
Simba vs Yanga
Simba mpaka sasa inaonekana ina asilimia 90% ya kushinda
Yanga...
Tunaelekea krisimasi, EPL ndo kwanza imechanganya, wakati ligi nyingine zikikaribia mapumziko ya sikukuu. Kwa upande wa EPL ndo kwanza mambo yamechangamka; ligi hii haisimami inapigwa mechi...
Habari zenu waungwana, sijaenda kwa mtu wala mganga ila leo nimeangalia, nimepekua vitabu nikaona simba anashinda goli mbili dhidi ya yanga siku ya Jumapili.
Kwa wale wapenzi Wa masumbwi je ni bondia gani aliyekuvutia enzi zake au anayekuvutia kwasasa?
Kwa upande wangu mm mwanamasumbwi niliyetokea kumpenda alikuwa Mike Tyson, huyu jamaa alikuwa moto...
Habari wanamichezo hapa JamiiForums,
Ratiba ya robo fainali ya UEFA imetoka.
Naona chama langu Barcelona tuna wakati mgumu, naamini Manchester city atafika mbali sana.
Pamoja na hoja ya kiwango cha kushuka kidogo lakini bado timu imekua iki perform ktk kiwango ridhishi, shida ni hapo tulipoanza kukimbizwa na real Madrid kutufikia ndio hujuma za wazi zimekua...
Wakuu, hivi nyinyi ambao ni mashabiki wa mpira mnapenda nini haswa????
Mathalani mtu anaposema yeye ni shabiki wa timu fulani mfano Arsenal huwa anaangalia nini haswa mpaka anaamua kuwa shabiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.